Alipopigwa risasi walishangilia,eti leo wanasema wana huruma juu yake wanashikiza atolewe jela

Maneno mengi ya nini? Mshauri Muislam mwenzako aache uonevu wa kufunga, kuteka na kuua watu! Kisa tu madaraka.
Wewe mkristo mwenzako Jiwe ulikuwa unamshingilia lakini akiwa anafanya udikteta uchwara wake
 
Nilipanga kumpigia Samia kura lakini kwa hili hapana
 
Inakuuma sana mtu akibadilika na kuachana na ubaya aliokuwa nao awali.

Ulitaka asimsee Lisu aachiwe kwa sababu wewe unatamani anyongwe,n
 
Weka ushahidi unaoonesha Gwajima akishangilia kipindi Lissu katandikwa njugu 16.
Kwan kuna ushahidi gani ukiwaonyesha wanaccm wakishangilia Lissu kupigwa risasi?
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19jnBXvVfB/
 
Kumbuka Mungu hatetewi na mtu.
Ingekuwa hivyo asingetumia mitume na manabii kuwafikishia wanadamu ujumbe wake

Yani angekuja yeye mwenyewe kutuhabaria habari zake yeye mwenyewe na tungekuwa tunakula nae kashata kwenye vijiwe vya kahawa
 
Ingekuwa hivyo asingetumia mitume na manabii kuwafikishia wanadamu ujumbe wake

Yani angekuja yeye mwenyewe kutuhabaria habari zake yeye mwenyewe na tungekuwa tunakula nae kashata kwenye vijiwe vya kahawa
Elewa hoja yangu "kutetea"
Narudia tena Mungu hatetewi na mtu.
 
Acha kuvuta bangi na majani ya mpapai.Ukiweza hilo utakuwa kamtu kazuri tu.
 
Acha ulongo wako wewe. Aliyeshangilia nani? Unaandika kujifurahisha ili kutafuta sifa za kijinga.
 
Ogopa tekinolojia
Your browser is not able to display this video.
 

Kama nchi inaendeshwa kwa sheria na katiba hao wanaosema wamevunja sheria gani au kifungu gani cha katiba. Kakijitabu kama alvyodai Maza.
 
Maneno mengi ya nini? Mshauri Muislam mwenzako aache uonevu wa kufunga, kuteka na kuua watu! Kisa tu madaraka.
Wewe hukumshauri mkristo mwenzako aache kuua demokrasia na kuanza propaganda za chini chini za kutaka kujiongezea muda wa kutawala nchi hii,haya kiko wapi leo?

Marehem ndugai akawa anasema atake asitake tutamuongezea muda,,!!!.Eti watamuongezea muda,he he hee...wao wanapanga na mungu anapanga...na Allah ni m'bora kabisa katika wapangaji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…