mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ongezea na kageraGeita naiona kama Goma na Kigoma naiona kama Bukavu itakuwa hatari sana.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea na kageraGeita naiona kama Goma na Kigoma naiona kama Bukavu itakuwa hatari sana.
Hicho unacho kitamani kitokee Tz hakiwezekani... Misingi ya siasa jamii na uchumi wa WaTz haufanani na nchi yoyote Africa, hivyo Tz inaendelea kubaki nchi bora ya kuigwa kwasababu ya misingi na falsafa thabiti inayojipambanua vzuri...Kwani kwa Mobutu ulisikia upinzani ? Kongo ilikuwa amani, miziki, mpira na starehe ya kufa mtu. Lakini watu makini, wazalendo ziro. Ndiyo maana M23 hawana upinzani wowote. Hakuna mtu wa kuionea uchungu Congo. Wababe wanamiliki misitu, migodi na raia wanakimbia na magodoro kuepuka vita.
Baambie baelewe bandugu !Baelesee bachawa ba mama
Toa comment mkuu!
Jitoe Mirembe!Hicho unacho kitamani kitokee Tz hakiwezekani... Misingi ya siasa jamii na uchumi wa WaTz haufanani na nchi yoyote Africa, hivyo Tz inaendelea kubaki nchi bora ya kuigwa kwasababu ya misingi na falsafa thabiti inayojipambanua vzuri...
Ushindwe na ulegee familia yako ndio itakuwa kama ilivyo kuwa CongoMwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania!
Niliandika uzi ule kwa sababu kuna vitu vingi sana vilivyokuwa vinatokea wakati ule havikuwa na tofauti na mambo yaliyokuwa yanatokea nchini Congo kipindi cha Mobutu. Niliweka na Documentary waliyoiandaa wazungu inayoonesha namna Congo ya Mobutu ilivyokuwa (Nashauri wanabodi muiangalie hadi mwisho bila kuchoka na mtajifunza kitu hakika).
Hii ndo ilikuwa Congo ya Mobutu Sese Seko
Amani iwe nanyi Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa 1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa...www.jamiiforums.com
Labda watu hawafahamu.
Congo tunayoiona leo ya vijana kuwasifia watu wenye hela na kuwaabudu badala ya kujikita kwenye kupata maarifa ya kuisaidia nchi yao kwenda mbele iliasisiwa na aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
Baada ya kushika madaraka, Mobutu alitengeneza Congo ya machawa. Ilikuwa huwezi kupata cheo au nafasi Serikalini bila kuonesha unyenyekevu wako na kujipendekeza kwako kwake.
Chama chake alikiita chama dola na kuwatengeneza wa Congo kukisifu chama chake na yeye binafsi. Zilitungwa nyimbo za kumsifu, zilitengenezwa nguo zenye picha zake pamoja na kofia ambazo vijana, wamama na watu wa Congo walitengenezewa utaratibu wa kuzivaa ili kumsifu na kuonesha kuwa maendeleo ya Congo ni yeye na hakuna Congo bila yeye.
Badala ya wananchi wa Congo kutengenezwa kufikiri vizuri kwa fikra huru kwa ajili ya maendeleo yao kwa miaka mingi ijayo, walitengenezwa kuwaza maendeleo ni mtu na bila kumsifu huyo mtu mkono hauwezi kwenda kinywani.
Matokeo ya hayo ni kwamba badala ya kutengeneza vijana na watu wenye akili kwa faida ya nchi yao, walitengeneza mapooza kichwani ambao ndo walipewa madaraka na Mobutu, hivyo nchi ya Congo alishindwa kustawi na kuhimili maadui wa ndani na nje maana walioshika uongozi hawakushika kwa merit ila kwa kujipendekeza kwao kwa Mobutu na chama chake.
Hali hii ndo yanayotokea sasa nchini Tanzania, kwetu Mobutu wetu ni CCM.
Kuanzia mwaka 2012, CCM walianza kutengeneza mfumo wa siasa zilizoshika hatamu leo hii. Walitengeneza mfumo wa vijana wanaoonesha kuwapigania, kuwatetea na kuwasemea vizuri viongozi wao kupewa madaraka makubwa ya uongozi kwenye utumishi wa Umma. Hii ilianza kwa Nape baada ya kumtukana Lowasa na kuonesha kuwa chawa wa JK alikabidhiwa Ukuu wa Wilaya na baadae cheo ndani ya CCM.
Ilifuata kwa Makonda ambaye nae baada ya kuonesha kuwa chawa wa JK kwa kumsema vibaya Lowassa akazawadiwa ukuu wa wilaya.
Kubwa zaidi ni Magufuli ambaye kwenye kila hotuba za kuzindua miradi ya ujenzi alikuwa anamsifia JK mwishowe JK akaona ndo awe Rais wa Tz.
Kipindi cha JK, vijana waliokuwa vyuoni waliotengenezwa na siasa za namna hiyo walianza kuzawadiwa nafasi ya uongozi na utumishi Serikalini kama DAS, DED, DC na nyinginezo.
Alipokuja Magufuli ndo alilifanya suala hili zaidi ya alivyofanya Kikwete. Magufuli alikuwa akikuona leo umemuongelea vizuri kwenye chombo cha habari kesho yake unasikia Msigwa kakutangaza wewe kuwa DC/DED/DAS/RAS/KM au Mwenyekiti wa Bodi au Mjumbe wa Bodi. Watu waliacha kupewa vyeo kwa uwezo wao ila kutokana na uchawa wao kwa Rais na chama chake.
Matokeo yake hali hii imeendelea na kukua hadi kwenye maisha ya kawaida. Mitaani machawa ndo wanqpewa fursa, kwa wasanii wanaotunga nyimbo za kuwasifia viongozi ndo wanapewa tenda za kufanya kazi na Taasisi za Umma ili wapige hela.
Sasa hali hii imefika climax. Siku hizi fedha za umma (kodi za wananchi) zinazotengwa kwenye bajeti ya Serikali kutekeleza miradi mbalimbali zinahusishwa na mtu kusifiwa binafsi kuwa anafanya yeye. Utasikia Magufuli kafanya haya, hakuna kama Magufuli, mara Samia kafanya haya, hakuna kama Samia.
Sasaivi huko CCM kama huvai kofia yenye nembo ya SSH au Samia au nguo yenye picha ya Samia unaonekana kama sio mwenzao.
Kwa wasio na akili wanaweza kuona jambo hili ni la kawaida sana ila kwa wenye akili napenda kuwaambia hizi ni dalili rasmi kuwa Tanzaniartunaenda kuwa kama Congo.
Suala hili linaenda kudumaza sana akili za Watanzania, suala hili linaenda kututengenezea jamii iliyopo Congo leo nchini Tanzania ambayo inaamini kwenye kujipendekeza, kutukuza wenye hela hali iliyofanya Taifa lile leo kufa na kuwa shamba la bibi kwa watu wenye akili (Mataifa mbalimbali ambayo yanaliibia ikiwemo Rwanda na Uganda)
Leo hii Tanzania, Vijana ambao wanashika nafasi zinazopaswa kushikwa na watu smart na intelligent ni vijana ambao wanaamini bila kujipendekeza kwao kwa CCM na Viongozi wao wakuu wasingefika hapo. Vijana hawa hawataweza kuifanya nchi yetu kuhimili hila za maadui wa ndani na nje ambao nchi zao zinawatengeneza kwa kuwapa exposure na kuwatengeneza kuwa smart isivyo kawaida.
Vijana hawa hawataweza kutengeneza Tanzania Dream ambayo inapaswa kutengenezwa na watu wanaoshika nafasi za maamuzi kwa merit na sio uchawa. Watu wanaofanya research na kuandika mambo makubwa na kuyasimamia yawe kweli.
Naionea huruma Tanzania. Kama Vyombo vya dola havitaisaidia kuiondoa CCM madarakani. Sisi ni Congo tunaofuata.
Kama ni ukichaa basi wewe ni Kichaa.Mwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania!

Duuh tumefika huku?Sasaivi huko CCM kama huvai kofia yenye nembo ya SSH au Samia au nguo yenye picha ya Samia unaonekana kama sio mwenzao
Uzalendo hupandikizwa na kama wenye nguvu sio miongoni mwao huwa wanapandikiza Uchawa ! 😳Nna usemi wangu mmoja nautumiaga muda sana
Nasemaga"taifa limekuwa la wakata mauno"
Ova
Nilijua utaleta hoja kinzani.Kama ni ukichaa basi wewe ni Kichaa.
Anazungumzia TZ iliyoishia kipindi cha Mkapa Angalau !Jitoe Mirembe!
Kuna hoja gani ya kutoa hapa? Yaani Tanzania inafananishwa na Zaire ya Mobutu halafu mimi Mtanzania wa kweli nikae kimya? Eti nitoe hoja!? Upumbavu haujadiliwi!!!!Nilijua utaleta hoja kinzani.
Mkuu hata DRC haikuamka siku moja na kujikuta hapo. Think nje ya boxKuna hoja gani ya kutoa hapa? Yaani Tanzania inafananishwa na Zaire ya Mobutu halafu mimi Mtanzania wa kweli nikae kimya? Eti nitoe hoja!? Upumbavu haujadiliwi!!!!
Toa comment mkuu!
Jeshi la kufanya hivyo litatokea wapi Burundi?Muda utaongea. Ni suala la muda tu!
Jeshi likiwa limelala au?Suala la nchi kupasuka hilo lipo wazi.
Na watakaoanzisha Hilo vuguvugu ni watu kutoka jamii ya Kanda ya Ziwa.