State capture ilianza awamu ya Mwinyi mkuu,ila mambo yalianza kuwa mabaya zaidi with Mkapa.Awamu ya Kikwete mambo yakazidi kuwa mabaya.Magufuli somehow alipungaza hali kuwa mbaya zaidi.With Samia nadhani vijana wetu watauzwa utumwani kama ilivyo DRC.Congo sasa.Inasikitisha sana.Hata nyumba uliyojenga mwenyewe inatozwa kodi!!!!Huu ni wizi uliokubuhu.N
ashukuru kumbe unafahamu mambo haya mabaya yalianzia awamu ya Nne na hayakuanzia awamu ya tano β ππ«‘
Wenye akili huzingatia kila tahadhari na kuchukua hatua stahiki kufanya marekebisho. Walio shiba kodi za Wadanganyika kupuuza kila ushauri. Kuna serikali zimewahi kuanguka na zilikuwa imara kuliko Tanganyika mara 10. Uzalendo haupo tena. Wananchi wanaofukuzwa na askari, mgambo nk no kwa kuuza bidhaa zao na hawana ajira ni rahisi mno kumuunga mkono mvamizi. Wahitimu mamilioni wasio na ajira hawana uzalendo tena ni rahisi kutumika. Naiogopa vita, nilikuwepo vita ya Uganda na Tz 1978-1980. Simpendi Kagame kama ukoma, but Tanzania ilipofikia Mungu tu apishe mbali. Mmasai aliyefukuzwa Loliondo anapata wapi uzalendo. Ndugu wa aliyepotezwa,, kupigwa risasi au kufungwa kisiasa anapata wapi uzalendo. Watoto genius wako mtaani hawana ajira, na watoto wa Viongozi wamejazana TRA na BOT, uzalendo utoke wapi ?Hizo sala zenu za kutaka TZ iwe kama DRC mngejiombea wenyewe na vizazi vyenu. Serikali ya CCM ipo imara na haiwezi kuruhusu wahuni kuleta taharuki.
Huwezi kutetea serikali za Tanzania except ya Nyerere na Magufuli usiwe aidha mjinga au state capture agentWhy? You comment is shocking
Kwangu mkuu ni swala la muda tu,Watanzania wamechoka,unless CCM imefanikiwa kuwafanya mazombie.Wenye akili huzingatia kila tahadhari na kuchukua hatua stahiki kufanya marekebisho. Walio shiba kodi za Wadanganyika kupuuza kila ushauri. Kuna serikali zimewahi kuanguka na zilikuwa imara kuliko Tanganyika mara 10. Uzalendo haupo tena. Wananchi wanaofukuzwa na askari, mgambo nk no kwa kuuza bidhaa zao na hawana ajira ni rahisi mno kumuunga mkono mvamizi. Wahitimu mamilioni wasio na ajira hawana uzalendo tena ni rahisi kutumika. Naiogopa vita, nilikuwepo vita ya Uganda na Tz 1978-1980. Simpendi Kagame kama ukoma, but Tanzania ilipofikia Mungu tu apishe mbali. Mmasai aliyefukuzwa Loliondo anapata wapi uzalendo. Ndugu wa aliyepotezwa,, kupigwa risasi au kufungwa kisiasa anapata wapi uzalendo. Watoto genius wako mtaani hawana ajira, na watoto wa Viongozi wamejazana TRA na BOT, uzalendo utoke wapi ?
Usitumie hasira na nguvu nyingi kutetea serikali. Hela inayotumika kizimkazi ni Kodi ya Mtanganyika, na deni la taifa limepaa kufikia trillion 100. Na Zanzibar Pato lao halilingani na mabilioni yanayochotwa Tanganyika. Watu wametunza mioyoni. Madaraja ya Tanganyika yamebomoka wakati huu wa mvua hela kuyajenga haipo. Imeenda kizimkazi. Watu wametunza. Ajira haipo. Akija mwehu mmoja kama Rwanda akawaahidi raia mema wakalinganisha na mateso ya kukosa tiba, ajira, nk ni rahisi kumuunga mkono.Maendeleo yanafanyika nchi nzima ikiwemo Kizimkazi. Mobutu angeendeleza maeneo mengine angalau DRC kungekuwa na barabara zinazopitika. Abdul alishawahi shusha mtu kwenye gari na kuamuru achapwe viboko? Acha upumbavu wa kufananisha giza na nuru. Hizo dua zako za kutaka TZ iwe kama DRC hazitafanikiwa.
Team Samia wamelewa madaraka kiasi kwamba hawaoni kabisa hatari iliyoko mbele yao.Ila niseme hivi,as team Lissu exposes their evil, something they are doing exceptionally well,Tanzanians will eventually turn against CCM and it's governmentNipigie Bookmark huu Uzi...Kwa matumizi ya miaka 25 ijayo niwe naonyesha wajukuu zangu.
Uzi uliosheheni ukweli mtupu...ila wale Team Samia hawataelewa.
Watanganyika wanateseka sana mkuu,and somehow this has to stopUsitumie hasira na nguvu nyingi kutetea serikali. Hela inayotumika kizimkazi ni Kodi ya Mtanganyika, na deni la taifa limepaa kufikia trillion 100. Na Zanzibar Pato lao halilingani na mabilioni yanayochotwa Tanganyika. Watu wametunza mioyoni. Madaraja ya Tanganyika yamebomoka wakati huu wa mvua hela kuyajenga haipo. Imeenda kizimkazi. Watu wametunza. Ajira haipo. Akija mwehu mmoja kama Rwanda akawaahidi raia mema wakalinganisha na mateso ya kukosa tiba, ajira, nk ni rahisi kumuunga mkono.
Huwezi kutetea serikali za Tanzania except ya Nyerere na Magufuli usiwe aidha mjinga au state capture agent
Ww una akili za wapi?Ndiyo akili ya mtu mweusi. Kutawaliwa na sio kufikishwa kwenye maendeleo.
CCM wamejaa wajinga hivyo usishangao wanavyochukulia kiwepesi hoja za msingiUsitumie hasira na nguvu nyingi kutetea serikali. Hela inayotumika kizimkazi ni Kodi ya Mtanganyika, na deni la taifa limepaa kufikia trillion 100. Na Zanzibar Pato lao halilingani na mabilioni yanayochotwa Tanganyika. Watu wametunza mioyoni. Madaraja ya Tanganyika yamebomoka wakati huu wa mvua hela kuyajenga haipo. Imeenda kizimkazi. Watu wametunza. Ajira haipo. Akija mwehu mmoja kama Rwanda akawaahidi raia mema wakalinganisha na mateso ya kukosa tiba, ajira, nk ni rahisi kumuunga mkono.
Duh π !Wenye akili huzingatia kila tahadhari na kuchukua hatua stahiki kufanya marekebisho. Walio shiba kodi za Wadanganyika kupuuza kila ushauri. Kuna serikali zimewahi kuanguka na zilikuwa imara kuliko Tanganyika mara 10. Uzalendo haupo tena. Wananchi wanaofukuzwa na askari, mgambo nk no kwa kuuza bidhaa zao na hawana ajira ni rahisi mno kumuunga mkono mvamizi. Wahitimu mamilioni wasio na ajira hawana uzalendo tena ni rahisi kutumika. Naiogopa vita, nilikuwepo vita ya Uganda na Tz 1978-1980. Simpendi Kagame kama ukoma, but Tanzania ilipofikia Mungu tu apishe mbali. Mmasai aliyefukuzwa Loliondo anapata wapi uzalendo. Ndugu wa aliyepotezwa,, kupigwa risasi au kufungwa kisiasa anapata wapi uzalendo. Watoto genius wako mtaani hawana ajira, na watoto wa Viongozi wamejazana TRA na BOT, uzalendo utoke wapi ?
What A typicall Savior Complex narrationMimi sio mfu. Ndo mana nawasaidia wengine wasiwe wafu.
Endelea kuchekelea kula keki ya Taifa.What A typicall Savior Complex narration
Keyboard warrior akajichomekee humo vp?Basi jichomeke humo ukafanye mabadiliko
Tutabishana sana ila hiyo dua yenu haitafanikiwa kamwe. Hizo ndoto zenu za mchana acheni.Usitumie hasira na nguvu nyingi kutetea serikali. Hela inayotumika kizimkazi ni Kodi ya Mtanganyika, na deni la taifa limepaa kufikia trillion 100. Na Zanzibar Pato lao halilingani na mabilioni yanayochotwa Tanganyika. Watu wametunza mioyoni. Madaraja ya Tanganyika yamebomoka wakati huu wa mvua hela kuyajenga haipo. Imeenda kizimkazi. Watu wametunza. Ajira haipo. Akija mwehu mmoja kama Rwanda akawaahidi raia mema wakalinganisha na mateso ya kukosa tiba, ajira, nk ni rahisi kumuunga mkono.
Hakuna mwenye akili timamu wa umri wetu anaitakia mabaya Tanganyika hasa tulioshuhudia vita ya Kagera. Tunaishi Tanganyika, tuna watoto wajukuu, ndugu na marafiki hapa hapa. Kuonya kuna faida, ila viongozi hasa walioshiba Kodi hawalazimishwi kuchukua ushauri wa yeyote. Take note for, Syria, Iraq, Congo, Tunisia, Egypt, West Africa nk.Tutabishana sana ila hiyo dua yenu haitafanikiwa kamwe. Hizo ndoto zenu za mchana acheni.
Una matatizo ya kumkichwa ndugu yangu na ninakuambia kwa upendo kabisa. You have an acute psychologicall problem.Endelea kuchekelea kula keki ya Taifa.
Ni wachache waliopewa uwezo wa kuona mbele na kutoa tahadhari. Its very unfortunate wewe haupo kwenye hilo kundi. Endeleeni kulea ujinga na kukuza ujinga kwa Watanzania. Ipo siku.
Kumbuka hili neno ipo siku.
Trump huyo.Kiongozi anayesifiwa sana jua hakuna analofanya .