Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
@ephen, mara ngapi wewe unashindana na NAFSI Yako juu ya mavazi unayotaka kuyavaa Ili uende kazini?
Hujawahi kujikuta ukichukua hili na kuliacha ukachukua kingine,
Je Kwa kufanya hivyo, wewe imekuwa tofauti na NAFSI Yako?
Ndivyo hivyo hivyo mwanzo 1:26-28, na Isaya 6:1-10 isemavyo.
Na tuumbe mtu Kwa Mfano wetu Kwa sura yetu, hapo ni Mungu anaongea Yeye mwenyewe.
Ndiye huyo huyo Baba, akiwa KITI Cha Enzi,
Akiwa duniani katika kuwahudumia WANADAMU wote at once anaitwa Roho mtakatifu, lakini ni Mungu Mmoja yule yule.
Anapojifunua kupitia BIBLIA/ neno la Mungu, anaitwa NENO, lakini ndiye yule yule Mungu Mmoja.
Alipokuja duniani katika mwili wa mwanadamu, akaitwa Mwana, lakini ni Mungu yule yule mmoja. Hujifunuankatika form mbalimbali kulingana na office husika lakini anabaki kuwa Mungu Mmoja .
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Wacha kumpakazia Yesu uungu , Hamna mahali popote katika biblia yoyote Yesu alisema mimi ni Mungu au alisema mniabudu mimi
“Remember the former things of old; for I am God, and there is none else; I am God, and there is none like Me,” (Isaiah 46:9)
yesu alikunya kama wewe alizaliwa kama wewe , alicheza na watoto wenzake kama wewe , alitawazishwa mavi kama wewe , alikula kama wewe labda yeye hakula maharage na ugali kama wewe