Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Mbona huko kote unajibu lakini unakimbia kujibu hivi sasa unakuja na mada ya hapo juu ?? au huyo ndiye kaandika Mwanzo na Isaya ??
Je Kuna KITI Cha enzi Mbinguni?

Aketiye katika KITI Cha enzi Mbinguni ana mwonekano mfano wa mwanadamu?

(Ufunuo 1:13-14)

Inasema jambo Hilo Hilo.

Sasa uone, Mwanzo, Isaya, Ufunuo, Daniel vitabu vyote vinaongelea mwonekano wa Mungu aliye mfano wa mwanadamu.

Narudia mfano.

Haisemi ni mwanadamu, Bali mfano!!

Huyo Mungu aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika KITI Cha enzi, Mbinguni, Mungu Mmoja, ni nani huyo?

Karibu.
 
Hujajibu nani kaandika Mwanzo na nani kaandika Isaya na sasa umeongeza na UFUNUO , NANI KAANDIKA ??

USIKIMBIE KWANI UMETULETEA WEWE , USILETE VISINGIZIO VYA MADA JIBU AU SEMA SIJUI , HAPA TUPO KUFAHAMISHANA
 
Hujajibu nani kaandika Mwanzo na nani kaandika Isaya na sasa umeongeza na uFUNUO , nANI KAANDIKA ??

USIKIMBIE KWANI UMETULETEA WEWE , USILETE VISINGIZIO VYA MADA JIBU AU SEMA SIJUI , HAPA TUPO KUFAHAMISHANA
Jikite kwenye mada 🙏
 
Jikite kwenye mada 🙏

Nijikite namna gani au hujaleta aya za Mwanzo, Isaiah na ufunuo ??

Hizo aya kaziandika nani unakimbia unasema nijikite kwenye mada , mada ipi ??
mara unaandika biblia ni maneno ya Mungu ,

nikikuuliza biblia ipi , Satanic bible, gay Bible , NIV , KJV, AV , NWT. Douay , au ipi kati ya maelfu ya biblia

Unakimbilia jikite kwenye mada , kwani aliyeandika ni nani ?? au ndio intelligence yako ilipoishia hapo ??

YA KUKIMBIA MASWALI ??

Sema uelimishwe usifuate wachungaji , watakuingiza Motoni kijana
 
Makobazi umeyanyakuwa wewe mbona huelewi ??

Ongeza na hii

YESU (SAW) ALIMUOMBA MUNGU, JE, MUNGU ANAJIOMBEA MWENYEWE?

• Yesu aliomba - “Asubuhi na mapema, kukiwa bado na giza, Yesu aliamka, akatoka nyumbani, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akasali. [Marko 1:35]

"Lakini mara nyingi Yesu aliondoka kwenda mahali pasipokuwa na watu na kusali." [Luka 5:16]

• Yesu aliombea wanafunzi wake na waamini wote -“Baba Mtakatifu (MUNGU), uwalinde kwa nguvu ya jina lako—jina ulilonionyesha—ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja” [Yohana 17:11]. ].

• Yesu aliomba kwa sifa kwa Mungu, Baba – “Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakusifu, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na hekima. kujifunza, na kuwafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )

• Yesu aliomba kwa mkao na kwa mtazamo wa kunyenyekea kwa uchaji – “Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke. Lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe” (Mathayo 26:39).

• Yesu aliomba katika nyakati za uchungu – “Naye, akiwa katika dhiki, akazidi kuomba kwa bidii, na jasho lake likawa kama matone ya damu yakidondoka chini. [Luka 22:44]

YESU (SAW) ANA MUNGU, KWA HIYO SI MUNGU!

“Yesu akamwambia, Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu; na kwa Mungu wangu, na Mungu wenu.” [Yohana 20:17]

“Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo…” (1 Petro 1:3)

“Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na elimu, ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )

Yesu (AS) alisema, “Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]

"Yesu akawajibu, akasema, Mafundisho yangu si yangu, bali ni yake yeye aliyenipeleka." [Yohana 7:16]
Haya maswali yako hakuna mkristo anaye weza kukupa majibu sahihi kwa sababu injili wanayo fuata ni potovu ..ila mimi ninayo majibu sahihi kuhusu yesu kuwa mungu ni kweli yesu ni Mungu asilimia 100 siku nikiamua kuwaletea injili ya kweli wote waislamu na wakristo mtaishangaa siyo kwa kuipuuza bali kwa kuiogopa na kustaajabu siyo hii injili ya shetani mwenye nafsi 3 itokayo kwenye mahekalu ya shetani yanayo itwa madhehebu. Waislamu na waktisto amjui kitu chochote ni kelele tu hakuna muislamu au mkristo anaye weza kunipa jibu kwanini ni vigumu mungu kuonekana ? Bali wana sema tu mungu haonekani kuna kuna sababu kuu sana ni kwanini mungu ni vigumu kuonekana pure alivyo bali anaweza kuonekana kwa namna ya fumbo tu kama ilivyo kwa kristo....swali msilo lijua na msilo jiuliza ni ili NINI MAANA YA KUMWONA MUNGU ? HAPA KWENYE ILI SWALI NDIYO PALIPO NA SABABU KWANINI MUNGU KAWA VIGUMU KUJIONYESA KIKAMILIFU .....KUMUONA MUNGU NI KUONA MAMBO MAKUU MNO TENA KUONA YOTE NA KUJUA YOTE NA KUFAHAMU YOTE KATIKA YOTE TATIZO LIPO HAPO
 
Yesu Kristu, ndio maana kuna wakati tunamuita Mungu.

" Nakwenda kwa baba kuwaandalia makao, ili nilipo mimi, nanyi muwepo".

" Huyu ndie mwanangu mpendwa niliyependezwa nae, msikilizeni yeye"

Ukisoma vizuri hapo juu utaona alikaimishwa majukumu, tukimsikiliza yeye ni sawa na kumsikiliza Mungu.
Uko sahihi...
 
Haya maswali yako hakuna mkristo anaye weza kukupa majibu sahihi kwa sababu injili wanayo fuata ni potovu ..ila mimi ninayo majibu sahihi kuhusu yesu kuwa mungu ni kweli yesu ni Mungu asilimia 100 siku nikiamua kuwaletea injili ya kweli wote waislamu na wakristo mtaishangaa siyo kwa kuipuuza bali kwa kuiogopa na kustaajabu siyo hii injili ya shetani mwenye nafsi 3 itokayo kwenye mahekalu ya shetani yanayo itwa madhehebu. Waislamu na waktisto amjui kitu chochote ni kelele tu hakuna muislamu au mkristo anaye weza kunipa jibu kwanini ni vigumu mungu kuonekana ? Bali wana sema tu mungu haonekani kuna kuna sababu kuu sana ni kwanini mungu ni vigumu kuonekana pure alivyo bali anaweza kuonekana kwa namna ya fumbo tu kama ilivyo kwa kristo....swali msilo lijua na msilo jiuliza ni ili NINI MAANA YA KUMWONA MUNGU ? HAPA KWENYE ILI SWALI NDIYO PALIPO NA SABABU KWANINI MUNGU KAWA VIGUMU KUJIONYESA KIKAMILIFU .....KUMUONA MUNGU NI KUONA MAMBO MAKUU MNO TENA KUONA YOTE NA KUJUA YOTE NA KUFAHAMU YOTE KATIKA YOTE TATIZO LIPO HAPO

Hiyo injili yako , inaitwa, injili according to Lwiva?
Tuwekee hiyo Aya Aya Yesu amejitangaza kuwa yeye ni Mungu na Aya inayosema tumwabudu yeye
 
Hiyo injili yako inaitwa injili according to Lwiva?
Tuwekee hiyo Aya Aya Yesu amejitangaza kuwa yeye ni Mungu na Aya inayosema tumwabudu yeye
Mungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .

UTATU MTAKATIFU SIYO NAFSI 3 ZA MUNGU KAMA WAKRISTO WA NAVYO POTOSHA NAFSI YA MUNGU NI MOJA TU MILELE DAIMA.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi ..nao upo hivi ninavyo fafanua ili ujue kwanini yesu ni mungu yule yule aliye abuduwa na mitume na manabii

UTATU
1)NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFI NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (NAFSI 2)
Huu ndiyo utatu wa injli ya kweli
 
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
YESU SI MUNGU:

KWA SABABU MUNGU NI MMOJA TU

Baadhi ya Wakristo wanatafuta sababu na udhuru wa kumfanya Yesu kuwa Mungu. Kwa mfano husema
kwamba Yesu ni Mungu au mwana wa Mungu au Yesu ni Mungu mdogo au Yesu ni nafsi moja ya Mungu.

Mambo haya yote ni kufuru tupu iliyovuka mipaka. Kwa sababu sawa na Biblia Mungu ni mmoja tu. Hakuna Mungu mdogo wala Mungu mwana.

Biblia inasema:-

1. Wewe naam, wewe peke yako ndiye Mungu wa falme zote za dunia; wewe ndiwe uliyeziumba mbingu na nchi.

(2 Wafalme 19:15).

2. Kwa kuwa ndiwe mkuu, wewe ndiwe mfanya miujiza, ndiwe Mungu peke yako. (Zaburi 86:10).

3 Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma, (Yohana 17:3).

Sasa wakati Mungu wa pekee ni mmoja, hivyo Mungu zaidi ya mmoja ni wa uwongo.

4. Mwawezaje kuamini ninyi, mnaopokeana utukufu ninyi kwa ninyi, na utukufu ule utokao kwa Mungu aliye wa pekee hamwutafuti? (Yohana 5:44).

5. ...Hakuna Mungu ila mmoja tu. Kwa maana ijapokuwa wako waitwao miungu, ama mbinguni au duniani; kama vile walivyoko miungu mingi na mabwana wengi. Lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu. aliye baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake. (1 Wakorintho 8:4-6).

Sawa na aya hizi hakuna Mungu ila mmoja tu. Ingawa miungu wa bandia wanatajwa tajwa mbinguni na ardhini. Basi sasa ambaye anaamini mungu minghairi ya Mwenyezi Mungu anatoka katika imani na anaingia katika ushirikina kwa sababu ya kuwaita miungu zaidi ya mmoja ambaye ni wa kweli na wa pekee.

6. ..Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu. (Marko 2:7). Aya hii inathibitisha kwamba mwenye kufuta na kuondoa dhambi ni mmoja tu ambaye ni Mungu. Yaani hakuna mungu wa pili wala wa tatu wala mwenye kufuta dhambi isipokuwa Mwenyezi Mungu tu. Siyo aya hizo tu, bali tunaposoma Biblia tunakuta msululu wa aya kadhaa ambazo zinataja umoja wa Mungu.

Kwa mfano: Kumbukumbu 4:39, 6:4; Nehemia 9:9; Isaya 43:10-11; 44:6-8, 44:5. 45:21-22, 46:9; Marko 12:32; Luka 18:19; Mathayo 4:10; Warumi 3:30; Timotheo 1:17, 2:5.

Hakuna aya hata moja inayosema kwamba Yesu ni Mungu.
 
Mungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .

UTATU MTAKATIFU SIYO NAFSI 3 ZA MUNGU KAMA WAKRISTO WA NAVYO POTOSHA NAFSI YA MUNGU NI MOJA TU MILELE DAIMA.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi ..nao upo hivi ninavyo fafanua ili ujue kwanini yesu ni mungu yule yule aliye abuduwa na mitume na manabii

UTATU
1)NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFI NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (NAFSI 2)
Huu ndiyo utatu wa injli ya kweli

YESU SI MUNGU:

KWA SABABU NI MWANA ADAMU

Hakuna aya yoyote katika Biblia inayosema kwamba Yesu ni mungu, kinyume kabisa na baadhi ya Wakristo wanaoamini kwamba Yesu ni mungu.

Tunaposoma Biblia tunakuta aya kadhaa zinazoeleza kwamba Yesu ni mwana wa Adamu. Basi mwana wa
Adamu hawezi kuwa mungu wala mwana wa Mungu.

Biblia inasema:

1. Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, wakasema mlafi huyu na mlevi. (Mathayo 11:19).

2. Kwani kama vile Yona alivyokuwa mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo, Mwana wa Adamu atakavyokuwa kwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:40).

3. Yesu akamwambia, mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota, lakini mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake. (Mathayo 8: 20).

Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana wa Adamu.

Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo - Mwana wa mmbuzi huwa ni mbuzi vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu. Haieleweki ni kwa sheria na kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa Mungu?

4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
 
Mungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .

UTATU MTAKATIFU SIYO NAFSI 3 ZA MUNGU KAMA WAKRISTO WA NAVYO POTOSHA NAFSI YA MUNGU NI MOJA TU MILELE DAIMA.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi ..nao upo hivi ninavyo fafanua ili ujue kwanini yesu ni mungu yule yule aliye abuduwa na mitume na manabii

UTATU
1)NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFI NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (NAFSI 2)
Huu ndiyo utatu wa injli ya kweli

HAWAKUMUUA​

Ukitaka hakika ni kweli kuwa mtu ye yote anayesoma hizi hizi Injili ziliomo katika Biblia kwa uangalifu ataona ushahidi wa nguvu kuwa huyo aliyetundikwa msalabani hakufa hapo msalabani, bali alionekana tu kama amekufa.

Katika Injili hizo hizo upo ushahidi mzito wa kuonyesha kuwa yamkini sana kuwa huyo aliyetundikwa msalabani hakuwa Yesu Kristo kabisa, juu ya kuwa waandishi wa Injili walikuwa wakiamini kuwa ndiye Yesu.

Hebu natuuchungue ushahidi huo.

Ni wazi kuwa Yesu wakati ule hakuwa mtu maarufu katika mji wa Yerusalemu.

Alikuwa ni mgeni kwa wale waliokuwa wakimsaka. Yeye alikuwa mshamba, ametoka huko Galilaya.

Tangu kuanza kuhubiri ni kiasi ya miaka miwili mitatu tu, naye akitanga tanga huku na huku bila ya kutulia, hata hakuwa na pahala pa kuweka kichwa chini. (Mathayo 8.20).

Mnamo wakati huo hakupata kwenda Yerusalemu isipokuwa mara chache tu.

Marko anasema alikwenda mara moja, na Yohana anasema mara nne. Jinsi ya kuwa hajuulikani vyema hata ikalazimu Yuda amtambulishe kwa kumbusu; alisema: "Nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni." (Mathayo 26.48).

The Interpreter's Bible kutafuta kijisibabu kwa huko kumuashiria kwa kumbusa inasema: "Yesu angejulikana bila ya ishara, lakini wale waliokuja kumkamata hawakutaka kubahatisha kwa sababu makosa yaweza kutendeka kwa wepesi wakati wa usiku, na hasa pangetokea pata-shika."

Vyo vyote vile iwavyo, ikiwa ni kwa ugeni, ikiwa ni kwa giza la usiku, au ikiwa kwa ghasia na fujo lililokuwapo, ni jambo lilioelekea sana kumkosea Yesu akakamatwa mtu mwingine.

Wafuasi wake wote walimkataa, hata Petro naye ambaye alikuwa karibu mno na Yesu katika wanafunzi wake wote, naye pia alisema: "Simjui mtu huyu". (Mathayo 26.74).

Basi je, tuukatae na kuutenga kando ushahidi wa wanafunzi wake wote wanaoitwa Watakatifu tuukubali wa haini, msaliti mmoja, Yuda?

Tena hata yeye hakuutoa ushahidi wake mahakamani, baada ya kuapishwa, bali huko huko kwenye vurugu kizani, tena ni kwa ishara tu ya kumbusu, ambayo tunaambiwa na waandikaji kwamba walikubaliana baina yake Yuda na askari wa Kirumi faraghani, ambako bila ya shaka yo yote hao waandikaji au waliowasimulia hawakuwapo.

Hayo ni mambo ya dhana tu.

Kuambiwa tena kuwa hayo nayo yalikuwa ni kutimiza bishara za Agano la Kale, au zake mwenyewe Yesu, ni hadi ya kuilazimisha imani ikubali lisilokubaliwa na akili.

Tena hebu tuzichungue jawabu alizozitoa mshtakiwa huko mahkamani. Hadi yake tunaweza kusema kuwa hizo jawabu ni za ubabaishi. Injili tatu za mwanzo, nazo ndizo zenye kueleza maisha ya Yesu, zimeshindwa kutoa ushahidi hata mmoja kuthibitisha kuwa ni nani khasa huyo mshtakiwa. Injili ya Luka inasimulia kuwa alipoulizwa barazani:
"Kama wewe ndiwe Kristo, tuambie."

Akawaambia: "Nijapowaambia, hamtasadiki kabisa."
Na alipoambiwa: "Basi wewe ndiwe Mwana wa Mungu?"
Akawaambia: "Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye."

Maana ya kauli hiyo sio maana yake kukubali yasemwayo, bali ni kukanya na kumsukumia jukumu yule amuulizae na kumtuhumu kwa hayo - yeye hakimu pamoja na wote waliozua hayo mashtaka. Na vyo vyote alisemalo hasadikiwi, kwani waliomkamata wamesha kata shauri kuwa yeye ndiye Yesu Kristo, na hali siye. Basi hapana haja ya kusema lo lote.

Katika Injili ya Marko tunasoma: Pilato akamwuliza, Wewe ndiwe Mfalme wa Wayahudi?

Akajibu, akamwambia: "Wewe wasema." Nao wakuu wa makuhani walikuwa wakimshitaki mambo mengi. Pilato akamwuliza tena akisema:
"Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!" Wala Yesu hakujibu neno tena, hata Pilato akastaajabu.

Kama alivyojibu kuwa yeye si Mfalme wa Wayahudi, hali kadhaalika si Mwana wa Mungu, wala si Kristo. Kwa suala zote tatu hizo mshtakiwa anasema kuwa hayo wanayasema wale wanaomshtaki, si yeye.

Kadhaalika Injili ya Mathayo inatwambia: Naye Yesu akasimama mbele ya liwali; liwali akamwuliza, akasema,"Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?"
Yesu akamwambia: "Wewe wasema."

Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno. Ndipo Pilato akamwambia: "Husikii ni mambo mangapi wanayokushuhudia?" asimjibu hata neno moja, hata liwali akastaajabu sana. Na sote lazima tustaajabu. Ikiwa yeye ni Yesu, Kristo, Mwana wa Mungu, kama ilivyodaiwa kuwa anadai, kwa nini hakubali? Hapo mahkamani sipo khasa pa kueneza ujumbe wake?

Zingatia vyema kuwa hadithi hizi ziliandikwa miaka mingi baada ya kutokea hayo mambo, tena zimeandikwa na watu wenye kuamini kabisa kuwa huyo aliyekamatwa na kusalibiwa ni kweli Yesu Kristo, mwana wa Maryam.

Juu ya hivyo hata wao hawakuweza kuleta ushahidi wo wote wa kweli au wa kubuni usipokuwa ule wa Yuda, msaliti. Huyo mshtakiwa hakukiri hata mara moja kuwa yeye ndiye Yesu anayetuhumiwa. Na wanafunzi wake nao hawakumtambua wala hawakukiri kuwa wao wanamjua, bali walikataa kwa nguvu, na wakamkimbia.

Tukizingatia haya kwa usafi wa nia na kwa kutumia akili zetu bila ya kugubikwa na mawazo na imani tulizozoeshwa tangu utotoni, na pia tukatia maanani yale tuliyokwisha yasimulia yaliyomo katika Injili nyenginezo zisiokubaliwa na Kanisa, pamoja na nyaraka za kale zilizogundulikana karibuni zinazotufahamisha nini ilikuwa imani ya Wakristo wa asli ya kwamba Yesu hakufa msalabani, ukweli wa Qur'ani unathibiti kwa uwazi kabisa:

Na kwa kusema kwao (Mayahudi): Sisi tumemuua Masihi Isa mwana wa Maryam, Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala hawakumuua wala hakumsalibu, bali walifananishiwa. Na kwa hakika wale waliohitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi juu yake, isipokuwa wanafuata dhana tu. Na hawakumuua kwa yakini.
(Qur'ani) An Nisaa 4.157

Wataalamu wa Biblia wa nchi za magharibi wa sasa baada ya uchunguzi wanakubali ukweli huu wa Qur'ani.

Na Qur'ani iliteremshwa kwa mtu asiyejua kusoma wala kuandika zaidi ya miaka elfu moja na mia nne iliyopita.
 
Na kwa kusema kwao (Mayahudi): Sisi tumemuua Masihi Isa mwana wa Maryam, Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala hawkumuua wala hakumsalibu, bali walifananishiwa. Na kwa hakika wale waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi juu yake, isipokuwa wanafuata dhana tu. Na hawakumuua kwa yakini.
(Qur'ani) An Nisaa 4.157

Wataalamu wa Biblia wa nchi za magharibi wa sasa baada ya uchunguzi wanakubali ukweli huu wa Qur'ani.

Na Qur'ani iliteremshwa kwa mtu asiyejua kusoma wala kuandika zaidi ya miaka elfu moja na mia nne iliyopita.
Nikikuambia ni kwanini yesu aliuliwa kuwa sadaka wewe utagundua kwanini mudi alikanusha kifo cha yesu ..kabla ujapinga kuwa yesu aliuliwa basi tafuta sababu ya kweli ni kwanini yesu aliuliwa na ilitakiwa auliwe ...yesu alikuja duniani kujitoa sadaka .. sasa jiulize kwa nini ....pia wewe unashangaa nini nafsi isiyo ya binadamu kuwa ndani ya mwili wa binadamu ? Kajifunze hata majini yanafanya hivyo.

YESU NI MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA BINADAMU ..ndiyo maana anajiita mwana wa adamu maana mwili uzaa mwili hivyo ni uzao wa mwanadamu ila nafsi iliyokuwa ndani ya huo mwili ndiyo NAFSI PEKEE YA MUNGU ....kilicho kufa siku tatu ni mwili wa yesu ulio mwanadamu ila nafsi ya YESU aikufa hata sekunde moja wala aiwezi kufa ....Nafsi ya mungu ilitoka ndandi ya mwili wa yesu na baada ya siku ya 3 ikalejea tena ndani ya mwili (ndiyo kufufuka)
 
Mungu ndiyo huyo huyo yesu hivyo hakuna jipya wakuabudiwa ni nafsi ya mungu moja tu ...hiyo nafsi ilitwaa mwili usiokuwa na nafsi ya binadamu ukaitwa kristo .....ndiyo maana unakuta kuna maandiko kuwa yesu alikufa na siku ya 3 kufufuka ila alipokuwa msalabani anasema leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi kilichokufa na kufufuka siku ya 3 siyo nafsi ya yesu ni mwili wake kwa sababu nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe hivyo mungu hawezi kufa hata siku moja....YESU KRISTO NI MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU .

UTATU MTAKATIFU SIYO NAFSI 3 ZA MUNGU KAMA WAKRISTO WA NAVYO POTOSHA NAFSI YA MUNGU NI MOJA TU MILELE DAIMA.
Utatu upo ila siyo utatu wa nafsi ..nao upo hivi ninavyo fafanua ili ujue kwanini yesu ni mungu yule yule aliye abuduwa na mitume na manabii

UTATU
1)NAFSI YA MUNGU
2)YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU
3)ROHO MTAKATIFI NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU WENYE NAFSI YA BINADAMU (NAFSI 2)
Huu ndiyo utatu wa injli ya kweli

Are Jesus and God Co-Eternal?

In the sense that both will always exist, yes. But that is true of angels and saints and all the obedient.

The intent of Co-Eternal is that they always existed eternally from ages past, neither preceding the other.

This is not true of Jesus (Luke 2:52: GOD forgave Jesus' sins and was "charitable" with him).

The Scriptures affirm that Jesus was "the beginning of the Creation of God" (Revelation 3:14), and the "firstborn of every creature" (Colossians 1:15).

Therefore he had a beginning.

There was a time before that when God was alone.

Proverbs 8:22 says of Jesus, "The LORD created me the first of his works long ago, before all else that he made. I was formed in earliest times, at the beginning, before earth itself" (Proverbs 8:22, 23, NRSV).

No scripture says Jesus was co-eternal!
 
Nikikuambia ni kwanini yesu aliuliwa kuwa sadaka wewe utagundua kwanini mudi alikanusha kifo cha yesu ..kabla ujapinga kuwa yesu aliuliwa basi tafuta sababu ya kweli ni kwanini yesu aliuliwa na ilitakiwa auliwe ...yesu alikuja duniani kujitoa sadaka .. sasa jiulize kwa nini ....pia wewe unashangaa nini nafsi isiyo ya binadamu kuwa ndani ya mwili wa binadamu ? Kajifunze hata majini yanafanya hivyo

Mbona unaropoka tu bila ushahidi wa Biblia ??

Msingi wa Ukristo ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo mnadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.

A. Mayahudi walidhani hivi kwa sababu ya kupata nafasi ya kumkataa Bwana Yesu, kuwa wa kweli, maana Torati inasema kwamba “Aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu, (Kumbukumbu la Torati 21:23).

Kwahiyo Mayahudi walitaka sana kumfisha Yesu msalabani ili athibitike kuwa mlaaniwa na mlaaniwa hawezi kuwa Nabii wa Mungu.

B. Wakristo walikubali kwamba Yesu alikufa msalabani kwa sababu waliambiwa kwamba Yesu amebeba dhambi za watu kwa kufa msalabani. Hivi wavivu wote ambao hawataki kufuata sheria ya Mungu, mara moja walikubali kwamba damu ya Yesu imetuokoa. (Wagalatia 3:13).

Qur'an Tukufu inapinga dhana hii na inatuelekeza kwenye ukweli wa jambo. Mwenyezi Mungu anasema kwamba: “Na kusema kwao: Hakika tumemuuwa Masihi Isa Mwana wa Mariamu, Mtume wa Mungu, Hali hawakumuuwa wala hawakumfisha msalabani, bali alifananishwa kwao (kama maiti). Na kwa hakika wale waliohitilafiana kwalo, Yakini wana shaka nalo, wao hawalijui hakika yake isipokuwa wanafuata dhana. Na kwa yakini wao hawakumuuwa. (Qur'an 4:158).

Baada ya kupata hakika ya hali katika Qur'an Tukufu, wakati tunasoma Biblia tunaona kwamba Biblia pia inasadikisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani. Nitaeleza hapa hoja za Biblia moja baada ya moja, zinazothibitisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani kabisa.

1. Kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumb. 21:23, Wagalatia 3:13). Basi mtu ambaye anafariki juu ya mti wa msalaba ndiye maluuni na maluuni anakuwa mbali na Mungu hawezi kuwa karibu na Mungu. Na mtu ambaye yu mbali na Mungu hawezi kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu.

Tunaamini kwamba sawa na Qur'ani na Biblia Bwana Yesu alikuwa Nabii wa Mungu, tena kachaguliwa na kubarikiwa.

Kwa hiyo haiwezekani kwamba Bwana Yesu afe kifo cha laana cha msalaba.
 
M
Mbona unaropoka tu bila ushahidi wa Biblia ??

Msingi wa Ukristo ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo mnadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.

A. Mayahudi walidhani hivi kwa sababu ya kupata nafasi ya kumkataa Bwana Yesu, kuwa wa kweli, maana Torati inasema kwamba “Aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu, (Kumbukumbu la Torati 21:23).

Kwahiyo Mayahudi walitaka sana kumfisha Yesu msalabani ili athibitike kuwa mlaaniwa na mlaaniwa hawezi kuwa Nabii wa Mungu.

B. Wakristo walikubali kwamba Yesu alikufa msalabani kwa sababu waliambiwa kwamba Yesu amebeba dhambi za watu kwa kufa msalabani. Hivi wavivu wote ambao hawataki kufuata sheria ya Mungu, mara moja walikubali kwamba damu ya Yesu imetuokoa. (Wagalatia 3:13).

Qur'an Tukufu inapinga dhana hii na inatuelekeza kwenye ukweli wa jambo. Mwenyezi Mungu anasema kwamba: “Na kusema kwao: Hakika tumemuuwa Masihi Isa Mwana wa Mariamu, Mtume wa Mungu, Hali hawakumuuwa wala hawakumfisha msalabani, bali alifananishwa kwao (kama maiti). Na kwa hakika wale waliohitilafiana kwalo, Yakini wana shaka nalo, wao hawalijui hakika yake isipokuwa wanafuata dhana. Na kwa yakini wao hawakumuuwa. (Qur'an 4:158).

Baada ya kupata hakika ya hali katika Qur'an Tukufu, wakati tunasoma Biblia tunaona kwamba Biblia
pia inasadikisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani. Nitaeleza hapa hoja za Biblia moja baada ya moja, zinazothibitisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani kabisa.

1. Kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumb. 21:23, Wagalatia 3:13). Basi mtu ambaye anafariki juu ya mti wa msalaba ndiye maluuni na maluuni anakuwa mbali na Mungu hawezi kuwa karibu na Mungu. Na mtu ambaye yu mbali na Mungu hawezi kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu.

Tunaamini kwamba sawa na Qur'ani na Biblia Bwana Yesu alikuwa Nabii wa Mungu, tena kachaguliwa na kubarikiwa.

Kwa hiyo haiwezekani kwamba Bwana Yesu afe kifo cha laana cha msalaba.
Mbona kwenye biblia kila kitu kipo wazi yesu mwenyewe anasema kuwa imempasa kuuliwa na siku ya 3 kufufuka ...wewe unasoma biblia gani ?
 
Unaweza kuniwekea hiyo aya ambayo Bwana Yesu alisema hivyo ??
 
M

Mbona kwenye biblia kila kitu kipo wazi yesu mwenyewe anasema kuwa imempasa kuuliwa na siku ya 3 kufufuka ...wewe unasoma biblia gani ?

KAFARA YA YESU HAISAIDII CHOCHOTE

Wakristo mnaamini ya kwamba Adamu na Hawa walifanya dhambi kisha wazao wao wote wanarithi dhambi hiyo (dhambi ya asili). Na Mwenyezi Mungu hawezi kuondoa adhabu ya dhambi ile bila kumwaga damu, na hakuna mtu yeyote anayeweza kuokoka bila ya kafara. Na anatolewa kafara ambaye hana dhambi yoyote.

Na wakati wanadamu wote wanarithi dhambi hiyo, yeyote hawezi kutolewa kafara. Kwa sababu hiyo Mwenyezi Mungu alimtoa Bwana Yesu Kristo atolewe sadaka na damu yake iwe kafara ya dhambi za watu wote.

Lengo la kutumwa kwa Yesu lilikuwa ni kuwaokoa wanadamu kwa kafara ya damu yake.

Nitachunguza na kuzipima hoja zote za Wakristo kuhusu kafara. Na itathibitika ya kwamba kafara ya Bwana Yesu haisaidii chochote.

(i) Mwenyezi Mungu ambaye ni Muumba wa ulimwengu aliye mwingi wa rehema na mwingi wa ukarimu hataki kafara ya watu kama alivyosema.

“Nataka rehema wala siyo sadaka.” (Mathayo 12:7).

Hiyo ni sababu wakati Nabii Musa alipotaka kujitoa kafara, Mwenyezi Mungu hakukubali mawazo yake.

Biblia inasema ya kuwa: “Asubuhi yake Musa akawaambia watu, mmetenda dhambi kuu. Sasa nitakwenda juu kwa Bwana, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu. Musa akarejea kwa Bwana akasema: “Aa!! watu hawa wametenda dhambi kuu, wamejifanyia mungu wa dhahabu. Walakini sasa, ikiwa utawasamehe dhambi yao na kama sivyo unifute, nakusihi, katika kitabu chako ulichokiandika. Bwana akamwambia Musa, mtu yeyote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu.” (Kutoka 32:30-33).

(ii) Ikiwa lengo lilikuwa ni kuwasamehe watu, basi watu walisamehewa kwa maombi ya Nabii Musa tu.

Wala haikuhitajika kumwagika damu ya mtu.

Kama Nabii Musa mwenyewe alivyosema: “Nikaanguka nchi mbele za Bwana siku arobaini usiku na mchana, kama
pale kwanza; sikula chakula wala kunywa maji ; kwa sababu ya makosa yenu yote mliyokosa, kwa kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, kwa kumkasirisha.
Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia Bwana kutaka kuwaangamiza. Lakini Bwana alinisikiza wakati huo nao. Bwana akamkasirikia sana Haruni akataka kumwangamiza; nikamwombea Harun naye wakati huo. (Kumbukumbu la Torati 9:18- 20).

Siyo hiyo tu, bali wapo watu kadhaa wale ambao hawana dhambi bila ya kumwagwa damu ya Yesu. Kwa mfano, katika Biblia imesemwa kuwa: “Melkizedeki hana baba, hana mama, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu huyo adumu kuhani milele.” (Waebrania 7:3).

Melkizedeki aliumbwa bila ya wazazi wawili, na huyo hana dhambi aliyorithi toka kwa wazazi. Vile vile Enoko alienda pamoja na Mungu. (Mwanzo 5:22).

Enoko akiwa pamoja na Mungu kwa kuwa hakuwa na dhambi, kwa maana mwenye dhambi hawezi kumkaribia Mungu.

Vile vile Biblia imesema kwamba Zakaria na mkewe Elizabeti hawakuwa na dhambi Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria wa Zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmoja wa uzao wa Haruni, jina lake Elizabeti na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu wakiendelea katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama.” (Luka 1:5-6).

Kama hawa wazee wawili hawakuwa na dhambi ndivyo vivyo mtoto wao Yohana hakuwa na dhambi.

Imesemwa kuwa: “Sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana hatakunywa divai wala kileo naye atajazwa roho mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.” (Luka 1:15).

Sasa basi, ikiwa watu wote hawa walikuwa wema na hawakuwa na dhambi yoyote, kabla ya damu ya Yesu, sifa hizo walizipata vipi?.

(iii) Bibla inapinga na kufutilia mbali mawazo ya kuwa mtu anaweza kubeba dhambi za mtu mwingine. Kama Mwenyezi Mungu alivyosema:

(A) “Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao. Kila mtu auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.” (Kumb. 24:16).

(B) Lakini kila mtu aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si ya mwenzake.” (Wagalatia 6:4).

Wakati mtu hawezi kubeba dhambi za mtu mwingine, Mapadri na Wachungaji wa leo wanahubiri kinyume na fundisho hili la Biblia kwa misingi gani?

(iv) Bwana Yesu hakujua lengo la kutumwa kwake kwamba ni kutolewa sadaka au kafara, kwa sababu hiyo alikuwa na hofu ya hali ya juu ya kuuwawa kwake. Ndiyo maana alijificha kama isemavyo Biblia:

(A) “Basi tangu siku ile walifanya shauri ya kumuwa kwahiyo Yesu hakutembea tena kwa wazi mpaka mji uitwao
Eframu akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.” (Yohana 11:53-54).

(B) Maadamu mnayo nuru iaminini nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru. Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake, akajificha wasimwone.” (Yohana 12:36).

Sasa mtu ambaye anasemekana kwamba alikuja kumwaga damu yake kwa ajili ya kuwaokoa watu kwa nini
alijificha ficha?

Na wakati alipotakiwa kumwaga damu alipiga mayowe? Kama tuirejeapo Biblia:

“Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema “Eloi, Eloi lamasabaktani? Yaani Mungu wangu! Mungu wangu mbona umeniacha? (Mathayo 27:46).

Kama Yesu hakutaka kumwaga damu yake kwa hiyari yake, basi hii si sadaka wala kafara, bali ni kumshinikiza.

Vilevile kama mtu anamsaidia masikini kwa hiyari yake, hii inakuwa ni sadaka, na kama ataporwa na masikini
hiyo haitaitwa sadaka, bali hii itaitwa ni wizi au ujambazi.
 
Back
Top Bottom