Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

@ephen, mara ngapi wewe unashindana na NAFSI Yako juu ya mavazi unayotaka kuyavaa Ili uende kazini?

Hujawahi kujikuta ukichukua hili na kuliacha ukachukua kingine,

Je Kwa kufanya hivyo, wewe imekuwa tofauti na NAFSI Yako?

Ndivyo hivyo hivyo mwanzo 1:26-28, na Isaya 6:1-10 isemavyo.

Na tuumbe mtu Kwa Mfano wetu Kwa sura yetu, hapo ni Mungu anaongea Yeye mwenyewe.

Ndiye huyo huyo Baba, akiwa KITI Cha Enzi,

Akiwa duniani katika kuwahudumia WANADAMU wote at once anaitwa Roho mtakatifu, lakini ni Mungu Mmoja yule yule.

Anapojifunua kupitia BIBLIA/ neno la Mungu, anaitwa NENO, lakini ndiye yule yule Mungu Mmoja.

Alipokuja duniani katika mwili wa mwanadamu, akaitwa Mwana, lakini ni Mungu yule yule mmoja. Hujifunuankatika form mbalimbali kulingana na office husika lakini anabaki kuwa Mungu Mmoja .

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen

Wacha kumpakazia Yesu uungu , Hamna mahali popote katika biblia yoyote Yesu alisema mimi ni Mungu au alisema mniabudu mimi

“Remember the former things of old; for I am God, and there is none else; I am God, and there is none like Me,” (Isaiah 46:9)

yesu alikunya kama wewe alizaliwa kama wewe , alicheza na watoto wenzake kama wewe , alitawazishwa mavi kama wewe , alikula kama wewe labda yeye hakula maharage na ugali kama wewe
 
Wacha kumpakazia Yesu uungu , Ham,na mahali popote katika biblia Yesu alisema mimi ni M ungu au alisema mniabudu mimi

“Remember the former things of old; for I am God, and there is none else; I am God, and there is none like Me,” (Isaiah 46:9)

yesu alikunya kama wewe alizaliwa kama wewe , alicheza na watoto wenzake kama wewe , alitawazishwa mavi kama wewe , alikula kama wewe labda yeye hakula maharage na ugali kama wewe
Unaweza kujikita kwenye mada?

Mada Iko katika mfumo wa swali, jibu swali kama una jibu,

NB: Kumbuka,huu Si mhadhara wa kidini.

Karibu.
 
Unaweza kujikita kwenye mada?

Mada Iko katika mfumo wa swali, jibu swali kama una jibu,

NB: Kumbuka,huu Si mhadhara wa kidini.

Karibu.

Kumbe haya maneno uliyoyaandika hayako nje ya mada, kwa nini ukayaweka ??

Nayanukuu hapa chini kwa red ink

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Kumbe haya maneno uliyoyaandika hayako nje ya mada, kwa nini ukayaweka ??

Nayanukuu hapa chini kwa red ink

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Unajua maana ya kujikita kwenye mada?

Soma tena na tena, elewa Kisha toa jibu kama unaelewa kulingana na quote za maandiko nilizoquote.

Narudia, huu Si muhadhara wa kidini.

Hili ni jukwaa la Intelligence only.

Inteligence gani ya kumfanya kiumbe ambaye hajasemapo kuwa yeye ni Mungu ukampakazia uungu ??

halafu uwachwe tu uendelee kumtukana Mungu kwa kumpa uungu kiumbe mwenzako aliyekuwa akila na kunya kama wewe na mimi ???
 
Kula karoti na mchicha kwa wingi mangi.

Chini ya serikali ya CCM hivyo vitu utavisikia redioni tu kama ile nyimbo ya kuleni kuku , mayai , mboga , samaki maziwa sijui kama uliwahi kuisikia
 
Inteligence gani ya kumfanya kiumbe ambaye hajasemapo kuwa yeye ni Mungu ukampakazia uungu ??

halafu uwachwe tu uendelee kumtukana Mungu kwa kumpa uungu kiumbe mwenzako aliyekuwa akila na kunya kama wewe na mimi ???
Makobazi umemwachia nani pale nje?

Kuna vibaka ujue🤔
 
Makobazi umemwachia nani pale nje?

Kuna vibaka ujue🤔

Vibaka ni nyinyi msioamini Mungu wa kweli

Makobazi namuachia huyu hapa ndiye mlinzi

MUNGU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO. HAKUNA ALIYEMWONA MUNGU, KWA HIYO YESU SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

“Hakuna maono yanayoweza kumshika, bali Yeye hushika maono yote. Yeye ni Al-Latiif (Mpole na Mpole), Mjuzi wa kila kitu.” [Qur’ani 6:103]

“MUNGU akaendelea, “Lakini huenda usinione uso wangu. Hakuna anayeweza kuniona na kuishi.” [Kutoka 33:20]

“Mungu asiyeonekana.” [Wakolosai 1:15]

“Basi kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kufa, asiyeonekana, Mungu pekee, na iwe heshima na utukufu milele na milele. [1 Timotheo 1:17]

Ambaye hakuna mtu aliyemwona wala awezaye kumwona.” [1 Timotheo 6:16]
 
Chini ya serikali ya CCM hivyo vitu utavisikia redioni tu kama ile nyimbo ya kuleni kuku , mayai , mboga , samaki maziwa sijui kama uliwahi kuisikia
Apana mkuu sikuwahi sikia
 
Vibaka ni nyinyi msioamini Mungu wa kweli

Makobazi namuachia huyu hapa ndiye mlinzi

MUNGU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO. HAKUNA ALIYEMWONA MUNGU, KWA HIYO YESU SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

“Hakuna maono yanayoweza kumshika, bali Yeye hushika maono yote. Yeye ni Al-Latiif (Mpole na Mpole), Mjuzi wa kila kitu.” [Qur’ani 6:103]

“MUNGU akaendelea, “Lakini huenda usinione uso wangu. Hakuna anayeweza kuniona na kuishi.” [Kutoka 33:20]

“Mungu asiyeonekana.” [Wakolosai 1:15]

“Basi kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kufa, asiyeonekana, Mungu pekee, na iwe heshima na utukufu milele na milele. [1 Timotheo 1:17]

Ambaye hakuna mtu aliyemwona wala awezaye kumwona.” [1 Timotheo 6:16]
Hayo uliyoandika,

Yanajibu swali lililoulizwa katika mada hapo juu?

Naona umeamua kuandika ulichokaririshwa!!
 
Tofauti ni kubwa,

Mahakama kuu Iko Mbinguni, na shetani mara zote hupeleka mashtaka Kwa Mungu kuhusu watu Walio duniani,

Na anaitwa Mshtaki wa watu wa Mungu,

Mungu Hana ushirika na shetani, Bali shetani huja kuwashtaki watu wa Mungu wanapomuasi Mungu Ili awachukue upande wake.

Na Hilo liko wazi, shetani Hana ushirika wa kiibada na Mungu, Bali mstaki tu.

Sijui umeelewa?

Tofauti na kule mwingine, wao wamemsilimisha shetani, na majini, wanakusanyika kuabudu pamoja Giza!!
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hayo uliyoandika,

Yanajibu swali lililoulizwa katika mada hapo juu?

Naona umeamua kuandika ulichokaririshwa!!

Kumbe makobazi yanajibu mada hiyo hapo juu ??

Kwanini lisijibu , ulikaa ukatafakari ??

Soma bila jaziba utaelewa tu kwamba Yesu si Mungu wala hamna mahali alijiita Mungu wala hakuna mahali alimwambia mtu yeyote amwabudu yeye .

Yesu aliomba mwongozo katika mahali pa faragha - "Kesho yake asubuhi, kukiwa bado na giza, Yesu aliamka, akatoka nyumbani, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akasali." [Marko 1:35]

"Lakini mara nyingi Yesu aliondoka kwenda mahali pasipokuwa na watu na kusali." [Luka 5:16]

• Yesu aliombea wanafunzi wake na waamini wote -“Baba Mtakatifu (MUNGU), uwalinde kwa nguvu ya jina lako—jina ulilonionyesha—ili wawe na umoja kama sisi tulivyo na umoja” [Yohana 17:11]. ].

• Yesu aliomba kwa sifa kwa Mungu, Baba – “Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakusifu, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na hekima. kujifunza, na kuwafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )

• Yesu aliomba kwa mkao na kwa mtazamo wa kunyenyekea kwa uchaji – “Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke. Lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe” (Mathayo 26:39).
 
Back
Top Bottom