Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Mkuu nimekuelewa vizuri sana ila kuna kitu naona hapa nadhani hamnielewi au mnanielewa kutokunielewa ninachokisema mimi ni kwamba kule Congo M23 sio kikundi cha raia wa kawaida wenye silaha M23 ni Jeshi lenye mafunzo ya kijeshi, unanielewa sijui hapo wamejifunzia wapi hayo mafunzo mpaka wanawatia jamba jamba kila wanaosogea kuongilia mgogoro wao hilo swali usiniulize, tuje upande wetu hapa twende taratibu hivi unahisi kuna Jeshi la Tanzania ambalo litaenda kinyume na Serikali na kutaka kuipindua Serikali? Ndio maana nawaambia nyinyi mnaota sababu mnaongea na hamsemi kwanini mnaongea mnasema tu subiri subiri utaona siku sio mbali kutoka sasa hicho ndicho kitakacho waangusha mtatumia Jeshi gani kuwaangusha?Watu Kama wewe wapo/ walikuwepo tangu enzi za mitume wa Mungu ndio walio kua watesi wa YESU KRISTO na Mtume Muhammad.
So unaweza fanya unacho fanya Ila moyoni kumbuka hivi vitu.
* Maternich system.
Kama kwa bahati mbaya ungezaliwa mwaka 1821_1848 Austria.
Mtawala akiwa chancellor Clemens von Metternich. AMBAE for three decades alikalia kiti Kama chancellor of Austria. He was a conservative statesman alikua very conservative.
Matternich alikua na mfumo Dola na aliweza kuanzisha his spying system "matternich system" watu waliogopa hata kuongea UOVU wa serikali yao hata wakiwa peke yao chooni.
Hawa watu waliogopa,/ na ingekua enzi za matternich era baadhi humu tusinge kua tunaandika hata Kama ni anonymous identity
Watu ambao walizaliwa kwenye matternich era ilikua ukiwa ambia Kuna siku SERIKALI dhalimu ya matternich itaangushwa wangekukatalia kabisa ni kama wangekwambia upo kwenye nightmare.
Kwa CCM yenu kuto kusoma alama za nyakati na mahitaji ya jamii kwa Sasa ndicho kitakacho waangusha na sio mbali kutoka Sasa.