ibara

Ibara (井原市, Ibara-shi) is a city located in Okayama Prefecture, Japan. As of 31 March 2023, the city had an estimated population of 37,835 in 16677 households and a population density of 160 persons per km². The total area of the city is 243.54 square kilometres (94.03 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, Toleo la 2019; Lema ametenda kosa (makosa) ya kinidhamu

    Tuanze kwa kuangalia MAKOSA YA KINIDHAMU kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA (2019). Katiba ya CHADEMA inayoshughulikia nidhamu ni "SURA YA TANO, IBARA YA 7 na IBARA YA 8." IBARA YA 7: NIDHAMU YA WANACHAMA 7.1 - Kila mwanachama ana wajibu wa: (a) Kuitii na kuheshimu Katiba ya CHADEMA. (b)...
  2. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  3. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Rasimu Kamili ya KATIBA MPYA yenye Sura 14 na Ibara 321. Ipo Katibampya.com. Karibuni Tuijadili Wanajamvi

    Wanajamvi, Kwa miaka mingi tumekuwa tukilalamika kuhusu Katiba yetu. Tumesema haitutendei haki, madaraka yamelundikwa upande mmoja, na sauti ya mwananchi wa kawaida haimo. Tumesubiri Tume, tumesubiri ahadi, tumesubiri mchakato. Leo naleta kitu tofauti. Kuna Rasimu Kamili ya Katiba ya Jamhuri ya...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ibara 14 ya katiba inampa kila mtu kuishi iweje watu wachache ndani ya nchi wanaivunja katiba...

    Nashangaa taifa lililosheheni taasisi nyingi za kuilinda katiba lakini wanaibuka watu ,kikundi cha watu wanaivunja hiyo katiba na taasisi zipo za kuitetea katiba . Kama katiba imeshindwa kumlinda raia kuna haja kuwa na katiba . Katiba yetu imechakaa kama shati lililopauka lenye virakaviraka...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TCRA wanakiuka ibara 18 ya katiba ya JMT . Mpaka sasa hawajaifungulia JamiiForums kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hii

    Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku. Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 8; 1 (a). Nidiyo kila kitu. Itumieni kumkosoa na kumshauri Rais

    "Wananchi ndiyo msingi wa Mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yote kutoka kwa wanachi". Tumieni haki hiyo na wajibu tuliopewa kama raia kumkosoa na kumshauri Rais na Serikali yake. Tusiwe watu wa kuimba mapambio tuuuu, wakati ndani tunaumia kutokana na baadhi ya mambo, huo ni...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania PolePole alipaswa kuisoma na kuielewa Katiba ya CCM IBARA YA 99 (2 na 3)

    Katika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu. Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Alivyotendewa Tundu Lissu Ukonga ni Uvunjifu Mkubwa wa Ibara 13 ya Katiba

    Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu. Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
  10. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Heshimuni Haki ya kusikilizwa kabla ya kuadhibu Art. 13(6)(a) Katiba

    Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa lazima wazingatie haki ya kusikilizwa ambayo ipo kwenye Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba ya nchi yetu. Ibara...
  11. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi wa kura; tathmini yangu ya ibara ya 8 ya katiba yetu

    Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, kumekuwa na mijadala mingi, mkubwa katika hiyo ni vuguvugu la "No reform, no election" lililoasisiwa na CHADEMA. Yapo madai mengi yaliyotolewa na CHADEMA katika vuguvugu lao hili, miongoni mwao likiwa ni hili la wizi wa kura. Mjadala wa uwepo au kutokuwepo kwa...
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

    Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba Mgeni Rasmi...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kukiuka haki ya afya ni kukiuka haki ya kuishi kinyume na Ibara ya 14 ya Katiba

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa takribani juma moja sasa kimekuwa kikifuatilia kwa karibu mjadala ulioripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya mgogoro kati ya watoa huduma wa afya kutoka sekta binafsi pamoja na Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya...
  15. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

    Salaam wakuu. Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inatamka kama ifuatavyo; "Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake" Hali ni tofauti...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Elimu ya katiba kwa watanzania kipengele kwa kipengele, kuanzia ibara ya kwanza! (Darasa la wazi)

    Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

    Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya. Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT. Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 18 ya Katiba yetu ya sasa imewekwa kimtego

    Kuelekea mchakato wa Katiba Mpya ni vyema tukaanza kuangazia baadhi ya maeneo yenye ukakasi ndani ya Katiba ya sasa. Ibara ya 18(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha...
Back
Top Bottom