THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Friends and Our Enemies,
Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...
Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.
Hii Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria,chuki na hasadi mlizonazo hazitaweza kuwasaidia na kuitisha serikali.
Serikali ni yetu sote na jukumu lake ni kulinda amani na utulivu wa nchi hii.
Regime iliyopita Mlishangilia Lisu alipopigwa risasi na wengine mkasema ni msaliti,iweje leo Gwajima na Polepole na wafuasi wenu mje bila aibu mbele ya umma eti kumuonea huruma na kushinikiza serikali atolewe jela kwa amri zenu?
Hamna uwezo wa kufanya chochote,hamna uwezo wa kufanya lolote.