Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Wewe ulidhani ni kikundi cha Wasukuma kutoka kanda ya Ziwa? Ni Jeshi sio raia wa kawaida ndio maana mkipeleka ndugu zenu kule wanawaua bila hurumaKumbe !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulidhani ni kikundi cha Wasukuma kutoka kanda ya Ziwa? Ni Jeshi sio raia wa kawaida ndio maana mkipeleka ndugu zenu kule wanawaua bila hurumaKumbe !
Yakija kutimia. Huu uzi utafufuliwa. Tuombe uhai.Kabisa tatizo kubwa la nchi hii sasa sio kingine ni CCM na mfumo waliokwisha ujenga. Jamani tuondokane na genge hili mapema iwezekanavyo la sivyo...
DuuhMwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania!
Niliandika uzi ule kwa sababu kuna vitu vingi sana vilivyokuwa vinatokea wakati ule havikuwa na tofauti na mambo yaliyokuwa yanatokea nchini Congo kipindi cha Mobutu. Niliweka na Documentary waliyoiandaa wazungu inayoonesha namna Congo ya Mobutu ilivyokuwa (Nashauri wanabodi muiangalie hadi mwisho bila kuchoka na mtajifunza kitu hakika).
Hii ndo ilikuwa Congo ya Mobutu Sese Seko
Amani iwe nanyi Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa 1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa...www.jamiiforums.com
Labda watu hawafahamu.
Congo tunayoiona leo ya vijana kuwasifia watu wenye hela na kuwaabudu badala ya kujikita kwenye kupata maarifa ya kuisaidia nchi yao kwenda mbele iliasisiwa na aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
Baada ya kushika madaraka, Mobutu alitengeneza Congo ya machawa. Ilikuwa huwezi kupata cheo au nafasi Serikalini bila kuonesha unyenyekevu wako na kujipendekeza kwako kwake.
Chama chake alikiita chama dola na kuwatengeneza wa Congo kukisifu chama chake na yeye binafsi. Zilitungwa nyimbo za kumsifu, zilitengenezwa nguo zenye picha zake pamoja na kofia ambazo vijana, wamama na watu wa Congo walitengenezewa utaratibu wa kuzivaa ili kumsifu na kuonesha kuwa maendeleo ya Congo ni yeye na hakuna Congo bila yeye.
Badala ya wananchi wa Congo kutengenezwa kufikiri vizuri kwa fikra huru kwa ajili ya maendeleo yao kwa miaka mingi ijayo, walitengenezwa kuwaza maendeleo ni mtu na bila kumsifu huyo mtu mkono hauwezi kwenda kinywani.
Matokeo ya hayo ni kwamba badala ya kutengeneza vijana na watu wenye akili kwa faida ya nchi yao, walitengeneza mapooza kichwani ambao ndo walipewa madaraka na Mobutu, hivyo nchi ya Congo alishindwa kustawi na kuhimili maadui wa ndani na nje maana walioshika uongozi hawakushika kwa merit ila kwa kujipendekeza kwao kwa Mobutu na chama chake.
Hali hii ndo yanayotokea sasa nchini Tanzania, kwetu Mobutu wetu ni CCM.
Kuanzia mwaka 2012, CCM walianza kutengeneza mfumo wa siasa zilizoshika hatamu leo hii. Walitengeneza mfumo wa vijana wanaoonesha kuwapigania, kuwatetea na kuwasemea vizuri viongozi wao kupewa madaraka makubwa ya uongozi kwenye utumishi wa Umma. Hii ilianza kwa Nape baada ya kumtukana Lowasa na kuonesha kuwa chawa wa JK alikabidhiwa Ukuu wa Wilaya na baadae cheo ndani ya CCM.
Ilifuata kwa Makonda ambaye nae baada ya kuonesha kuwa chawa wa JK kwa kumsema vibaya Lowassa akazawadiwa ukuu wa wilaya.
Kubwa zaidi ni Magufuli ambaye kwenye kila hotuba za kuzindua miradi ya ujenzi alikuwa anamsifia JK mwishowe JK akaona ndo awe Rais wa Tz.
Kipindi cha JK, vijana waliokuwa vyuoni waliotengenezwa na siasa za namna hiyo walianza kuzawadiwa nafasi ya uongozi na utumishi Serikalini kama DAS, DED, DC na nyinginezo.
Alipokuja Magufuli ndo alilifanya suala hili zaidi ya alivyofanya Kikwete. Magufuli alikuwa akikuona leo umemuongelea vizuri kwenye chombo cha habari kesho yake unasikia Msigwa kakutangaza wewe kuwa DC/DED/DAS/RAS/KM au Mwenyekiti wa Bodi au Mjumbe wa Bodi. Watu waliacha kupewa vyeo kwa uwezo wao ila kutokana na uchawa wao kwa Rais na chama chake.
Matokeo yake hali hii imeendelea na kukua hadi kwenye maisha ya kawaida. Mitaani machawa ndo wanqpewa fursa, kwa wasanii wanaotunga nyimbo za kuwasifia viongozi ndo wanapewa tenda za kufanya kazi na Taasisi za Umma ili wapige hela.
Sasa hali hii imefika climax. Siku hizi fedha za umma (kodi za wananchi) zinazotengwa kwenye bajeti ya Serikali kutekeleza miradi mbalimbali zinahusishwa na mtu kusifiwa binafsi kuwa anafanya yeye. Utasikia Magufuli kafanya haya, hakuna kama Magufuli, mara Samia kafanya haya, hakuna kama Samia.
Sasaivi huko CCM kama huvai kofia yenye nembo ya SSH au Samia au nguo yenye picha ya Samia unaonekana kama sio mwenzao.
Kwa wasio na akili wanaweza kuona jambo hili ni la kawaida sana ila kwa wenye akili napenda kuwaambia hizi ni dalili rasmi kuwa Tanzaniartunaenda kuwa kama Congo.
Suala hili linaenda kudumaza sana akili za Watanzania, suala hili linaenda kututengenezea jamii iliyopo Congo leo nchini Tanzania ambayo inaamini kwenye kujipendekeza, kutukuza wenye hela hali iliyofanya Taifa lile leo kufa na kuwa shamba la bibi kwa watu wenye akili (Mataifa mbalimbali ambayo yanaliibia ikiwemo Rwanda na Uganda)
Leo hii Tanzania, Vijana ambao wanashika nafasi zinazopaswa kushikwa na watu smart na intelligent ni vijana ambao wanaamini bila kujipendekeza kwao kwa CCM na Viongozi wao wakuu wasingefika hapo. Vijana hawa hawataweza kuifanya nchi yetu kuhimili hila za maadui wa ndani na nje ambao nchi zao zinawatengeneza kwa kuwapa exposure na kuwatengeneza kuwa smart isivyo kawaida.
Vijana hawa hawataweza kutengeneza Tanzania Dream ambayo inapaswa kutengenezwa na watu wanaoshika nafasi za maamuzi kwa merit na sio uchawa. Watu wanaofanya research na kuandika mambo makubwa na kuyasimamia yawe kweli.
Naionea huruma Tanzania. Kama Vyombo vya dola havitaisaidia kuiondoa CCM madarakani. Sisi ni Congo tunaofuata.
Unapozungumzia Congo unazungumzia Jeshi na unapozungumzia Sudan unazungumzia Jeshi, sasa unapomix Tanzania na Congo kwamba kinachotokea Congo kitatokea Tanzania kwa minajiri ipi? Hilo Jeshi la kufanya fyoko mbele ya CCM lipo wapi?Kwa hiyo leo mnasema kabisavJWTZ ni jeshi la CCM?
Uzuri na wao wanasoma wanaona mlipofikia CCM.
Muda utaongea!
Upo sahihi sana.Mambo huwa yakwenda tatatibu namna hii mara buum.
Endelea kuamini unavyoamini. Uzi umejieleza wapi. Kuna hadi link ya Congo ya Mobutu ilivyokuwa.Unapozungumzia Congo unazungumzia Jeshi na unapozungumzia Sudan unazungumzia Jeshi, sasa unapomix Tanzania na Congo kwamba kinachotokea Congo kitatokea Tanzania kwa minajiri ipi? Hilo Jeshi la kufanya fyoko mbele ya CCM lipo wapi?
Umepata akiliMwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania!
Niliandika uzi ule kwa sababu kuna vitu vingi sana vilivyokuwa vinatokea wakati ule havikuwa na tofauti na mambo yaliyokuwa yanatokea nchini Congo kipindi cha Mobutu. Niliweka na Documentary waliyoiandaa wazungu inayoonesha namna Congo ya Mobutu ilivyokuwa (Nashauri wanabodi muiangalie hadi mwisho bila kuchoka na mtajifunza kitu hakika).
Hii ndo ilikuwa Congo ya Mobutu Sese Seko
Amani iwe nanyi Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa 1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa...www.jamiiforums.com
Labda watu hawafahamu.
Congo tunayoiona leo ya vijana kuwasifia watu wenye hela na kuwaabudu badala ya kujikita kwenye kupata maarifa ya kuisaidia nchi yao kwenda mbele iliasisiwa na aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
Baada ya kushika madaraka, Mobutu alitengeneza Congo ya machawa. Ilikuwa huwezi kupata cheo au nafasi Serikalini bila kuonesha unyenyekevu wako na kujipendekeza kwako kwake.
Chama chake alikiita chama dola na kuwatengeneza wa Congo kukisifu chama chake na yeye binafsi. Zilitungwa nyimbo za kumsifu, zilitengenezwa nguo zenye picha zake pamoja na kofia ambazo vijana, wamama na watu wa Congo walitengenezewa utaratibu wa kuzivaa ili kumsifu na kuonesha kuwa maendeleo ya Congo ni yeye na hakuna Congo bila yeye.
Badala ya wananchi wa Congo kutengenezwa kufikiri vizuri kwa fikra huru kwa ajili ya maendeleo yao kwa miaka mingi ijayo, walitengenezwa kuwaza maendeleo ni mtu na bila kumsifu huyo mtu mkono hauwezi kwenda kinywani.
Matokeo ya hayo ni kwamba badala ya kutengeneza vijana na watu wenye akili kwa faida ya nchi yao, walitengeneza mapooza kichwani ambao ndo walipewa madaraka na Mobutu, hivyo nchi ya Congo alishindwa kustawi na kuhimili maadui wa ndani na nje maana walioshika uongozi hawakushika kwa merit ila kwa kujipendekeza kwao kwa Mobutu na chama chake.
Hali hii ndo yanayotokea sasa nchini Tanzania, kwetu Mobutu wetu ni CCM.
Kuanzia mwaka 2012, CCM walianza kutengeneza mfumo wa siasa zilizoshika hatamu leo hii. Walitengeneza mfumo wa vijana wanaoonesha kuwapigania, kuwatetea na kuwasemea vizuri viongozi wao kupewa madaraka makubwa ya uongozi kwenye utumishi wa Umma. Hii ilianza kwa Nape baada ya kumtukana Lowasa na kuonesha kuwa chawa wa JK alikabidhiwa Ukuu wa Wilaya na baadae cheo ndani ya CCM.
Ilifuata kwa Makonda ambaye nae baada ya kuonesha kuwa chawa wa JK kwa kumsema vibaya Lowassa akazawadiwa ukuu wa wilaya.
Kubwa zaidi ni Magufuli ambaye kwenye kila hotuba za kuzindua miradi ya ujenzi alikuwa anamsifia JK mwishowe JK akaona ndo awe Rais wa Tz.
Kipindi cha JK, vijana waliokuwa vyuoni waliotengenezwa na siasa za namna hiyo walianza kuzawadiwa nafasi ya uongozi na utumishi Serikalini kama DAS, DED, DC na nyinginezo.
Alipokuja Magufuli ndo alilifanya suala hili zaidi ya alivyofanya Kikwete. Magufuli alikuwa akikuona leo umemuongelea vizuri kwenye chombo cha habari kesho yake unasikia Msigwa kakutangaza wewe kuwa DC/DED/DAS/RAS/KM au Mwenyekiti wa Bodi au Mjumbe wa Bodi. Watu waliacha kupewa vyeo kwa uwezo wao ila kutokana na uchawa wao kwa Rais na chama chake.
Matokeo yake hali hii imeendelea na kukua hadi kwenye maisha ya kawaida. Mitaani machawa ndo wanqpewa fursa, kwa wasanii wanaotunga nyimbo za kuwasifia viongozi ndo wanapewa tenda za kufanya kazi na Taasisi za Umma ili wapige hela.
Sasa hali hii imefika climax. Siku hizi fedha za umma (kodi za wananchi) zinazotengwa kwenye bajeti ya Serikali kutekeleza miradi mbalimbali zinahusishwa na mtu kusifiwa binafsi kuwa anafanya yeye. Utasikia Magufuli kafanya haya, hakuna kama Magufuli, mara Samia kafanya haya, hakuna kama Samia.
Sasaivi huko CCM kama huvai kofia yenye nembo ya SSH au Samia au nguo yenye picha ya Samia unaonekana kama sio mwenzao.
Kwa wasio na akili wanaweza kuona jambo hili ni la kawaida sana ila kwa wenye akili napenda kuwaambia hizi ni dalili rasmi kuwa Tanzaniartunaenda kuwa kama Congo.
Suala hili linaenda kudumaza sana akili za Watanzania, suala hili linaenda kututengenezea jamii iliyopo Congo leo nchini Tanzania ambayo inaamini kwenye kujipendekeza, kutukuza wenye hela hali iliyofanya Taifa lile leo kufa na kuwa shamba la bibi kwa watu wenye akili (Mataifa mbalimbali ambayo yanaliibia ikiwemo Rwanda na Uganda)
Leo hii Tanzania, Vijana ambao wanashika nafasi zinazopaswa kushikwa na watu smart na intelligent ni vijana ambao wanaamini bila kujipendekeza kwao kwa CCM na Viongozi wao wakuu wasingefika hapo. Vijana hawa hawataweza kuifanya nchi yetu kuhimili hila za maadui wa ndani na nje ambao nchi zao zinawatengeneza kwa kuwapa exposure na kuwatengeneza kuwa smart isivyo kawaida.
Vijana hawa hawataweza kutengeneza Tanzania Dream ambayo inapaswa kutengenezwa na watu wanaoshika nafasi za maamuzi kwa merit na sio uchawa. Watu wanaofanya research na kuandika mambo makubwa na kuyasimamia yawe kweli.
Naionea huruma Tanzania. Kama Vyombo vya dola havitaisaidia kuiondoa CCM madarakani. Sisi ni Congo tunaofuata.
Hunijui tu vizuri. Nifuatilie vizuri.Umepata akili
Hakuna uahuzi wala uchuro.We bwege huna kazi ya kufanya? Unatujazia ushuzi tu. Acha uchuro huo muda utakuwa wa kifo chako usikibarie nchi yetu huo upuuzi wako. We ni zero brain afadhali ya nyumbu
Of course, Uchawa ni tabia ya ovyooooooo.Mwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania!

Tunaua kizazi cha watu wanaopaswa kuwa juu kwa sababu ya merit na tumetengeneza wenyewe kwa mikono yetu kizazi kinachoamini kuishi kwenye uchawa ili upate.Of course, Uchawa ni tabia ya ovyooooooo.
Na kibaya zaidi tumeshakuwa addicted, tumeanza mpaka ku-import machawa kutoka Congo na Kenya
Very sadTanzania ishakuwa kama kongo mbona .......
Namba moja watu wameaminishwa burudani
Uchawa nk
Dar naiona kama Kinshasa vile
Ova
TISS na hao viongozi wa Dini ndo machawa wenyewe kuliko MwijakuTISS na viongozi wakuu wa DINI waingilie kati otherwise tumekwishaaa.
Huko kote naskia kumeharibiwa na uchawa na kujipendekeza. Tumeshageli Tanzania. Bila kuchukua hatua ndo twafaaa!TISS na hao viongozi wa Dini ndo machawa wenyewe kuliko Mwijaku
Ukiona Idara ya Usalama inafikia hatua ya kushiriki kuiba hadi uchaguzi wa vijiji na mitaa ujue nchi imefika hatua mbaya sana.TISS na hao viongozi wa Dini ndo machawa wenyewe kuliko Mwijaku
Nyie ndio vijana mlionzungumzwa humu kwenye Uzi,Sasa kama CCM inaendelea kutawala na bado tunajengewa vyoo na Wafadhili na tuna madini ndio tunaelekea kuwa zaidi ya CongoMnavyo iombea mabaya Tz, halafu ndio kwanza Mungu anaibariki CCM inazidi kutawala nchi, hakuna maandamano hakuna kelele wapinzani wote wameufyata wamebaki kutukanana wenyewe kwa wenyewe kisa uenyekit 🤣💩
CCM wameshaua suala la wenye akili kushika hatamu ya nchi.Nyie ndio vijana mlionzungumzwa humu kwenye Uzi,Sasa kama CCM inaendelea kutawala na bado tunajengewa vyoo na Wafadhili na tuna madini ndio tunaelekea kuwa zaidi ya Congo
Tahira mwenyewe. Soma habari hapo, hata kwenye kitabu chake Mzee Mwinyi alikiri hilo, alisema pia mpango wa Waziri Cleopa Msuya ndio ulinusuru Tanzania kna kuimarisha uchumi pia alisema tulipewa msaada na ZimbabweSijawahi kusoma comment ya tahira kama wewe. Unam-compare Nyerere na Mobutu!!!!!!!!! Tahira hasa; yaani cretin
kwani hujasikia kadanse la mamaBado masebene tu
Kuna nyingine Samia Hana Deni anaiongoza Baba Levo na kuna ile Chawa wa Mama.kwani hujasikia kadanse la mama