Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

Muongo wewe.

Umelishwa maneno na mamluki, kueneza udhalimu. Wacha ugaidi.
Huyo mungu alikuwa wapi kumuokoa Malikia?
Malkia amekufa na umri gani? yule shetani wenu wa Chato hata umri wa Kibiblia hakufikisha.
 
Kifo cha mwendazake mbwa magufuli kinadhihirisha ukuu wa Mungu dhidi ya wanadamu fedhuli.
Tundu Lissu hawezi kuja kukuokoa ukipigwa na xpel.

Hayati aliwanyoosha Wazungu na hususani Acacia, unadai Acccia ndio waliomuua Hayati?

Kama una taarifa utupatie,

manake madai yenu yakujificha kwenye chaka la mungu tushaligundua. Wenzako walitumia mbinu hizo karne nyingi zilizopita, hawakufanikiwa sembuse wee kibaraka wa Tundu Lissu na CHADEMA mmeshambiwa wacheni propaganda za kitoto
 
Malkia amekufa na umri gani? yule shetani wenu wa Chato hata umri wa Kibiblia hakufikisha.
Sisi biblia ya nini, kwa ni aliyandika ni binadamu tu, tena wale madhalimu au na hilo unabisha?
Kwa taarifa yako hakuna sehemu yeyote ile kwenye biblia yako inasema Chato kuna Shetani. Usitishe kadamnasi kwenye chaka la Mungu au Biblia haramia we

Mtashindwa na Ugaidi wenu huo
 
Yatima leo unaikana Biblia? mbona huyo Mrundi wenu shetani wa Chato alikuwa follower mzuri wa Biblia?
 
Bora Lissu yupo hai kuliko ibilisi Magufuli muuaji. Imekuuma Sana Lissu kuwa hai na Magufuli kufa. Eti mbinguni, mbinguni hawaingii wauaji. Mmebakia na hasira ya kuutukana Lissu ila ukweli mnaumia kumuona yupo hai na yule mpumbavu kafa.
Kama Ni hivyo hata Yesu ni Ibilisi maana alikatishwa akiwa bado anaendelea na kazi. Ila kama Yesu yupo mbinguni basi atakuwa na msaidizi wake Magufuli.
 
Idadi ya na watu vilivyonyooshwa na Magufuli na mapema tu baada ya kazi Hiyo ngumu na nzito Mungu alimuita Mbinguni ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba

Tundu Lissu: huyu alikuwa kibaraka wa wazungu alizoea kula kwa kupayuka mwanaume akasema hunijui wewe yalimkuta yaliyomkuta

Mbowe: Huyu Alizoea siasa za michongo za kuhongana alinyooshwa na akanyooka na kundi lake kama akina Lema, sugu Heche mnyika nk wote waliufyata

Mafisadi majizi na matapeli ya nchi hii malanguzi na mala rushwa wakubwa

Mabeberu yalibwanwa kisawa Sawa mwanaume alikosoa waliogopa na walitikisika Mwamba wa Chato Jemedari wa Vita Mwamba huyu ety analinganishwa na watu wanaozeeka bila kujenga hata Choo ety Magufuli anafananishwa na babu Mbowe hii ni aibu mwanaume kamaliza kazi yake wambeya ongeeni yooote Mwamba yuko kwa Mungu baba anawazomea wale wasiojitambua
Msimdhihaki Mungu
 
Wezi wa kura hawaendi mbinguni
Tundu Lissu amejuaje hayo? Manake ndiye aliyewatuma kuja na hayo mashambulizi, mwenyekiti wenu kawakataza na mambo yenu ya kitoto nyie mnanga'ng'ania tu Mbiguni Mungu Biblia.

Sasa mnataka wananchi waamini Tundu Lissu katoka mbiguni na Hivyo basi kule alipotoka na kuelezwa kura zimeibiwa wengine hawaendi sio? Mbiguni wapi huko Ubeligiji?
 
Yatima leo unaikana Biblia? mbona huyo Mrundi wenu shetani wa Chato alikuwa follower mzuri wa Biblia?
Daktari wewe si ndio mwokozi wangu, wewe ndio uliokuja na biblia mkononi, mie niikane vipi?
Uyatima umeniweka wewe ulioua Baba yangu Mamayangu bibi yangu Dada yangu na bado tu unanikaripia, hivi huoni wewe ni gaidi?
Biblia umeishika wewe, Bunduki umeshika wewe na bado tu unanisingizia nina Mungu mara Mrundi mara Shetani.....yaani una laana kiasi gani hadi kukosa hata matusi ya kunizima mimi? Haujiulizi hayo?

Utashindwa tuu Gaidi wewe
 
Herode kafa, shetani muuwaji kafa na huko kuzimu analiwa maana aliowatanguliza ndio wako mbinguni wametoa amri aliwe kama sabaya anavyoliwa kule jela
 
Daktari wewe si ndio mwokozi wangu, wewe ndio uliokuja na biblia mkononi, mie niikane vipi?
Uyatima umeniweka wewe ulioua Baba yangu Mamayangu bibi yangu Dada yangu na bado tu unanikaripia, hivi huoni wewe ni gaidi?
Biblia umeishika wewe, Bunduki umeshika wewe na bado tu unanisingizia nina Mungu mara Mrundi mara Shetani.....yaani una laana kiasi gani hadi kukosa hata matusi ya kunizima mimi? Haujiulizi hayo?

Utashindwa tuu Gaidi wewe
Magufuli alikuwa Mrundi fact.

Magufuli ni shetani fact.

Magufuli alikuwa nduli na dhalimu fact.

Magufuli alikuwa muuwaji fact.

Sasa unataka kutuambia nini ewe kizazi cha nyoka?

Sukuma gang wahed, leo zamu ya nani kulinda kaburi la legase?
 
Muongo wewe.

Umelishwa maneno na mamluki, kueneza udhalimu. Wacha ugaidi.
Huyo mungu alikuwa wapi kumuokoa Malikia?
Sielewi unachobisha....
MUNGU ameshaamua kwa haki hiyo March 2021!

Kwa sasa nchi imetulia,
wa kazi aenda kazini
wa kulima aenda kulima
wa kusoma aenda shule
wa kanisa aenda kanisa.

MAGUFULI is dead, dead for goodies....

Bado mnataka ule ujinga, uzulumati uendeleee,
Bado mnataka ukabila, udini uendelee
Bado mnataka kufungana midomo, teuzi za zawadi za matendo katili kwa wanadam ziendelee..

HAPANA! HAPANA,HAPANA!
Live long SAMIA umetufuta machozi
Live happy JK for whatever a reason

Please, please njooni to celebrate....tuna rais wa dini zote, makabila yoote.
 
Magufuli alikuwa Mrundi fact.

Magufuli ni shetani fact.

Magufuli alikuwa nduli na dhalimu fact.

Magufuli alikuwa muuwaji fact.

Sasa unataka kutuambia nini ewe kizazi cha nyoka?

Sukuma gang wahed, leo zamu ya nani kulinda kaburi la legase?
pyu pyu pyu pyu

Hayo yote huwezi thibitisha katika mahakama yeyote ile, na najua inakuuma kweli kweli. pyu pyu pyu pyu....na ukimumunya pyu lol

Kwani kulinda makaburi yameanza leo? Unajua kwanini Malikia wa Uingereza kazikwa mara mbili-Fact

Kitakacho kunipungua ni nini kulinda Kaburi? zaidi ya wewe kuwa na wivu hujijui ulipotoka na unapoenda.

Sukuma ni kabila kubwa sana, huna nguvu, huna mbinu, na wala huna uwezo wowote ule, uwe wa maarifa, akili, vita, siasa, kuweza kuliteteresha. Huna! so go deal with it. I'm proud Sukuma and Tanzanian and there is absolutely nothing you can do about it....utabakia kuwa gaidi na utaishia gaidi.
 
Mapambano mkali kweli kweli,huu mpambano wa jpm na wale wengine hautaisha leo Wala kesho,mpaka atokee jiwe II.
 
pyu pyu pyu pyu

Hayo yote huwezi thibitisha katika mahakama yeyote ile, na najua inakuuma kweli kweli. pyu pyu pyu pyu....na ukimumunya pyu lol

Kwani kulinda makaburi yameanza leo? Unajua kwanini Malikia wa Uingereza kazikwa mara mbili-Fact

Kitakacho kunipungua ni nini kulinda Kaburi? zaidi ya wewe kuwa na wivu hujijui ulipotoka na unapoenda.

Sukuma ni kabila kubwa sana, huna nguvu, huna mbinu, na wala huna uwezo wowote ule, uwe wa maarifa, akili, vita, siasa, kuweza kuliteteresha. Huna! so go deal with it. I'm proud Sukuma and Tanzanian and there is absolutely nothing you can do about it....utabakia kuwa gaidi na utaishia gaidi.
Prince Jr.
 
Back
Top Bottom