Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Pale alikuwa katika ubinadamu ndio maana hata akaona uchungu wa yale mateso
 
Maisha ya mtakatifu yoyote ni funzo kwetu ndiyo maana yakaandikwa ili kuwa funzo kwetu hii inajulikana toka kale ..kuna siku yesu alikuwa kwenye maji na wanafunzi wake chombo kikaanza kuzama pale pia akatoa somo
 
Pale alikuwa katika ubinadamu ndio maana hata akaona uchungu wa yale mateso
Nadhani hapa ndiyo changamoto inapokuja,....Wewe hiyo statement kwamba alikua katika ubinadamu umeitoa kwenye Biblia au ni mtazamo na maoni yako?

1. Kama umetoa kwenye Biblia itakua sawa....
2. Kama ni mtazamo na maoni yako binafsi... Tuambie ni nani huyo aliyekupa mamlaka ya kutunga maoni yako kwenye Biblia?
 
Maisha ya mtakatifu yoyote ni funzo kwetu ndiyo maana yakaandikwa ili kuwa funzo kwetu hii inajulikana toka kale ..kuna siku yesu alikuwa kwenye maji na wanafunzi wake chombo kikaanza kuzama pale pia akatoa somo
Unapokosea ni kuongeza maneno yako kwenye swali ambalo halihitaji maoni wala mtazamo wako....linahitaji ujibu kutokana na kile ambacho kimeandikwa kwenye andiko husika tu.
 
Ila ujue mbinguni ni mahali pa kusadikika. Ni hadithi tu za sungura.
 
Lugha unayoitumia Ina herufi kubwa,

Hivyo ni muhimu ukitumia "Mungu" Ili tujue ikiwa u mmoja wetu au adui yetu!!
Mimi siyo mkristo wa makanisani wala wa madhehebu ya dini wala muislamu kwa kuwa injili ya kweli naijua ila sija ifuata ..nitofauti na hiyo yenu ya Mungu mwenye nafsi 3 ...hapa ninaweka dondoo tu za injili ya kweli
 
Hoja Ipi??
Kama ni Hoja Ya Mfano wa Mwanadamu Inakosa Authentification kwa sababu imetajwa kwenye Kitabu kimoja tu cha biblia..
Yaani Ufunuo..

Kitabu ambacho Bado kinapata Pingamizi kutoka kwa Wanatheolojia
Usiongee bila research kwanza umesoma vitabu vingapi vya dini? Vilivyo karibu na wewe ni Biblia and Quran inaonesha hujaisoma pia Allah pia ana viungo kama Mikono japo yote ni ya kulia, Ugoko,Mguu,Macho zaidi ya Moja,Sura kama ya binadamu,anasikia means ana Masikio, Anakaa kwenye kiti cha enzi means ana matako possibly big Ass, anajiita HE means ni Mwanaume, ukikataa basi jike dume, ana nywele za Carly according to islamic souce Allah ni physical being huwa anasuku third party on the night kusikiliza sarat kutoka kwa waumini tena huwa anauliza nani anaswali nimsikie...

Ukija kwa Hindu karibu miungu yao yote over 1,000 imekaa chini au kwenye kiti, Budhist pia.. Kasome vitabu acha uvivu.... na usiongee tena hadharani you know nothing
 
Hoja yangu ipo pale pale, masuala ya imani na kiroho ukishaweka mambo ya logic yanakuwa si ya kiroho tena.

Hakuna logic kwenye mambo ya kiroho. YESU alitembea juu ya maji, inaishia hapo, sio unaanza kuingiza mambo ya fizikia sijui weight, mass.

Umeamua kuamini YESU ni MUNGU inaishia hapo sio unaanza kuingiza mambo ya logic logic.
 
Mimi siyo mkristo wa makanisani wala wa madhehebu ya dini wala muislamu kwa kuwa injili ya kweli naijua ila sija ifuata ..nitofauti na hiyo yenu ya Mungu mwenye nafsi 3 ...hapa ninaweka dondoo.
Mungu ni MMOJA, NAFSI Moja, Roho Saba!!

Na Yesu ni Jina la Mungu tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Islams, bila kumwamini Yesu, msahau kuhusu mbingu.
 
Mathayo 6:9
Basi, salini hivi: β€œβ€˜Baba yetu uliye mbinguni, jina lako na litakaswe.
Mungu ana makao. Makao yake Yako mbinguni.
Ila huyo mfano wa mwanadamu ni Yesu Kristo.
Nyie ndio mashetani mnaobadilisha maneno na tafsiri ili ujumbe ukose maana.. Praise na holly ni vitu tofauti kabisa.. Mungu haombwi kutakaswa na yeye mwenyewe yeye tayari ni Holly.. kuweni makini na Tafsiri za watu wajinga wajinga usipotee

Sala ni Jina lako litukuzwe meana likitukuzwa wale wasio lijua nao watalisikia na kulifahamu tumepewa nafasi za kuamua wenyewe binadamu... Kasoro waislam wao wapo program za Allah kila kitu anayefanya ni maamuzi ya Allah ndio maana wanasema Inshallah Mnyaz Mngu ndie anapanga
 
MUNGU ana mikono ila yote ya kulia. Embu jenga picha ya hilo umbile?
Ndo maana nasema hutakiwi kutumia logic. We amini tu halafu nenda ibadani siku ya kufa ifike.
 
Unaitwa Mla leo right??
Bhasi ningekushauri Kwanza Pitia Nyuzi zangu zote na Mabandiko Yangu niliyowahi Kutuma na kupost hapa JF..

Kuhsu allah, Yehova au budha ,Shiva au Mungu yoyote yule Nimewahi kuongelea Humu zaidi ya Mara 100..

Kuhsu Kusoma Nimesoma Vitabu Vingi sana Najua Kuhsuu Bhagavad gita, mahabrarata, Ramayana,Upanishads, Veda na vingine kadhaa kutoka kwa Wahindu..

Kuhusu Vya wabudha nimesoma Vitabu vyao Vitakatifu kama Tripitaka (Humu ndani ndo kuna Vinaya Pitaka, Sutta Pitaka,na Abhidhamma Pitaka).., Pia kuna Pali canon kwa Jamii ya mabudha wa Theravada na vingine

unatakiwa Ujibu Hoja Ukiwa humu Jf kwanza kabisa Sio kila unayemuona Humu ukadhani hajui..
Consider Everyone as The Tank of Knowledge..

unaonekana wewe Ni mkristo mzuri Ila kosa Lako ni Moja Tu Kuingiza hisia katika kujibu hoja..

Kitabu Cha Mithali kinasema 10:14 kinasema mwenye Akili huweka akiba ya maneno..
 

Umeandika maneno meeeeeengi bila hata kutuwekea hiyo injili yako ya kweli wala nukuu yoyote kutoka biblia yoyote uijuwayo wewe ,

Baniani alisema , DOMO JUMBA YA MANENO

Ni msiba mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…