Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Luke 9:22

Sasa kama kweli alishajua anaenda kufa , ni wapi alinukuliwa kuwa kweli alikufa ?? mBona yeye mwenyewe huku anatuambia kuwa muujiza wake utakuwa kama muujiza wa Yona kwamba hatokufa ??
 
KAFARA YA YESU HAISAIDII CHOCHOTE

Wakristo mnaamini ya kwamba Adamu na Hawa walifanya dhambi kisha wazao wao wote wanarithi dhambi hiyo (dhambi ya asili). Na Mwenyezi Mungu hawezi kuondoa adhabu ya dhambi ile bila kumwaga damu, na hakuna mtu yeyote anayeweza kuokoka bila ya kafara. Na anatolewa kafara ambaye hana dhambi yoyote.

Na wakati wanadamu wote wanarithi dhambi hiyo, yeyote hawezi kutolewa kafara. Kwa sababu hiyo Mwenyezi Mungu alimtoa Bwana Yesu Kristo atolewe sadaka na damu yake iwe kafara ya dhambi za watu wote.

Lengo la kutumwa kwa Yesu lilikuwa ni kuwaokoa wanadamu kwa kafara ya damu yake.

Nitachunguza na kuzipima hoja zote za Wakristo kuhusu kafara. Na itathibitika ya kwamba kafara ya Bwana Yesu haisaidii chochote.

(i) Mwenyezi Mungu ambaye ni Muumba wa ulimwengu aliye mwingi wa rehema na mwingi wa ukarimu hataki kafara ya watu kama alivyosema.

“Nataka rehema wala siyo sadaka.” (Mathayo 12:7).

Hiyo ni sababu wakati Nabii Musa alipotaka kujitoa kafara, Mwenyezi Mungu hakukubali mawazo yake.

Biblia inasema ya kuwa: “Asubuhi yake Musa akawaambia watu, mmetenda dhambi kuu. Sasa nitakwenda juu kwa Bwana, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu. Musa akarejea kwa Bwana akasema: “Aa!! watu hawa wametenda dhambi kuu, wamejifanyia mungu wa dhahabu. Walakini sasa, ikiwa utawasamehe dhambi yao na kama sivyo unifute, nakusihi, katika kitabu chako ulichokiandika. Bwana akamwambia Musa, mtu yeyote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu.” (Kutoka 32:30-33).

(ii) Ikiwa lengo lilikuwa ni kuwasamehe watu, basi watu walisamehewa kwa maombi ya Nabii Musa tu.

Wala haikuhitajika kumwagika damu ya mtu.

Kama Nabii Musa mwenyewe alivyosema: “Nikaanguka nchi mbele za Bwana siku arobaini usiku na mchana, kama
pale kwanza; sikula chakula wala kunywa maji ; kwa sababu ya makosa yenu yote mliyokosa, kwa kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, kwa kumkasirisha.
Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia Bwana kutaka kuwaangamiza. Lakini Bwana alinisikiza wakati huo nao. Bwana akamkasirikia sana Haruni akataka kumwangamiza; nikamwombea Harun naye wakati huo. (Kumbukumbu la Torati 9:18- 20).

Siyo hiyo tu, bali wapo watu kadhaa wale ambao hawana dhambi bila ya kumwagwa damu ya Yesu. Kwa mfano, katika Biblia imesemwa kuwa: “Melkizedeki hana baba, hana mama, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu huyo adumu kuhani milele.” (Waebrania 7:3).

Melkizedeki aliumbwa bila ya wazazi wawili, na huyo hana dhambi aliyorithi toka kwa wazazi. Vile vile Enoko alienda pamoja na Mungu. (Mwanzo 5:22).

Enoko akiwa pamoja na Mungu kwa kuwa hakuwa na dhambi, kwa maana mwenye dhambi hawezi kumkaribia Mungu.

Vile vile Biblia imesema kwamba Zakaria na mkewe Elizabeti hawakuwa na dhambi Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria wa Zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmoja wa uzao wa Haruni, jina lake Elizabeti na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu wakiendelea katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama.” (Luka 1:5-6).

Kama hawa wazee wawili hawakuwa na dhambi ndivyo vivyo mtoto wao Yohana hakuwa na dhambi.

Imesemwa kuwa: “Sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana hatakunywa divai wala kileo naye atajazwa roho mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.” (Luka 1:15).

Sasa basi, ikiwa watu wote hawa walikuwa wema na hawakuwa na dhambi yoyote, kabla ya damu ya Yesu, sifa hizo walizipata vipi?.

(iii) Bibla inapinga na kufutilia mbali mawazo ya kuwa mtu anaweza kubeba dhambi za mtu mwingine. Kama Mwenyezi Mungu alivyosema:

(A) “Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao. Kila mtu auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.” (Kumb. 24:16).

(B) Lakini kila mtu aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si ya mwenzake.” (Wagalatia 6:4).

Wakati mtu hawezi kubeba dhambi za mtu mwingine, Mapadri na Wachungaji wa leo wanahubiri kinyume na fundisho hili la Biblia kwa misingi gani?

(iv) Bwana Yesu hakujua lengo la kutumwa kwake kwamba ni kutolewa sadaka au kafara, kwa sababu hiyo alikuwa na hofu ya hali ya juu ya kuuwawa kwake. Ndiyo maana alijificha kama isemavyo Biblia:

(A) “Basi tangu siku ile walifanya shauri ya kumuwa kwahiyo Yesu hakutembea tena kwa wazi mpaka mji uitwao
Eframu akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.” (Yohana 11:53-54).

(B) Maadamu mnayo nuru iaminini nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru. Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake, akajificha wasimwone.” (Yohana 12:36).

Sasa mtu ambaye anasemekana kwamba alikuja kumwaga damu yake kwa ajili ya kuwaokoa watu kwa nini
alijificha ficha?

Na wakati alipotakiwa kumwaga damu alipiga mayowe? Kama tuirejeapo Biblia:

“Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema “Eloi, Eloi lamasabaktani? Yaani Mungu wangu! Mungu wangu mbona umeniacha? (Mathayo 27:46).

Kama Yesu hakutaka kumwaga damu yake kwa hiyari yake, basi hii si sadaka wala kafara, bali ni kumshinikiza.

Vilevile kama mtu anamsaidia masikini kwa hiyari yake, hii inakuwa ni sadaka, na kama ataporwa na masikini
hiyo haitaitwa sadaka, bali hii itaitwa ni wizi au ujambazi.
Hiyo ni INJILI FEKI hata kuna shehe aliniuliza hivyo nikamwambia injili iliyo ya kweli nini sababu za kusulubiwa kwa yesu ...wakristo waongo wanasema ni dhambi ya asili ..huo ni uongo mkubwa sana ...kasome maandiko utskuta kuna maandiko yanasema kulikuwa na vita mbinguni ...hivyo vita ni fumbo la nini kilifanyika ...yesu alisulibiwa ili kufanyika sadaka ya kuziondoa hasira za mungu juu ya dhambi zetu ili toba zetu zikiwa za kweli zikubaliwe ila hiyo damu ya yesu mwisho wake kufanya kazi ni siku ya kiama ndiyo maana siku ya kiama hakuna toba ..unajua ni kwanini siku ya kiama hakuna toba ? Sababu ni hasira za mungu zitakuwa kubwa sana kiwanga cha kufanya kusiwe na toba yoyote itakayo weza kuishinda na kufanya mungu kusamehe dhambi ....imeandikwa kikombe cha ghadhabu ya mungu kipo pembeni ila bwana mungu atakuja kukinywea tena na hapo ndiyo mwisho wa toba ...kilicho ziondoa ghadhabu za mungu ni sadaka ya damu ya kristo...
Shetani kabla ya kristo alikuwa na nguvu mbili za kumwangamiza mwanadamu ila baada ya kristo nguvu yake imebaki moja tu nayo siyo kuu kama ile ya pili ambayo kristo alimpokonya ....nguvu hizo ni
1)DHAMBI
2)HASIRA YA MUNGU itokanayo na dhambi.
Damu ya yesu ilizipokonya hizo nguzu za pili kwa muda maana hiyo hasira ipo ila siyo kifuani mwa mungu ili mungu aweze kukubali toba za kweli kwa kuwa hasira ya mungu ushindana na toba siku zote ndiyonmaana kiama kikija hakuna toba itakayo fanya kazi maana hiyo hasira itakuwa ni kuu mno ...kwenye ufunuo hiyo hasira inaitwa KIKOMBE CHA GHADHABU YA MUNGU
Kuhusu dhambi ya asili ...hakuna dhambi ya asili la ingekuwepo basi watoto wadogo na wachanga wasio na hatia wasingeitwa watakatifu pia adamu na hawa walipo kula tunda hawakupata dhambi kwa sababu walikuwa awajui mema na mabaya bali walifunguka na kutambua mema na mabaya hapo ndipo dgambi ilikuja ila ilikuwa aijampata mwanadamu kwa sababu mungu ana mwambia adamu na hawa baada ya kula tunda maneno haya ..tazama umejua mema na mabaya basi tenda mema ukitenda mema utapata dhawabu bali ukitenda mabaya utapata dhambi hii maana yake mungu kathibitisha kuwa dhambi ya kwanza ni kutenda mabaya baada ya kujua mema na mabaya na siyo kabla ya kujua mema na mabaya mabaya.
TUMIENI AKILI KUIJUA INJILI YA KWELI
 
Hiyo ni INJILI FEKI hata kuna shehe aliniuliza hivyo nikamwambia injili iliyo ya kweli nini sababu za kusulubiwa kwa yesu ...wakristo waongo wanasema ni dhambi ya asili ..huo ni uongo mkubwa sana ...kasome maandiko utskuta kuna maandiko yanasema kulikuwa na vita mbinguni ...hivyo vita ni fumbo la nini kilifanyika ...yesu alisulibiwa ili kufanyika sadaka ya kuziondoa hasira za mungu juu ya dhambi zetu ili toba zetu zikiwa za kweli zikubaliwe ila hiyo damu ya yesu mwisho wake kufanya kazi ni siku ya kiama ndiyo maana siku ya kiama hakuna toba ..unajua ni kwanini siku ya kiama hakuna toba ? Sababu ni hasira za mungu zitakuwa kubwa sana kiwanga cha kufanya kusiwe na toba yoyote itakayo weza kuishinda na kufanya mungu kusamehe dhambi ....imeandikwa kikombe cha ghadhabu ya mungu kipo pembeni ila bwana mungu atakuja kukinywea tena na hapo ndiyo mwisho wa toba ...kilicho ziondoa ghadhabu za mungu ni sadaka ya daku ya kristo...
Sherani kabla kabla ya kristo alikuwa na nguvu mbili za kumwangamiza mwanadamu ila baada ya kristo nguvu yake imebaki moja tu nayo siyo kuu kama ile ya pili ambayo kristo alimpokonya ....nguvu hizo ni
1)DHAMBI
2)HASIRA YA MUNGU itokanayo na dhambi.
Damu ya yesu ilizipokonya hizo nguzu za pili kwa muda maana hiyo hasira ipo ila siyo kifuani mwa mungu ili mungu aweze kukubali toba za kweli kwa kuwa hasira ya mungu ushindana na toba siku zote ndiyonmaana kiama kikija hakuna toba itakayo fanya kazi maana hiyo hasira itakuwa ni kuu mno ...kwenye ufunuo hiyo hasira inaitwa KIKOMBE CHA GHADHABU YA MUNGU
Nimefuatilia mjadala kisha nikagundua watu mnatuchanganya sana humu,,...........Kwa mfano unasema YESU ni Mungu Mkuu,...Sasa kwanini BIBLIA inaonyesha YESU alikua ana MUNGU wake MKUU anaemuabudu tena kwa kumsujudia kabisa...? hiyo imekaaje, ufafanuzi tafadhali.

Kwa mfano soma hapa chini...
Mathayo 26:39:"Akainuka kidogo, akaanguka kifudifudi, AKASALI, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe."

hiyo inaonyesha Yesu akisali kwa bidii na kusujudu mbele za Mungu wake kuomba aepushiwe kuuwawa na adui zake.
 
Yesu anaposema mwana wa mungu umaanisha (MWILI) wake na anapo sema (BABA)umaanisha nafsi yake nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe ndiyo maana msalabani kilicho kufa siku 3 ni mwana yaani mwili siyo baba yaani nafsi yake .. ndiyo maana msalabani yesu anamwambia yule mtu leo hii tutakuwa pamoja nami pema peponi sasa yesu aliye fufuka siku 3 ni yupi ikiwa ana sema leo hii tutakuwa pema peponi ? Kilicho kufa ni mwili wa kristo ila nafsi ya kristo ndiyo baba haiwezi kufa hata siku moja kwa sababu Mungu awezi kufa ...hivyo kristo akisema baba yangu umaanisha (nafsi yangu)
 
Yesu anaposema mwana wa mungu umaanisha (MWILI) wake na anapo sema (BABA)umaanisha nafsi yake nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe ndiyo maana msalabani kilicho kufa siku 3 ni mwana yaani mwili siyo baba yaani nafsi yake .. ndiyo maana msalabani yesu anamwambia yule mtu leo hii tutakuwa pema peponi sasa yesu aliye fufuka siku 3 ni yupi ikiwa ana sema leo hii tutakuwa pema peponi ? Kilicho kufa ni mwili wa kristo ila nafsi ya kristo ndiyo baba haiwezi kufa hata siku moja kwa sababu awezi kufa ...hivyo kristo akisema baba yangu umaanisha (nafsi yangu)
Okay vizuri nina maswali machache,.Kwenye hiyo Mathayo 26:39: ..............kama Baba na Mwana ni kitu kimoja yaani "MUNGU" hiyo SALA iliyofanyika hapo ilikua addressed kwa nani MWINGINE?

Na je,. kitendo cha MWANA kumuomba BABA yake amsaidie kumuokoa,. inamaanisha BABA ana nguvu kuliko MWANA? au ipoje hiyo?
 
Hayo yalikuwa ni mafundisho kwetu jinsi ya kutii hata kufa ...kumbuka yesu alipokuwa nakamatwa aliwaambia wale waliokuwa wanamkamata kuwa anao uwezo wa kumwomba baba akaleta jeshi la malaika kuwaangamiza ...hiyo lugha maana yake ni kwamba angetaka angewaangamiza kwa kuwa baba ndiyo nafsi yake ...kuna kisa cha wanafunzi wa yesu kumuuliza yesu kuhusu siku ya kiama ni lini ....yesu akawajibu hata mwana ajui ila baba ...maana yake yesu aliwaambia kwa kutumia lugha ya fumbo kuwa yeye anajua yaani mwili wangu haujui ila nafsi yangu inajua neno baba anapolitamka umaanisha nafsi yake
 
Sawa vizuri,,. unaposema hayo ni mafundisho kwetu,. Je, Biblia ndiyo inasema kwamba hayo ni mafundisho kwetu? au ni mtazamo na maoni yako binafsi?
 
Sawa vizuri,,. unaposema hayo ni mafundisho kwetu,. Je, Biblia ndiyo inasema kwamba hayo ni mafundisho kwetu? au ni mtazamo na maoni yako binafsi?
Kwani wewe unadhani yesu alikuja ili tujifunze nini au mitume wanapokuja wanakuja ili tujifunze nini ? YESU NI MWILI WA BINADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU ...HIYO NAFSI NDIYO BABA NA HUO MWILI NDIYO MWANA (wa adamu)tumia akili
 
Nadhani haina haja ya kuzunguka,..jibu tu swali utaeleweka.. Umejuaje kama hicho kitendo alichofanya Yesu ni mafundisho kwetu?

Je, Biblia ndiyo inasema kwamba hayo ni mafundisho kwetu? au ni mtazamo na maoni yako binafsi?
 
Salaam, shalom!!

( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4)

Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.

Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.

Ni nani huyo?

Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?

Karibuni 🙏

Reference: (Isaiah 6:1-10), (Genesis 1:26-28.). (Ufunuo 1:13-14), ( Daniel 7:9,13,14), (Matendo 9:4).
Wakati uumbaju,Biblia inasema Mungu alisema natufanye mtu Kwa mfano Kwa "mfano wetu"
 
Yesu anaposema mwana wa mungu umaanisha (MWILI) wake na anapo sema (BABA)umaanisha nafsi yake nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe ndiyo maana msalabani kilicho kufa siku 3 ni mwana yaani mwili siyo baba yaani nafsi yake .. ndiyo maana msalabani yesu anamwambia yule mtu leo hii tutakuwa pema peponi sasa yesu aliye fufuka siku 3 ni yupi ikiwa ana sema leo hii tutakuwa pema peponi ? Kilicho kufa ni mwili wa kristo ila nafsi ya kristo ndiyo baba haiwezi kufa hata siku moja kwa sababu Mungu awezi kufa ...hivyo kristo akisema baba yangu umaanisha (nafsi yangu)
Tumia Mungu Badala ya mungu!!
 
Nadhani haina haja ya kuzunguka,..jibu tu swali utaeleweka.. Umejuaje kama hicho kitendo alichofanya Yesu ni mafundisho kwetu?

Je, Biblia ndiyo inasema kwamba hayo ni mafundisho kwetu? au ni mtazamo na maoni yako binafsi?
Kristo ni kielelezo cha iwapasavyo watu kumcha mungu ndiyo maana aliitwa mwalimu ...ndiyo maana akasema yeye ni njia yaani tujifunze kwake ...wewe maswali yako yako nje ya akili
 
Wakati uumbaju,Biblia inasema Mungu alisema natufanye mtu Kwa mfano Kwa "mfano wetu"
"Na tumfanye mtu Kwa Mfano wetu Kwa sura yetu"

Mungu ni ROHO,

Mtu pia ni ROHO.

Tunafanana na Mungu Kwa kuwa asili yetu ni Mungu.

Na mwili wa kiroho una umbo kama la mwili wa udongo, tofauti yake mwili huo, Hauna limit, hauchoki, ni WA milele.
 
Kristo ni kielelezo cha iwapasavyo watu kumcha mungu ndiyo maana aliitwa mwalimu ...ndiyo maana akasema yeye ni njia yaani tujifunze kwake ...wewe maswali yako yako nje ya akili
Hapa bado hujajibu swali,.. unatoa maoni yako tu ambayo kimsingi ni ngumu kumfanya mtu anaefikiria kukuamini.

Biblia haijasema kwamba alikua anafundisha,..wewe hizo habari za kufundisha kwenye hilo suala la ibada umeitolea wapi? kumbuka kabla ya YESU watu walikua wanajua kuabudu vizuri enzi na enzi yaani kwao kusali haikua jambo jipya.
 
Hayo ni mambo ya wanadamu tu zipo lugha hazina herufi kuu kubwa
Lugha unayoitumia Ina herufi kubwa,

Hivyo ni muhimu ukitumia "Mungu" Ili tujue ikiwa u mmoja wetu au adui yetu!!
 
Back
Top Bottom