Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

Moderator ondoeni hii takataka au unganisheni kwenye takataka za mwendakuzimu.
Huyo Nigrastratatract nerve, bila shaka hayupo kwenye utimamu wa akili. Yumkini alikuwa ni miongoni mwa zile killing machines za wakati wa kipindi cha giza.

Damu za watu zinamwandama, na hajui afanye nini. Maandiko haya ni katika kujifariji kwenye magumu anayoyapitia.
 
Kama Ni hivyo hata Yesu ni Ibilisi maana alikatishwa akiwa bado anaendelea na kazi. Ila kama Yesu yupo mbinguni basi atakuwa na msaidizi wake Magufuli.
Mizaha na michango yenu ya kipuuzi, fanyeni mnavyotaka, lakini msifanye dhihaka kwa Mungu wala manabii wake. Mungu hadhihakiwi.

Kristo alijifanya mtu, akawa mtakatifu wajati wote, akayaonja mauti kwa sababu maalum, akayashinda mauti, akatoka mzima, akawatokea walio wake akiwa na mwili na roho, akapaa mbinguni akiwa na mwili na roho, yu hai milele. Atarudi siku ya mwisho kuwahukumu wote walio hai na waliokufa. Hafananishwi na mwanadamu yeyote.
 
Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba

Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta

Mbowe: Huyu Alizoea siasa za michongo za kuhongana alinyooshwa na akanyooka na kundi lake kama akina Lema, sugu Heche mnyika nk wote waliufyata

Mafisadi majizi na matapeli ya nchi hii malanguzi na mala rushwa wakubwa

Mabeberu yalibwanwa kisawa Sawa mwanaume alikosoa waliogopa na walitikisika Mwamba wa Chato Jemedari wa Vita Mwamba huyu ety analinganishwa na watu wanaozeeka bila kujenga hata Choo ety Magufuli anafananishwa na babu Mbowe hii ni aibu mwanaume kamaliza kazi yake wambeya ongeeni yooote Mwamba yuko kwa Mungu baba anawazomea wale wasiojitambua
'Mattercore' at your best....baada ya ujio wa Lissu na mambo yanayoendelea ma sadist wote mpo kwenye denial stage......'soea' hii hali
 
Mapambano mkali kweli kweli,huu mpambano wa jpm na wale wengine hautaisha leo Wala kesho,mpaka atokee jiwe II.
Akitokea jiwe II kwa hii katiba watu watapoteana humu maana atai perfect game yake kutokana na makosa ya jiwe I
 
Uhakika ni kwamba yuko motoni ndio maana pamoja na kutaja lisu auwawe mungu akamuaibisha akatangulia yeye ili Mungu adhihirishe ukuu wake na kiapo chake kwamba kamwe mwanadamu hatashindana namimi.
Kwani we kwa akili iliyojaa kinyesi unafikiri kufa ni adhabu ee pole sana
 
Kifo cha mwendazake mbwa magufuli kinadhihirisha ukuu wa Mungu dhidi ya wanadamu fedhuli.
Ubongo uliojaa kinyesi to kwa mbwa wazazi wako waliokuzaa maana badala ya kuzaa binadamu mbwa yule akakuzaa wewe
 
Jamaa anaishi mpaka leo mnamtaja na kumtaja.ukienda mitandaoni kila mwaka ndio mtu anayeandikwa mara nyingi zaidi ndani ya muda mfupi.
Picha zake zimesambaa nyingi
 
'…Mabaga Fresh…' hili neno ni kejeli kwa ulemavu na walemavu wote, jiepushe kabisa na kejeli za namna hii, Lissu hakuwa kufikiria kama kuna siku ataamka mlemavu, Mimi na Wewe hatujui hatma yetu…ule Msemo wa Hujafa hujaumbika unaufahamu maana yake? ukamilifu wako hutokea pale tu unapofariki ndio tunaweza kusema wewe sio Mlemavu lakini kwa kuwa bado unavuta pumzi hujui hatma yako

Lissu ana mambo mengi tu ya hovyo kama wanasiasa wengine…kama kejeli mfanyie kwny eneo la kazi yake sio maumbile yake ambayo yamesababishwa na uonevu dhidi yake japo binafsi sina uhakika na mhusika wa hili japo hisia za Mhusika ninazo kama wengine walivyo nazo
Umeumia bwana ako kutukanwa ila mnavyotukana wafu mnaona sawa
 
pyu pyu pyu pyu

Hayo yote huwezi thibitisha katika mahakama yeyote ile, na najua inakuuma kweli kweli. pyu pyu pyu pyu....na ukimumunya pyu lol

Kwani kulinda makaburi yameanza leo? Unajua kwanini Malikia wa Uingereza kazikwa mara mbili-Fact

Kitakacho kunipungua ni nini kulinda Kaburi? zaidi ya wewe kuwa na wivu hujijui ulipotoka na unapoenda.

Sukuma ni kabila kubwa sana, huna nguvu, huna mbinu, na wala huna uwezo wowote ule, uwe wa maarifa, akili, vita, siasa, kuweza kuliteteresha. Huna! so go deal with it. I'm proud Sukuma and Tanzanian and there is absolutely nothing you can do about it....utabakia kuwa gaidi na utaishia gaidi.
Utakuwa unalipwa siyo kwa povu hili!!!
 
Kumbe ndo wewe unaejiita usalama wa taifa twitter
 
Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba

Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta

Mbowe: Huyu Alizoea siasa za michongo za kuhongana alinyooshwa na akanyooka na kundi lake kama akina Lema, sugu Heche mnyika nk wote waliufyata

Mafisadi majizi na matapeli ya nchi hii malanguzi na mala rushwa wakubwa

Mabeberu yalibwanwa kisawa Sawa mwanaume alikosoa waliogopa na walitikisika Mwamba wa Chato Jemedari wa Vita Mwamba huyu ety analinganishwa na watu wanaozeeka bila kujenga hata Choo ety Magufuli anafananishwa na babu Mbowe hii ni aibu mwanaume kamaliza kazi yake wambeya ongeeni yooote Mwamba yuko kwa Mungu baba anawazomea wale wasiojitambua
Kwendeni zenu, nyie si ndo mlikuwa mnapiga chapuo la kubadili Katiba ili aendelee?! //Magufuli for life. Haya hayakuwa maneno yenu nyie sukuma gang?
 
Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba

Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta

Mbowe: Huyu Alizoea siasa za michongo za kuhongana alinyooshwa na akanyooka na kundi lake kama akina Lema, sugu Heche mnyika nk wote waliufyata

Mafisadi majizi na matapeli ya nchi hii malanguzi na mala rushwa wakubwa

Mabeberu yalibwanwa kisawa Sawa mwanaume alikosoa waliogopa na walitikisika Mwamba wa Chato Jemedari wa Vita Mwamba huyu ety analinganishwa na watu wanaozeeka bila kujenga hata Choo ety Magufuli anafananishwa na babu Mbowe hii ni aibu mwanaume kamaliza kazi yake wambeya ongeeni yooote Mwamba yuko kwa Mungu baba anawazomea wale wasiojitambua
Kama Mungu amesema usiue na Yeye aliua sana Yuko mbingu gani?
 
Back
Top Bottom