Alipopigwa risasi walishangilia,eti leo wanasema wana huruma juu yake wanashikiza atolewe jela

Wewe mkristo mwenzako Jiwe ulikuwa unamshingilia lakini akiwa anafanya udikteta uchwara wake
Angalia michango yangu ya kipindi cha utawala wake halafu uone kama niliwahi kumshangilia au kumuunga mkono kwa sababu tu ya Ukristo wake kama mnavyofanya nyinyi wavaa kobazi msiojitambua, kwa huyu mama yenu aliyetekwa na genge la wahuni.
 
Kama nchi inaendeshwa kwa sheria na katiba hao wanaosema wamevunja sheria gani au kifungu gani cha katiba. Kakijitabu kama alvyodai Maza.
Gwajima kanisa lake limetwa kwa kukiuka miongozo na leseni ya kuendeshwa kwake,ameambiwa aende akakate rufaa anajiona yeye ni nunda,sasa mwaka huu ataolewa mjini hapa.

Maana mianya yake ya kupiga na kutapeli watu kwa mgongo wa kanisa umefungwa mwehu yule.
 
Angalia michango yangu ya kipindi cha utawala wake halafu uone kama niliwahi kumshangilia au kumuunga mkono kwa sababu tu ya Ukristo wake kama mnavyofanya nyinyi wavaa kobazi msiojitambua, kwa huyu mama yenu aliyetekwa na genge la wahuni.
Lini mliwahi kumpinga jiwe.?na ili hali hata hivi sasa mnalia na kusaga memo mkiomba arudi?
 

Acha upotoshaji. Ni uhuni tu unaendelea.

Barua ya kulifungia kanisa Waziri ameikana lakini bado kesi ipo mahakamani. Kila wanakohamia serikali inawafuata. Yaani hii nchi ukimuudhi Maza tu basi imekula kwako.
 
Unadhani mama yenu ana muda mrefu sasa? Mungu sio mwanadamu her days are numbered na utarudi kwenye huu uzi kufanya reference.
TUNAJUA SANA MAKAFIRI YOU DEATH ON HER..BUT KUFA MTAKUFA NYINYI NA YEYE ATABAKI...

LABDA KAMA KIFO ANAPANGA KADINALI PENGO HAPO SAWA
 
Lini mliwahi kumpinga jiwe.?na ili hali hata hivi sasa mnalia na kusaga memo mkiomba arudi?
Kwenye maelezo yangu nimekuambia utafute michango yangu ya nyuma ili uthibitishe kama nilikuwa nashangilia au kuunga mkono utawala wa uonevu wa huyo jiwe, kisa ni Mkristo! Badala ya kuthibitisha, unaleta porojo za uwingi! Mimi na nani?

Acha kujionesha kama huna akili ya kufikiri.
 
Nashangaa pia yote hayo Sir mia wala Majaliwa awatajwi kana kwamba awakuwepo

Jpm alimruhusu TL kushiriki uchaguzi ila huyu mbona anamuogopa na kampa kesi kubwa ya kuunga unga
ONA MLIVYO MATAHIRA,JPM ALIMRUHUSU ASHIRIKI KISHA MNASAHAU AKAMPONYA VITI VYOTE VYA UBUNGE?
 
Huo muda mchafu mimi sina,pia kama unaona tunamtetea samia kwa sababu tuh yeye ni muislam huo ni mtazamo wako
 
Gwajima hana deni ni MTU safi
Kama nakumbuka vizuri, ni kuwa Gwajima alimfikishia Lissu habari kabla hajapigwa risasi kuwa kuna mpango wa kumuua sema tu hawakujua itakuwa wazi namna hii. Aliyeshangilia tukio la Lissu kupigwa risasi ni Samia kwa kusema askari wa CCM wasikosa shabaha.
 
Nilitumia njia ya kumpinga waziwazi humu jukwaani. Vipi wewe unaye unga mkono uonevu, hujuma na ukatili! Kisa tu mtawala ni Muislam mwenzako? Una lipi la kusema?
 

Kwani leo anasema je? Au Mbowe, Kigaila, Mwalimu walisema je na leo wanasema je?

Habari mbaya kwako na na mama yenu, vita hivi tutavipigana leo na agenda ya leo!
 
Kwani leo anasema je? Au Mbowe, Kigaila, Mwalimu walisema je na leo wanasema je?

Habari mbaya kwako na na mama yenu, vita hivi tutavipigana leo na agenda ya leo!
Unaijulia wapi vita wewe kafiri?zaidi zaidi ya kucheza disco la yesu tuh
 
Nyinyi hata mufanye nini,samia ndie rais wa nchi hii.
Hakuna anayekataa hilo Ndigu hoja hai ni ukweli kuwa hata wanaomkosoa vikali wanamshauri tu.
Soma hoja za wachangiaji utabaini hitaji kuu ni kukataa mfumo kandamizi na chama Cha wananchi kupokwa mamlaka yake na wachache au wewe unaona ni sawa?
 
Mpina,Polepole na Gwajima ni wanafiki wa kiwango cha juu.
 
wewe mammalia Gesi ilitoka au haijatoka hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…