THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Sikiliza hotuba yake akimpongeza magufuli bungeni,anasema waache mmbwa waendelee kubweka,wewe piga kazi,na kusifia ushindi wa bunge la chama kimoja zama zileWeka ushahidi unaoonesha Gwajima akishangilia kipindi Lissu katandikwa njugu 16.
Acha mipasho ya Udini,hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.
Hii Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria,chuki na hasadi mlizonazo hazitaweza kuwasaidia na kuitisha serikali
Kanisa lililofutwa ni moja tuh la gwajima,na sababu ya kufufwa iko wazi kama anataka aende akakate rufaa...vitisho na kelele zake hazitamsaidia mwehu yuleAcha mipasho ya Udini,
Hivi ingefungwa misikiti zaidi ya 2000 ungeandika hizi kejeli hapa, au ni mkuki kwa nguruwe?
Sisi tuko tayariTunaelekea Mwembechai 😂🥷
JINGA likubwa lioneFriends and Our Enemies,
Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...
Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.
Hii Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria,chuki na hasadi mlizonazo hazitaweza kuwasaidia na kuitisha serikali.
Serikali ni yetu sote na jukumu lake ni kulinda amani na utulivu wa nchi hii.
Regime iliyopita Mlishangilia Lisu alipopigwa risasi na wengine mkasema ni msaliti,iweje leo Gwajima na Polepole na wafuasi wenu mje bila aibu mbele ya umma eti kumuonea huruma na kushinikiza serikali atolewe jela kwa amri zenu?
Hamna uwezo wa kufanya chochote,hamna uwezo wa kufanya lolote.
Labda akina PondaSisi tuko tayari
Waislamu unawajua wewe?!Maneno mengi ya nini? Mshauri Muislam mwenzako aache uonevu wa kufunga, kuteka na kuua watu! Kisa tu madaraka.
Sawa, lakini hoja yako hasa ni ipi?Nyinyi ni nani hasa? Na hiyo “regime iliyopita” unayoizungumzia ni ipi, wakati Rais aliyepo madarakani (ambaye hakupigiwa kura na wananchi) alikuwa Makamu wa Rais wa hiyo hiyo regime?Friends and Our Enemies,
Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...
Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.
Hii Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria,chuki na hasadi mlizonazo hazitaweza kuwasaidia na kuitisha serikali.
Serikali ni yetu sote na jukumu lake ni kulinda amani na utulivu wa nchi hii.
Regime iliyopita Mlishangilia Lisu alipopigwa risasi na wengine mkasema ni msaliti,iweje leo Gwajima na Polepole na wafuasi wenu mje bila aibu mbele ya umma eti kumuonea huruma na kushinikiza serikali atolewe jela kwa amri zenu?
Hamna uwezo wa kufanya chochote,hamna uwezo wa kufanya lolote.
Unadhani mama yenu ana muda mrefu sasa? Mungu sio mwanadamu her days are numbered na utarudi kwenye huu uzi kufanya reference.Friends and Our Enemies,
Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...
Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.
Hii Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria,chuki na hasadi mlizonazo hazitaweza kuwasaidia na kuitisha serikali.
Serikali ni yetu sote na jukumu lake ni kulinda amani na utulivu wa nchi hii.
Regime iliyopita Mlishangilia Lisu alipopigwa risasi na wengine mkasema ni msaliti,iweje leo Gwajima na Polepole na wafuasi wenu mje bila aibu mbele ya umma eti kumuonea huruma na kushinikiza serikali atolewe jela kwa amri zenu?
Hamna uwezo wa kufanya chochote,hamna uwezo wa kufanya lolote.
Moja kivipi lina matawi 2000 yamefungwa? Mnapenda kuchochea udini bila sababu, hiv misikiti ikifungiwa nchi ungefurahi?Kanisa lililofutwa ni moja tuh la gwajima,na sababu ya kufufwa iko wazi kama anataka aende akakate rufaa...vitisho na kelele zake hazitamsaidia mwehu yule
Mnajiona nyie ndio alfa na omega ya kila kitu nchi hii siyo?Friends and Our Enemies,
Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...
Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.
Hii Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria,chuki na hasadi mlizonazo hazitaweza kuwasaidia na kuitisha serikali.
Serikali ni yetu sote na jukumu lake ni kulinda amani na utulivu wa nchi hii.
Regime iliyopita Mlishangilia Lisu alipopigwa risasi na wengine mkasema ni msaliti,iweje leo Gwajima na Polepole na wafuasi wenu mje bila aibu mbele ya umma eti kumuonea huruma na kushinikiza serikali atolewe jela kwa amri zenu?
Hamna uwezo wa kufanya chochote,hamna uwezo wa kufanya lolote.
Nashangaa pia yote hayo Sir mia wala Majaliwa awatajwi kana kwamba awakuwepoFriends and Our Enemies,
Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...
Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa litasismama kufanya maombi ya novena na hapo hapo wanatabiria wenzao vifo.
Hii Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria,chuki na hasadi mlizonazo hazitaweza kuwasaidia na kuitisha serikali.
Serikali ni yetu sote na jukumu lake ni kulinda amani na utulivu wa nchi hii.
Regime iliyopita Mlishangilia Lisu alipopigwa risasi na wengine mkasema ni msaliti,iweje leo Gwajima na Polepole na wafuasi wenu mje bila aibu mbele ya umma eti kumuonea huruma na kushinikiza serikali atolewe jela kwa amri zenu?
Hamna uwezo wa kufanya chochote,hamna uwezo wa kufanya lolote.
Friends and Our Enemies,

Hii Naikumbuka 2020.Sikiliza hotuba yake akimpongeza magufuli bungeni,anasema waache mmbwa waendelee kubweka,wewe piga kazi,na kusifia ushindi wa bunge la chama kimoja zama zile