Alipopigwa risasi walishangilia,eti leo wanasema wana huruma juu yake wanashikiza atolewe jela

Alipopigwa risasi walishangilia,eti leo wanasema wana huruma juu yake wanashikiza atolewe jela

Kanisa lililofutwa ni moja tuh la gwajima,na sababu ya kufufwa iko wazi kama anataka aende akakate rufaa...vitisho na kelele zake hazitamsaidia mwehu yule
Sababu gani zilizo wazi? Akakate rufaa wapi, kwenye hizi mahakama za simu moja?
 
Moja kivipi lina matawi 2000 yamefungwa? Mnapenda kuchochea udini bila sababu, hiv misikiti ikifungiwa nchi ungefurahi?

Kama shida ni Gwajima mumfungulie kesi acheni makanisa!!

Huyo mama siku anadondoka itakua sherehe kila kona, nimetokea kumchukia sana
Hakuna kiongozi anayependwa na watu wote hata Magu pamoja na mazuri yake bado siku alipokufa kuna watu walishangilia hata juzi tu hapa kafa ndugai kuna watu walishangilia hivyo haitakuwa ajabu au jambo jipya
 
TUNAJUA SANA MAKAFIRI YOU DEATH ON HER..BUT KUFA MTAKUFA NYINYI NA YEYE ATABAKI...

LABDA KAMA KIFO ANAPANGA KADINALI PENGO HAPO SAWA
Wala its not about uislam na ukristo, JF tulimpinga sana JPM na alikua mkristo. So huyo mama ni unpopular sio sababu ya dini yake bali ufisadi plus ukatili anaofanya. Haiwezekani Tanganyika nzima ikajaa wajinga at some point kuna rogue elements zita act in favor of the masses.

And you know what, I can't wait for that day when all you psychopaths will be weeping from the demise of that lunatic granny.
 
Friends and Our Enemies,

Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...

Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.

Hii Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria,chuki na hasadi mlizonazo hazitaweza kuwasaidia na kuitisha serikali.

Serikali ni yetu sote na jukumu lake ni kulinda amani na utulivu wa nchi hii.

Regime iliyopita Mlishangilia Lisu alipopigwa risasi na wengine mkasema ni msaliti,iweje leo Gwajima na Polepole na wafuasi wenu mje bila aibu mbele ya umma eti kumuonea huruma na kushinikiza serikali atolewe jela kwa amri zenu?

Hamna uwezo wa kufanya chochote,hamna uwezo wa kufanya lolote.
kumbe wewe ulishangilia? tumekujua. Mtumishi wa Mungu Gwajima Josephat, Nina uhakika hakushangilia.
 
Hakuna kiongozi anayependwa na watu wote hata Magu pamoja na mazuri yake bado siku alipokufa kuna watu walishangilia hata juzi tu hapa kafa ndugai kuna watu walishangilia hivyo haitakuwa ajabu au jambo jipya
JPM hakupendwa na kila mtu but ukweli ni kuwa wengi wanatambua na kuheshimu kazi yake hata Lissu na Mbowe walikiri hilo ila suala la demokrasia tu ndio watu wanapogawanyika kuhusu JPM

Ila huyu mama hakuna chochote ambapo watu wanaweza gawanyika juu yake she's so unpopular kuliko hata awamu ya pili ya JK. Na kama uchaguzi ungekua tight kama ule wa 2015 huyu mama angekimbia kabla ya siku ya uchaguzi. She's that weak ila ni suala la muda tu akipotezwa hautaona hata nzi itamkumbuka kwa lolote.
 
Sikiliza hotuba yake akimpongeza magufuli bungeni,anasema waache mmbwa waendelee kubweka,wewe piga kazi,na kusifia ushindi wa bunge la chama kimoja zama zile
Kwa hiyo wewe ungeweza kumpinha JPM kwa upigaji kazi wake? Kumbe alitaja mbwa na sio mtu sasa shida ipo wapi,?
 
Kanisa lililofutwa ni moja tuh la gwajima,na sababu ya kufufwa iko wazi kama anataka aende akakate rufaa...vitisho na kelele zake hazitamsaidia mwehu yule
Dhehebu ni moja ila makanisa husika ni zaidi ya 2,000.

Hivi misikiti yote ya dhehebu la SUNNI Tanganyika ikifutwa utasema ni msikiti mmoja tu umefutwa
 
Back
Top Bottom