Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.📌🔨❗Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.
Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu umekuwa ukifanywa mara kwa mara kwa wananchi wanaotuhumiwa makosa mbalimbali. Watu walioapa kuilinda Katiba kwa mbwembwe na vigelegele wamekuwa wa kwanza kuvunja Katiba hiyo bila kujali (with impunity).
Ibara hii ya 13 inahitaji kufundishwa kwenye vyuo vyote vya mambo ya usalama. Na wananchi wanapokamatwa kutuhumiwa lolote wajue haki zao ndani ya ibara hii. Nafafanua.
View: https://youtu.be/j81uAK8K_-U?si=vR8jIqMY_YSPgNyu
Wanathibitisha dhahiri kwamba wao ndiyo huamua nani afe na nani aishi, nane afungwe gerezani na nani awe huru.Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.
Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu umekuwa ukifanywa mara kwa mara kwa wananchi wanaotuhumiwa makosa mbalimbali. Watu walioapa kuilinda Katiba kwa mbwembwe na vigelegele wamekuwa wa kwanza kuvunja Katiba hiyo bila kujali (with impunity).
Ibara hii ya 13 inahitaji kufundishwa kwenye vyuo vyote vya mambo ya usalama. Na wananchi wanapokamatwa kutuhumiwa lolote wajue haki zao ndani ya ibara hii. Nafafanua.
View: https://youtu.be/j81uAK8K_-U?si=vR8jIqMY_YSPgNyu
Yaani inasikitisha sana. Lissu anatisha sana.Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.
Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu umekuwa ukifanywa mara kwa mara kwa wananchi wanaotuhumiwa makosa mbalimbali. Watu walioapa kuilinda Katiba kwa mbwembwe na vigelegele wamekuwa wa kwanza kuvunja Katiba hiyo bila kujali (with impunity).
Ibara hii ya 13 inahitaji kufundishwa kwenye vyuo vyote vya mambo ya usalama. Na wananchi wanapokamatwa kutuhumiwa lolote wajue haki zao ndani ya ibara hii. Nafafanua.
View: https://youtu.be/j81uAK8K_-U?si=vR8jIqMY_YSPgNyu
Kazi kweli kweliAlichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.📌🔨❗
Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.
Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu umekuwa ukifanywa mara kwa mara kwa wananchi wanaotuhumiwa makosa mbalimbali. Watu walioapa kuilinda Katiba kwa mbwembwe na vigelegele wamekuwa wa kwanza kuvunja Katiba hiyo bila kujali (with impunity).
Ibara hii ya 13 inahitaji kufundishwa kwenye vyuo vyote vya mambo ya usalama. Na wananchi wanapokamatwa kutuhumiwa lolote wajue haki zao ndani ya ibara hii. Nafafanua.
View: https://youtu.be/j81uAK8K_-U?si=vR8jIqMY_YSPgNyu
Mzee Mwankijiji said:Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.
Swali ni je, aliyeapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea katiba anaweza kufunguliwa kesi? Kwa katiba ya sasa hawezi kushtakiwa...yeye ni alfa na omegaTAL angefungua kesi ya kikatiba ma kuonesha kuwa hawezi kitendewa haki..
Kwa njia ile ile, mahakama ile ile na watu wale wale tutaendelea kupata aibu ya kitaifa.TAL angefungua kesi ya kikatiba ma kuonesha kuwa hawezi kitendewa haki..
Mkuu siku hizi unaleta habari nusu.Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.