Kumbe ni sawa maandiko yasemayo aketiye katika KITI Cha enzi Mbinguni ana mwonekano kama wa mtu/ mwanadamu.Mwanzo 1:26a na 27a
Halafu hako ka kipengele kasemako, Malaika mwenye sura yake " aliye na uwezo wa kusamehe makosa" umekatoa wapi?"wakamhuzumisha Roho yake Mtakatifu, akageuka ,akapigana nao"
Huyo Roho yake iliyohuzunishwa ni nani na huko nyuma tunaona Mungu kamtuma malaika mwenye sura yake na aliyenauwezo wa kusamehe makosa?.
Sasa soma 1 wakoritho wa kwanza 10:4.
Inasema:
wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.
NB:
Ukisoma verse fulan ya biblia na usiielewe ama ukaielewa na ukata kuielewa zaidi soma vile vimsitali vya pembeni.
Nimekitoa kwenye isaiah na Exodus wakimuelezea mtu yule yule anaezungumziwe kwenye Wakoritho.Halafu hako ka kipengele kasemako, Malaika mwenye sura yake " aliye na uwezo wa kusamehe makosa" umekatoa wapi?
Kumbukumbu la Torati 33:26
"Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni,
Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie.
Na juu ya mawingu katika utukufu wake."
"There is none like unto the God of Jeshurun, who rideth upon the heaven in thy help, and in his excellency on the sky."
Pia Unaweza ukasoma..
Ayubu 41:33-34
"Juu ya nchi hapana aliyefanana naye,
Aliyeumbwa pasipo oga.Yeye hutazama kila kitu kilicho juu; Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.
Upon earth there is not his like, who is made without fear.He beholdeth all high things: he is a king over all the children of pride."
Ujio wa mara ya pili, ambao wengi wetu tunapenda kuuita "Judgement day" but in real sense it's not yet the judgement day.Hii siku ilikuwa inazungumziwa siku ipi?
Yes, that's the resurrection dayUnafahamu Kuhusu Hii Siku??
Mathayo 28:2-4
"Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia. Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji. Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu.
Judgement day for Jews its called Rosh Hashanah japo pia Huitwa Yom Ha-Din...Siku ya malipo..Ujio wa mara ya pili, ambao wengi wetu tunapenda kuuita "Judgement day" but in real sense it's not yet the judgement day.
Huwa inafanyika mwezi gani hii judgement day for Jews ?Judgement day for Jews its called Rosh Hashanah japo pia Huitwa Yom Ha-Din...Siku ya malipo..
Kila mwaka Hufanyika hii na watu husamehewa Dhambi na Kuanza upya
Kumbukumbu la Torati 33:26
"Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni,
Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie.
Na juu ya mawingu katika utukufu wake."
"There is none like unto the God of Jeshurun, who rideth upon the heaven in thy help, and in his excellency on the sky."
Pia Unaweza ukasoma..
Ayubu 41:33-34
"Juu ya nchi hapana aliyefanana naye,
Aliyeumbwa pasipo oga.Yeye hutazama kila kitu kilicho juu; Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.
Upon earth there is not his like, who is made without fear.He beholdeth all high things: he is a king over all the children of pride."
Ni ibrahimu rejeaSalaam, shalom!!
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo?
Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?
Karibuni 🙏
Tumia Uono na Ufikirifu Mifumo...Kumbukumbu la Torati 33:26
"Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni,
Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie.
Na juu ya mawingu katika utukufu wake."
"There is none like unto the God of Jeshurun, who rideth upon the heaven in thy help, and in his excellency on the sky."
Pia Unaweza ukasoma..
Ayubu 41:33-34
"Juu ya nchi hapana aliyefanana naye,
Aliyeumbwa pasipo oga.Yeye hutazama kila kitu kilicho juu; Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.
Upon earth there is not his like, who is made without fear.He beholdeth all high things: he is a king over all the children of pride."
Kumbukumbu la Torati 33:26
"Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni,
Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie.
Na juu ya mawingu katika utukufu wake."
"There is none like unto the God of Jeshurun, who rideth upon the heaven in thy help, and in his excellency on the sky."
Pia Unaweza ukasoma..
Ayubu 41:33-34
"Juu ya nchi hapana aliyefanana naye,
Aliyeumbwa pasipo oga.Yeye hutazama kila kitu kilicho juu; Ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.
Upon earth there is not his like, who is made without fear.He beholdeth all high things: he is a king over all the children of pride."
Umetoa kichwani mwako,Nimekitoa kwenye isaiah na Exodus wakimuelezea mtu yule yule anaezungumziwe kwenye Wakoritho.
Hakuna Mahali pameonyesha Ibrahimu amekaa kwenye KITI Cha enzi kwenye mstari huo.Ni ibrahimu rejea
Luka 16:19-26
22 Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.
Muumba hakuwa mbinguni alikuwa mahali pake hakuna anayepajua, rejea
Mika 1:2-4
3 Kwa maana, angalieni, Bwana anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.
Ili uelewe jiulize swali dogo tu kabla ya kuumba mbingu na nchi je alikuwa wapi?!
Salaam, shalom!!
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo?
Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?
Karibuni 🙏
OKAY...Hakuna Mahali pameonyesha Ibrahimu amekaa kwenye KITI Cha enzi kwenye mstari huo.
Pia ujue kuwa kinatofauti kati ya heaven na sky na universe!!
Ujisoma Kwa tafsiri ya kiingereza, mbingu na Nchi zilizoandikwa hapo ni universe ambayo ni mbingu ya kwanza hapa tulipo na ya pili ( universe) lilipo anga, jua na mwezi na SAYARI zote.
Mbingu ya tatu, ambapo Mwanzo inasema Mungu alikuwa juu ya uso wa maji.
Huko juu ndiko mbingu halipo makazi yake ambako Mungu hajaweka wazi alipaumba lini maana Yeye Hana Mwanzo Wala mwisho, ni WA milele.
Nikipata time nitakuletea LAYERS ZA MBINGU JINSI ZILIVYO SAWASAWA NA KITABU CHA MWANZO.
Ubarikiwe 🙏
Muktadha wa ingilio kwa 'ufunuo' ni kudra na kheri za watu, kwa sifa na hadhi ya mapana ya jamii, kulingana na nasaba zao, tuseme, watu wa magharibi/mashariki/kusini/kaskazini-- kanda ya kati, watu wa magharibi-Kaskazini, kaskazini-Mashariki, mashariki-Kusini na Magharibi-Kusini ya Tanzania yote...
Duara ni asili ya Nuru ya Ufahamu, kutokea kwenye 'Ngao ya Ustawi', Mwenge wa Uhuru ni alama ya 'Nuru ya Ufahamu' kumulikia 'mila, desturi' na basi "SHERIA" ili HAKI ya Mbingu idhihiri kwenye Ujamuhuri--iwe mchakato wa 'Maendeleo ya UTU' na si vitu hasa... Iwe mwangaza wa kuweza kukadirisha mapana kujichagulia na basi tena mipaka ya pumzi ya kukadirisha ujengaji ama uzoroteshaji wa jamuhuri...
Mwalimu Kambarage Nyerere na Washirika hawakuasisi na kutaasisi nchi-dola kwa 'Utukufu Binafsi' ama 'Dhamira ya Ubeberu' wa kimataifa. Hili linafanya misingi ya Amani ya nchi-dola ya Tanzania kuwa ni kitendawili cha Unyonge ama Uimara wa wanajamii wenyewe katika kuielewa na kuishi misingi ya Nchi na Tawala. Wanajamii ndiyo hukadirisha misingi ya simulizi la taifa kwa mapana ya kiroho, maadili na miiko. KIsa chote kizima cha alegori ya 'Adamu na Hawa', wanajamii hukiona kwenye nembo ya Utaasisi nchi-dola; ikiwa hawafahamu maana yake basi hata wao hawajifahamu maana zao katika ujamuhuri... Ikiwa wanafanyika kukifahamu, basi hakuna simulizi lolote linaloweza kuwayumbisha kutoka kwenye wima sahihi wa msalaba wa kujichagulia...
Mwanajamii anaweza asiwe na macho ya kuweza kubaini siri ya 'Ngao ya Ustawi' kuwa juu ya 'Mlima Kilimanjaro' na basi yeye atajiangusha chini badala ya kuukwea Mlima wa Uono wa juu--juu zaidi katika kutoka katika usawa wa sura ya nchi na Tawala -- ya Tanzania na Bara lote la Afrika... Atakosa kumaizi umuhimu wa koherensia vya kitendo cha wake kwa waume kuukwea Mlima unaobeba tunu za maagano ya mapinduzi ya utamaduni na usivilai kwa Tanzania, Afrika na Dunia yote kwa ujumla...
Uhuru na Umoja ni shughuli ya mapinduzi endelevu kutokea kwenye unchi-dola wa mawazo ya utengano kwa kimataifa na tamko la dhamiri kwa msingi wa kuijenga, kuiishi na kuidumisha miongozo ya Hekima, Umoja na Amani...
Mwanajamii akiwa na macho ya kuweza kubaini siri ya 'Ngao ya Ustawi' kuwa juu ya 'Mlima Kilimanjaro' kupitia uono na ufikirifu mifumo, huyu ataweza kutangamanisha harakati za maisha yake na yanayobidi kufanywa kwa wakati kwa ajili ya riziki na hapo hapo kwa ajili ya ulinzi--viwili hivi kwa ajili ya ustawi wa Taifa jipya katika kufanyika--Taifa la Afrika...
Mapinduzi ni mchakato wenye kuhitaji ushirikiano wa jamii ya ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, ndivyo hivi Chama cha Mapinduzi kinaloagizo la kitaasisi kujenga mashirikiano ya 'siasa za kimapinduzi' na jumuiya yote ya kimataifa... Na basi Chama cha Mapinduzi kama taasisi 'hakijastuka ifaavyo' juu ya 'tatizo la kimfumo' kuhusiana na 'dhamiri za unasaba' wa kweli katika imani ya Chama... Roho ya Nchi iko na Waja Wema wenye kustirika na 'nyuso halisi za roho ya mapenzi mema' pasipo kuhadaika na 'matukio'...
UHURU, UDUGU, HAKI na AMANI, havikadiriki katika taifa kwa nguvu za kibinadamu pekee--binadamu kama mtu anayejitathmini kwa mraba wa 'Wakati-Jamii-Machaguo ya Kitaasisi-Matukio'. Ujinga, Umaskini na Maradhi ya wanajamii hayatokani na 'kutokujua/kufahamu' vema mambo ya milki ya nchi; Ujinga, Umaskini na Maradhi ya wanajamii unatokana pia na kukosa 'Nuru ya Ufahamu' juu ya dhamira na nia ya UTU bora kutoka 'Juu Mbinguni'. Mwanajamii ahitaji Duara na Nukta kwa ajili ya kutangamanisha sura na utukufu wa mienendo na uhai wa Taifa Lake.
Bahati ni 'fumbo la imani' ambalo adha yake inaweza kuwekwa bayana na 'Nuru ya Ufahamu'--Maarifa ya 'Mwenge wa Uhuru'. Dhana ya Nuru kumulika kuzidi 'mipaka ya nchi' ni siri ya 'Duara Manani' lisilokuwa la 'mipaka ya kumulika'--kumulikia 'mapana yoyote' ya 'ugani wa ushawishi' wa sura, fahari na utukufu wa 'Stawi/Ustawi' . Tumaini ni mchakato, mchakato wa uhuru wa kweli wa 'ndani na nje' ya nchi. 'Ndani na nje ya nchi' ni lugha ya ishara, kwa uono na ufikirifu mifumo, huakisi siri za 'ulali na wima' wa stawi, Msalaba -- pia ukadinali wa 'milki' kwa ncha nne kuu za Dunia: Kaskazini-Kusini-Mshariki-Magharibi.
Bahati ni 'fumbo la imani' ambalo adha yake inaweza kuwekwa bayana na 'Nuru ya Ufahamu'--Maarifa ya 'Mwenge wa Uhuru'. Dhana ya kuleta Tumaini pale ambapo hakuna Matumanini, upendo pale palipo na chuki, kusimamisha heshima palipo jaa dharau ni muktadha wa shughuli ya huduma ya 'mitume'... Ni fumbo la utatu wa nguvu za utu na dhamiri--Imani, Pendo na Tumaini... Kwa mintarafu ya haya, unyoofu wa mkono unaoshikilia mwenge ni siri ya 'Uthabiti' wa 'Nia' kuushikilia 'Mwenge wa Uhuru'... 'Nuru na Nia' ndiyo ufunguo wa imani ya 'muktadha wowote wa Kujichagulia'...
Bahati ni 'fumbo la imani' ambalo adha yake inaweza kuwekwa bayana na 'Nuru ya Ufahamu'--Maarifa ya 'Mwenge wa Uhuru'. Dhana ya Tumaini, Upendo na Heshima ni muktadha wa riziki, stahiki na subira. Sisi wa mwambao huwa na msemo: Subira yavuta kheri... Ukipatacho wakati sahihi wa wewe kukipata hicho ndiyo tunda la heshima ya utu wema wako--utimilifu wa 'Uja Wema'. Katika mapokeo ya Ukristo, waumini hupata habari za 'Upendo Huvumilia'... Kwenye ufundi wa ujengaji wa Dola--hili ndilo linalokadirisha tunu ya uvumilivu na ustahilivu katika yote na matendo yote, pasi kuhukumu, kwa kuwa 'Dola zote duniani' ni mchakato wa kuondoa kasumba, husda na ufitini wa kimataifa ili wakati mmoja muafaka mataifa yote yaje kuwa 'kitu kimoja'... Katika mapokeo ya Ukristo, waumini hupata habari za siku za kuja 'Mbingu Mpya, Nchi Mpya'...
Katika metafizikia ya Utu na Uzima, 'Wakati' ndiye Muamuzi wa Haki. Roho na sonafi ya mtu ndivyo hukadirisha 'Duara na Nukta' ya utu katika jamvi la supasha-wakati; meza ya 'wakati-jamii-machaguo ya kitaasisi-matukio' huwa na mizani ya ukumbaizi wa dhamira za wanajamii wanaoifanya meza hiyo. Kwa mintarafu ya haya, maarifa ya uganga na mizungu yanaweza kutumia siri zile zile metafizikia na nuru ya uzima wote kuathiri muktadha wa sura ya jamii kwa wakati mmoja hadi mwingine kwa ushirikina.
Kitabu Cha Daniel kimemuelezea Mungu vizuri sana. Pia kimeonesha ujio wa Yesu Kristo na namna ambavyo atapewa mamlaka ya kuhukumu wanadamu. Alioneashwa Mzee was Siku ambae ni Mungu Mwenyezi akiwa ameketi kwenye kiti Cha Enzi then akaletwa Yesu akiwa mfano wa mwanadamu.Salaam, shalom!!
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo?
Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?
Karibuni 🙏
Na Daniel pia ameelezea. Kwenye vision yake ya mwisho so sio ufunuo tu umeelezea. Pia Yesu alivyofufuka aligoma asishikwe na Maria Magdalena mpaka apande kwa Baba Yake ambaye ni Mungu wetu na Mungu wake Yesu. Je, hapo alitaka kwenda kufanya Nini Kwa Baba yake?Hoja Ipi??
Kama ni Hoja Ya Mfano wa Mwanadamu Inakosa Authentification kwa sababu imetajwa kwenye Kitabu kimoja tu cha biblia..
Yaani Ufunuo..
Kitabu ambacho Bado kinapata Pingamizi kutoka kwa Wanatheolojia
Huyu malaika anaitwa malaika mkuu Metatron .
Enoch wakati alipokuwa akiishi duniani , aliishi maisha ya kumpendeza Mungu , alitembea na Mungu kila wakati , pia hakutenda dhambi wakati wote alipokuwa akiishi duniani .
Alipokuwa na umri wa miaka 365 , Mungu alimpaliza mbinguni bila kufa . Alipofika mbinguni, Mungu akambadilisha kutoka binadamu na kuwa malaika, akawa malaika mkuu Metatron.
Malaika mkuu Metatron ndiye kiongozi wa malaika wote waliopo mbinguni. Kiitifaki , Anaanza Mwenyezi-Mungu , anafuatia Metatron halafu ndio wanafuatia malaika wengine waliopo mbinguni. Malaika mkuu Metatron amehusika sana katika kumfunulia binadamu siri za malaika wengine waliopo mbinguni na kutufanya binadamu tuwe na ufahamu kuhusu mambo ya mbinguni.
Neema nyingi na sifa za kiroho alizo nazo malaika mkuu Metatron zinafanana na Bikra Maria , mama aliye mzaa Yesu Kristo.
Metatron is one of the most powerful archangels, acting as the celestial scribe to the Book of Life, which keeps track of all the choices made by earthly and divine beings. Metatron also serves as the guide to humanity, is the speaker for God, and is granted the right to be in the presence of God .