Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

Hicho unacho kitamani kitokee Tz hakiwezekani... Misingi ya siasa jamii na uchumi wa WaTz haufanani na nchi yoyote Africa, hivyo Tz inaendelea kubaki nchi bora ya kuigwa kwasababu ya misingi na falsafa thabiti inayojipambanua vzuri...
 
Hicho unacho kitamani kitokee Tz hakiwezekani... Misingi ya siasa jamii na uchumi wa WaTz haufanani na nchi yoyote Africa, hivyo Tz inaendelea kubaki nchi bora ya kuigwa kwasababu ya misingi na falsafa thabiti inayojipambanua vzuri...
Jitoe Mirembe!
 
Ushindwe na ulegee familia yako ndio itakuwa kama ilivyo kuwa Congo
 
Kama ni ukichaa basi wewe ni Kichaa.
 
Chawa ni mdudu anakaa mahali pachafu.

Inakuwaje unakubali kuitwa chawa, au inakuaje ukubali chawa wahusishwe nawe?

Tunajenga nchi ya hovyo mno. Nchi ya burudani burudani kupotezea mambo ya msingi.

Hata vyombo vyetu vya usafiri ni nyimbo tu na kuonesha wakata mauno mwanzo mwisho, Songea Dar, Dar Songea safari 300 hakuna hata dakika 2 za kuongeza maarifa. Hongera ABC Bus, mpo tofauti kidogo.

Lazima tujiulize, hii tabia ya sifasifa inatusaidia kama taifa? Tukijastuka hatutajikuta tumesha zingirwa, tumenasa matopeni?

Nani hao wanaendekeza, wanalealea upuuzi huu.

Tujiulize, muda unavyo pita raia wengi wakuwa werevu zaidi au machawa mazuzu?

Wengine wana shahada kabisa lakini chawa, ndio werevu au janjajanja ya kijinga tu ?

Tubadilike.
 
Tatizo njaa.Mwenye njaa ukimwambia apande kwenye transformer aibe mafuta anapanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…