SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Kinachokuuma ni ni haswa na hilo? Unahuzunika nini?Sielewi unachobisha....
MUNGU ameshaamua kwa haki hiyo March 2021!
Kwa sasa nchi imetulia,
wa kazi aenda kazini
wa kulima aenda kulima
wa kusoma aenda shule
wa kanisa aenda kanisa.
Kawadanganye wapuuzi wenzako huko Mbiguni kwenu Ubeligiji
MAGUFULI is dead, dead for goodies....
Kwa nini unalilia, lia basi?
Bado mnataka ule ujinga, uzulumati uendeleee,
Mabeberu mjitafakari, ule sio ujinga ule, kwanini hutaki kuelewa?
Bado mnataka ukabila, udini uendelee
wewe na ndugu zako ndio mnangaa'ania Sukuma this Sukuma that as if we care.
Yaani ulivyo mpuuzi unataka kupotosha Wasukuma ndio walioleta Dini? ru serious? Sisi ndio tunaongelea Ukabila? Mnachanginyikiwa na wala hamjui mnachokitaka. Rudini Ubeligiji na mmchuke Tundu Lissu wenu
Bado mnataka kufungana midomo, teuzi za zawadi za matendo katili kwa wanadam ziendelee..
Nani asiyejua hayo hayafanyiki hapa Tanzania? Wivu wa nini?....usilete upotoshaji
mpaka hapo ulipofika huelewi unachokipigania ni nini zaidi ya kueneza chuki na kuleta ugaidi wa mtandaoni. Koma weweHAPANA! HAPANA,HAPANA!
Live long SAMIA umetufuta machozi
Live happy JK for whatever a reason
Unajichanganya. UnaliliaPlease, please njooni to celebrate....tuna rais wa dini zote, makabila yoote.
Utashindwa na utakoma