Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Hoja Ipi??
Kama ni Hoja Ya Mfano wa Mwanadamu Inakosa Authentification kwa sababu imetajwa kwenye Kitabu kimoja tu cha biblia..
Yaani Ufunuo..

Kitabu ambacho Bado kinapata Pingamizi kutoka kwa Wanatheolojia
HOJA kuhusu kitabu kinachopingwa na wanatheolojia ni nje ya mada.

Anzisha Uzi wako na ujadiliwe huko.

Jikite kwenye mada, na ikiwa huja jibu, Tulia waje watakaoweza kujibuπŸ™
 
HOJA kuhusu kitabu kinachopingwa na wanatheolojia ni nje ya mada.

Anzisha Uzi wako na ujadiliwe huko.

Jikite kwenye mada, na ikiwa huja jibu, Tulia waje watakaoweza kujibuπŸ™
😁😁😁Umezoea mahubiri ,unaambiwa tu hakuna kuhoji, uzi ukishauweka humu ni mali ya uma tulia upigwe spana.
 
HOJA kuhusu kitabu kinachopingwa na wanatheolojia ni nje ya mada.

Anzisha Uzi wako na ujadiliwe huko.

Jikite kwenye mada, na ikiwa huja jibu, Tulia waje watakaoweza kujibuπŸ™
Sasa Utajadili vipi Mada wakati Sources ya Mada Yenyewe Ni Non-Authentic..

Lets say...

Tuanze kujadili Kuhusu Kuwa Sheria ya Kodi na Ufujaji aliyosaini Rais wa Tanzania Anayeitwa Joe Biden....

Halafu ukatupostia Contents za Hiyo sheria..
kisheria Contents nzima itakuwa Si halali kwa sababu hakuna Rais anayeitwa Joe Biden Tanzania..

So kama Hakuna inamaanisha hata Sheria Itakuwa ni Void na Inconclusive....

Huwezi kujadili Kauli ya Mtu anayesema Kaambiwa na Kuku hata kama Kauli itakuwa ya kweli
 
Nikisema, huna jibu kuhusu HOJA hapo juu, nitakuwa sijakosea.
 
Muongeze na hizi aya Zao ambazo hawazisomi...
LUKA 17:20-21
 
Nikisema, huna jibu kuhusu HOJA hapo juu, nitakuwa sijakosea.
Hiyo Hoja nimeitoa Unatakiwa wewe Uipinge kwa hoja zako Kushindwa kupinga Hoja yangu..

Kunathibitisha Ukweli wangu Na Unajua kunathibitisha nini Tena..
Kunathbitisha Hii Mada Ni Void na ni Uongo hakuna Mfano wa mwanadamu πŸ˜…πŸ˜…
 
Hizo hadithi zipo pia kwenye vitabu vya kale vya kigiriki , kabla hata ya biblia .
Vitabu gani hivyo mzee na unaweza thibitishaje ni vya kale kuliko Biblia?

Hivi ni kwanini unatushinikiza nasi tupinge uwepo wa Mungu? Kama we unapinga ni uhuru wako acha sisi tunaoamini, tuendelee kuamini. Kwani wewe unapungukiwa nini sisi wengine tukiamini uwepo wa Mungu?
 
Wewe jini maimuna tulia huu uzi ni mali ya uma na siyo ya kanisa😁😁😁
 
Hakuna sehemu alipokushinikiza Ila ni Jukumu lako kuona kama Amesema sio kutetea Point yako...

Na anachosema yuko Sahihi kabisa..
'Theology started as Mythology" hiki ni kitu cha kwanza kabisa Watu hufundishwa..

Na ukitakata vinaweza kuthibitishwa pia...
Unajua Biblia Agano la kale Ilianza kuonekana au kupatikana baada ya Waisrael kutoka Babel (Walipokuwa wametekwa na Wasamalia?)..

Ila kabla ya hapo kulikuwa na vitabu vingi vya kale vya Samarian na Babel?
 
Mathayo 6:9
Basi, salini hivi: β€œβ€˜Baba yetu uliye mbinguni, jina lako na litakaswe.
Mungu ana makao. Makao yake Yako mbinguni.
Ila huyo mfano wa mwanadamu ni Yesu Kristo.
 
Hahaaaaa, umejifunua leo Jina Makata? Mi nashauri tu. Jaribu kuachana na vitu visivyokudhuru mkuu. Kama huamini, piga kimya tuachie sisi tunaoamini tuendelee kuamini.
Enyi mafarisayo wenye imani haba ondoa kwanza kibanzi kwenye jicho lako ndipo utoe boriti kwa mwingne , kati ya watu wa dini na wasio na dini akina nan wanashawishi wengne ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…