Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yohana 1:1
Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine chochote, alikuwapo Neno.
Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu
Yohana 1:14
Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utukufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.
(Mathayo 13:11)Yohana 1:1
Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine chochote, alikuwapo Neno.
Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu
Yohana 1:14
Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utukufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.
Yesu alitumwa na nani?(Mathayo 13:11)
Ninyi mmejaliwa kuzijua Siri za ufalme wa Mbinguni, lakini wao hawakujaliwa.
Ubarikiwe, lakini tuendelee kuwafahamisha Mungu awape neema kuzijua Siri za ufalme wa Mungu.
Yesu ndiye Mungu mwenyewe aliyeamua kuufanyia Ujasusi Ulimwengu, akaamua kuvaa mwili wa mwanadamu, akajiumba nndani ya tumbo na akawa mwanadamu, akazaliwa, akaitoa Roho ndani ya MWILI, Kisha akairejesha tena na kufufuka Kisha akarudi kule katika mwili wa uungu ambako yupo Hadi sasa ameketi katika KITI Cha enzi.Yesu alitumwa na nani?
Hapo nimekuelewa lakini ile story ya 'akauliza nimtume nani akaukomboe ulimwengu ilitoka wapi?Yesu ndiye Mungu mwenyewe aliyeamua kuufanyia Ujasusi Ulimwengu, akaamua kuvaa mwili wa mwanadamu, akajiumba nndani ya tumbo na akawa mwanadamu, akazaliwa, akaitoa Roho ndani ya MWILI, Kisha akairejesha tena na kufufuka Kisha akarudi kule katika mwili wa uungu ambako yupo Hadi sasa ameketi katika KITI Cha enzi.
Akiwa duniani alifahamika kama mwana, ndiye Neno, ndiye Roho MTAKATIFU,ndiye Baba aketiye katika KITI Cha enzi Mbinguni.
Huyo ndiye Mungu, Hana mipaka, aweza kuwa vyovyote atakavyo na akabaki kuwa Mungu.
Sijui umeelewa au Bado kidogo?
@ephen, mara ngapi wewe unashindana na NAFSI Yako juu ya mavazi unayotaka kuyavaa Ili uende kazini?Hapo nimekuelewa lakini ile story ya 'akauliza nimtume nani akaukomboe ulimwengu ilitoka wapi?
Kivipi alijiuliza na kujijibu yeye mwenyewe?
Hapo nimekuelewa@ephen, mara ngapi wewe unashindana na NAFSI Yako juu ya mavazi unayotaka kuyavaa Ili uende kazini?
Hujawahi kujikuta ukichukua hili na kuliacha ukachukua kingine,
Je Kwa kufanya hivyo, wewe imekuwa tofauti na NAFSI Yako?
Ndivyo hivyo hivyo mwanzo 1:26-28, na Isaya 6:1-10 isemavyo.
Na tuumbe mtu Kwa Mfano wetu Kwa sura yetu, hapo ni Mungu anaongea Yeye mwenyewe.
Ndiye huyo huyo Baba, akiwa KITI Cha Enzi,
Akiwa duniani katika kuwahudumia WANADAMU wote at once anaitwa Roho mtakatifu, lakini ni Mungu Mmoja yule yule.
Anapojifunua kupitia BIBLIA/ neno la Mungu, anaitwa NENO, lakini ndiye yule yule Mungu Mmoja.
Alipokuja duniani katika mwili wa mwanadamu, akaitwa Mwana, lakini ni Mungu yule yule mmoja. Hujifunuankatika form mbalimbali kulingana na office husika lakini anabaki kuwa Mungu Mmoja .
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Ni mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya mungu.Salaam, shalom!!
( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4)
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo?
Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?
Karibuni 🙏
Na mwili huo ni WA kiroho, Si wa Damu na nyama, ila mwonekano ni kama mwanadamu,Ni mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya mungu.
Vitu vyote ni roho hata hii miili yetu ni roho tu yaani energy (kisayansi tunasema even matter is an energy) kumbuka maana ya UFALME WA MUNGU NI UFALME WA ROHO ..hata Mungu pia ni roho maana yake vyote ni roho hakuna kisichokuwa roho ila vipo katika kanuni tofauti tofauti.Na mwili huo ni WA kiroho, Si wa Damu na nyama, ila mwonekano ni kama mwanadamu,
Malaika pia mara kadhaa wamewahi kuonekana katika form hiyo.
Uko sawa,Vitu vyote ni roho hata hii miili yetu ni roho tu yaani energy (kisayansi tunasema even matter is an energy) kumbuka maana ya UFALME WA MUNGU NI UFALME WA ROHO ..hata Mungu pia ni roho maana yake vyote ni roho hakuna kisichokuwa roho ila vipo katika kanuni tofauti tofauti.
Ndo nilikua nashangaa. Mbona sijawahi muona Yesu kama malaika kwenye agano la kale. Alipomtembelea Ibrahim alikua yeye mwenyewe ila hakwenda na malaika Sodoma na Gomora. Alibaki na Ibrahim wakiongea kuhusu hukumu ya huu mji. Neno limesema kabisa Bwana tena ya herufi kubwa na sio ndogo. Maana yake alishuka kuja duniani kuweka misingi.Hakuna popote huyo aketiye katika KITI Cha enzi amefananishwa na Malaika,
Lete evidence.
Neno ndiye Mungu huyo huyo.
Salaam, shalom!!
( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4)
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.
Ni nani huyo?
Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?
Karibuni 🙏
Ngoja nijikite humo, Mungu ni wewe mimi na yule , hakuna Mungu kama kitu kimoja chenye nguvu zaidi njee na wewe mimi yule na kile , ukishasema Mungu yupo mahali fulani tayari ushapunguza sifa ya Mungu kuwa Mungu.
Yani kila kitu ni Mungu na Mungu ni kila kitu , na wala hana mahitaji ya kusifiwa wala kuabudiwa , wala hama sababu ya kuwa na chawa ( viongozi wa dini , manabii mitume na nk) ili kufikisha chochote kwa mtu wala kitu ambacho bado ni yeye mwenyewe .
Vitabu vimeandikwa na watu na mimi ni mtu , sjui kama nimekujibu😊Hebu tuwekee hayo maneno yako uliyatoa kitabu kipi ?? Reference please
Vitabu vimeandikwa na watu na mimi ni mtu , sjui kama nimekujibu😊
Nmeandika vitabu vingi na kutafsri vitabu vingi kwa kiswahili , ukipenda naweza kupatia usome piaKama vitabu vimeandikwa na watu , Kitabu chako kinaitwaje na umenukuu kutoka ukurasa upi ?? Au wewe si mtu ??
Nmeandika vitabu vingi na kutafsri vitabu vingi kwa kiswahili , ukipenda naweza kupatia usome pia
Kwani umeonaje mkuu?Ndio umeleta reference hiyo hapo juu ?