Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

"Na tumfanye mtu Kwa Mfano wetu Kwa sura yetu"

Mungu ni ROHO,

Mtu pia ni ROHO.

Tunafanana na Mungu Kwa kuwa asili yetu ni Mungu.

Na mwili wa kiroho una umbo kama la mwili wa udongo, tofauti yake mwili huo, Hauna limit, hauchoki, ni WA milele.

Katika biblia imeandikwa

“Remember the former things of old; for I am God, and there is none else; I am God, and there is none like Me,” (Isaiah 46:9)

Yaani Mungu hafanani na chochote

Unaposema God is spirit itakuwa biblia inajikanganya kwani hawa wote hawawezi kuwa ni Waungu

John 16 :13

But when he, the Spirit of truth, comes, he will guide you into all the truth. He will not speak on his own; he will speak only what he hears, and he will tell you what is yet to come.

Isaiah 11:1-3, there is:

1- Spirit of Wisdom and Understanding.

2- Spirit of Counsel and of power.

3- Spirit of Knowledge.

4- Spirit of the fear of the LORD.
 
Kristo ni kielelezo cha iwapasavyo watu kumcha mungu ndiyo maana aliitwa mwalimu ...ndiyo maana akasema yeye ni njia yaani tujifunze kwake ...wewe maswali yako yako nje ya akili

Yesu katumwa kwa wayahudi tu , haya hapa maneno yake

Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo.

Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu.

Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.

Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.

Mathayo 15.21-28

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina.

Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu:

Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."
 
Yesu anaposema mwana wa mungu umaanisha (MWILI) wake na anapo sema (BABA)umaanisha nafsi yake nafsi ya yesu ndiyo mungu mwenyewe ndiyo maana msalabani kilicho kufa siku 3 ni mwana yaani mwili siyo baba yaani nafsi yake .. ndiyo maana msalabani yesu anamwambia yule mtu leo hii tutakuwa pamoja nami pema peponi sasa yesu aliye fufuka siku 3 ni yupi ikiwa ana sema leo hii tutakuwa pema peponi ? Kilicho kufa ni mwili wa kristo ila nafsi ya kristo ndiyo baba haiwezi kufa hata siku moja kwa sababu Mungu awezi kufa ...hivyo kristo akisema baba yangu umaanisha (nafsi yangu)

Umekuwa msemaji wa Yesu ??

Ni wapi alikuambia kuwa alimaanisha hayo uliyompakazia ??
 
Tumia akili kama siyo hivyo basi injili ni potovu tena inapingana ..ila kama ndiyo hivi ninavyo sema basi imenyooka ...mimi siyo shabiki wa dini ila nasema ukweli kuhusu dini zote bila ya ubaguzi injili inayo tumika makanisani ni injili potovu mfano 666 wanasema maana za uongo wakati injili ya kweli ipo wazi kuwa 666 ni mwili wa mwanadamu na chapa ya huo mwili ni dhambi ..ndiyo maana ikaandikwa ni hesabu ya kibinadamu ...kama nikiwauliza maswali nyinyi waislamu na wakristo mambo leo hakuna wa kunijibu hata mmoja ...injili imenyoka kuliko uislamu ....kwenye uislamu kuna upotovu mkuu mno yani ni ushetani kamili hapa siongelei magaidi la naongelea ule uislamu halisi wa dhama za muhammad mwenyewe ...muhammad anasema yeye ni mtume tena mtume mkuu kuliko wote ila cha kuchekesha hajui mtume au nabii mana yake ni nini?
 
Salaam, shalom!!

( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4)

Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.

Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.

Ni nani huyo?

Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?

Karibuni 🙏

Reference: (Isaiah 6:1-10), (Genesis 1:26-28.). (Ufunuo 1:13-14), ( Daniel 7:9,13,14), (Matendo 9:4).
Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu... Mwanzo 1:26
 
Wakristo wasio na akili utawasikia wanasema "tunakubariki Mungu au Mungu abalikiwe" huu ni upumbavu ...wakristo sio na akili wanasema katika ukristo kuna zaka ya fungu la kumi ....huo ni upumbavu....wakristo wasio na akili wanasema kanisa ni nyumba ya ibada huoni upumbavu ...kuna mlokole mdada alikuja kwangu siku moja nilimpiga maswali bila ya ubishi akasema ngoja kwanza akasome upya biblia kutizama ninacho mwambia kama ni kweli maana aligundua kuwa kuna udanganyifu kwenye makanisani yao.
 
Umeandika maneno meeeeeengi bila hata kutuwekea hiyo injili yako ya kweli wala nukuu yoyote kutoka biblia yoyote uijuwayo wewe ,

Baniani alisema , DOMO JUMBA YA MANENO

Ni msiba mkubwa
Wewe tatizo lako ni akili zako ndogo soma niliyo yaandika utaona injili ya kweli inasemaje tofauti na hiyo feki ya mungu mwenye nafsi 3
 
Yesu katumwa kwa wayahudi tu , haya hapa maneno yake

Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo.

Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu.

Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.

Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.

Mathayo 15.21-28

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina.

Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu:

Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."
Sasa hapo mbona ni wewe ambaye ujaelewa maana ya tukio zima ....unajua nini maana ya kondoo na kondoo waliopotea na nini maana ya nyumba ya Israel...kwa akili yako wewe unadhani waisrael wote ni watakatifu au wataingia peponi ..hata kati ya waisrael kuna kondoo na mbwamwitu pia kati ya mataifa kuna kondoo na mbwa mwitu ...hiyo lugha yesu kaitumia akiwafundisha wafuasi wake kuwa huyo mwanamke ni kondoo pia japo siyo muisrael.soma kwa kutumia akili pana utajua ninacho kuambia
 
Unaendelea kutuletea maneno ya domo lako, hujaleta mahali huyo Yesu aliyatafsiri hayo maneno yake
 
Wewe tatizo lako ni akili zako ndogo soma niliyo yaandika utaona injili ya kweli inasemaje tofauti na hiyo feki ya mungu mwenye nafsi 3
Injili ya kweli ni hii ya Lwiva, mbona umeshindwa kuinukuu?
 
Salaam, shalom!!

( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4)

Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.

Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.

Ni nani huyo?

Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?

Karibuni 🙏

Reference: (Isaiah 6:1-10), (Genesis 1:26-28.). (Ufunuo 1:13-14), ( Daniel 7:9,13,14), (Matendo 9:4).
Mwanzo 1:25-27
25 Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
 
Unaendelea kutuletea maneno ya dom lako, hujaleta mahali huyo Yesu aliyatafsiri hayo maneno yake
Kwa sababu nimekuona ni mbisha acha sasa nikufungie kazi maana unaleta ubishi usio na akili ...sasa nakupa kazi ili nikujibu ....
1)unajua jina Israel lilitoka wapi na nani aliye pewa ilo jina nitajie ni nani ?
2)ukisha nitajia ilo jina weka hapa wosia wa huyo mtu kabla ajafa maana kuna wosia aliutoa kabla ya kufa kwake ucopy na kuuweka hapa kisha nitakuja kukuonyesha haya ninayo sema kutoka katika kinywa cha huyo mwenye jina la Israel mwenyewe. Fanya hivyo haraka soma mwanzo 49 _10 utajua yesu ni nani na alikuja kwa Israel tu au mataifa
 
Hiyo ndiyo injili ya Lwiva unavyosema na Huo ni ukurasa wa ngapi , chapter ipi ? Ya 57?
 
Yakobo ambaye ndiyo Israel anasema
👉 Fimbo ya enzi haitaondoka katika yuda, wala mfanya sheria kati ya miguu yake, Hata hatakapo kuja yeye mwenye milki, ambaye mataifa watamtii..

Sasa hapa unajua yakobo alikuwa anasema nini kuhusu Israel kuwa taifa teule ? Maana yake ni kuwa atakapo kuja kristo ndiyo mwisho wa Israel kuwa taifa teule maana huyo kristo anakuja kwa ajili ya mataifa atakaye wakusanya kondoo wake kutoka pande nne za dunia. Sasa wakristo wa leo bado wanadhani Israel ni taifa teule hata baada ya kuja kristo wakati yakobo mwenyewe ambaye ndiye Israel anasema wazi kuwa " hata atakapo kuja mwenye milki ambaye mataifa (siyo taifa)ni mataifa yatamtii hapo pia tunaona yakobo akisema huyo ajae ni mkuu kiasi gani maana anamwita MWENYE MILKI ** JE NINANI WENYE MILKI ZAIDI YA MUNGU ULIMWENGUNI ? HAPO YAKOBO KAONYESHA KUWA HUYO KRISTO ANAYE KUJA NI MUNGU.

Katika hayo maneno ya Yakobo tunapata majibu yafuatayo
1) Kristo ni nani ? Ni mungu au la !
2)je Israel bado ni taifa la Mungu au la !
3)Je yesu ni kwa ajili ya taifa la Israel au ni kwa ajili ya mataifa!
Haya majibu yote yapo kwenye hayo maneno ya YAKOBO MWENYEWE
 
Kwa sababu nimekuona ni mbisha acha sasa nikufungie kazi maana unaleta ubishi usio na akili ...sasa nakupa kazi ili nikujibu ....
1)unajua jina Israel lilitoka wapi na nani aliye pewa ilo jina nitajie ni nani ?
2)ukisha nitajia ilo jina weka hapa wosia wa huyo mtu kabla ajafa maana kuna wosia aliutoa kabla ya kufa kwake ucopy na kuuweka hapa kisha nitakuja kukuonyesha haya ninayo sema kutoka katika kinywa cha huyo mwenye jina la Israel mwenyewe. Fanya hivyo haraka soma mwanzo 49 _10 utajua yesu ni nani na alikuja kwa Israel tu au mataifa

Wewe utakuwa umenywesha mvinyo nyingi na mchungaji wako

hiyo Mwanzo 49:10 Unajuwa hata inavyosema ??

Nakuwekea kwa kiengereza na kiswahili

The staff shall not depart from Judah, nor a lawgiver from between his feet until Shiloh arrives, and his will be an assembly of nations.” – Genesis 49:10
Fimbo haitaondoka kwa Yuda, wala mtoa sheria katikati ya miguu yake, hata atakapokuja Shilo, naye atakuwa kusanyiko la mataifa.” — Mwanzo 49:10

Hapo kuna Yesu wapi ??
 
Yakobo ambaye ndiyo Israel anasema
👉 Fimbo ya enzi haitaondoka katika yuda, wala mfanya sheria kati ya miguu yake, Hata hatakapo kuja yeye mwenye milki, ambaye mataifa watamtii..

Sasa hapa unajua yakobo alikuwa anasema nini kuhusu Israel kuwa taifa teule ? Maana yake ni kuwa atakapo kuja kristo ndiyo mwisho wa Israel kuwa taifa teule maana huyo kristo anakuja kwa ajili ya mataifa atakaye wakusanya kondoo wake kutoka pande nne za dunia. Sasa wakristo wa leo bado wanadhani Israel ni taifa teule hata baada ya kuja kristo wakati yakobo mwenyewe ambaye ndiye Israel anasema wazi kuwa " hata atakapo kuja mwenye milki ambaye mataifa (siyo taifa)ni mataifa yatamtii hapo pia tunaona yakobo akisema huyo ajae ni mkuu kiasi gani maana anamwita MWENYE MILKI ** JE NINANI WENYE MILKI ZAIDI YA MUNGU ULIMWENGUNI ? HAPO YAKOBO KAONYESHA KUWA HUYO KRISTO ANAYE KUJA NI MUNGU.

Katika hayo maneno ya Yakobo tunapata majibu yafuatayo
1) Kristo ni nani ? Ni mungu au la !
2)je Israel bado ni taifa la Mungu au la !
3)Je yesu ni kwa ajili ya taifa la Israel au ni kwa ajili ya mataifa!
Haya majibu yote yapo kwenye hayo maneno ya YAKOBO MWENYEWE

Sasa ni lazima tujiulize je Yesu alitoka kabila la Yuda?

Ikiwa Yesu hakuwa na baba wa kibinadamu - kama Wakristo wanavyodai, basi jibu ni wazi - hapana.

Mapokeo ya Sura ya mwisho ya kitabu cha Hesabu huonyesha waziwazi kwamba ukoo wa kabila hufuata baba.

Ikiwa baba ya Yesu hakuwa wa kabila la Yuda, basi Yesu hakuwa wa kabila la Yuda.

Ikiwa Yesu hakuwa wa kabila la Yuda, basi aya hii yenyewe inatuambia kwamba hakuwa Masihi.

Zaidi ya hayo, ni lazima ikubaliwe kwamba muda mrefu kabla ya Yesu kuwasili, kabila la Yuda lilikuwa limeacha kutoa viongozi wa kisiasa.

Kwa kifo cha Mfalme Sedekia, (karne tano kabla ya kuzaliwa kwa Yesu) fimbo ya kisiasa ya uongozi iliondoka kutoka kwa kabila la Yuda.
 
Kwa sababu nimekuona ni mbisha acha sasa nikufungie kazi maana unaleta ubishi usio na akili ...sasa nakupa kazi ili nikujibu ....
1)unajua jina Israel lilitoka wapi na nani aliye pewa ilo jina nitajie ni nani ?
2)ukisha nitajia ilo jina weka hapa wosia wa huyo mtu kabla ajafa maana kuna wosia aliutoa kabla ya kufa kwake ucopy na kuuweka hapa kisha nitakuja kukuonyesha haya ninayo sema kutoka katika kinywa cha huyo mwenye jina la Israel mwenyewe. Fanya hivyo haraka soma mwanzo 49 _10 utajua yesu ni nani na alikuja kwa Israel tu au mataifa

Problem: The word “Shiloh” is often understood to be a reference to Jesus Christ as the coming Messiah.

The word appears in a phrase which is part of the prophetic pronouncements of Jacob upon his son Judah.

The NT does not make any reference to this prophecy as being fulfilled in Christ, nor to the name Shiloh.
 
Sasa ni lazima tujiulize je Yesu alitoka kabila la Yuda?

Ikiwa Yesu hakuwa na baba wa kibinadamu - kama Wakristo wanavyodai, basi jibu ni wazi - hapana.

Mapokeo ya Sura ya mwisho ya kitabu cha Hesabu huonyesha waziwazi kwamba ukoo wa kabila hufuata baba.

Ikiwa baba ya Yesu hakuwa wa kabila la Yuda, basi Yesu hakuwa wa kabila la Yuda.

Ikiwa Yesu hakuwa wa kabila la Yuda, basi aya hii yenyewe inatuambia kwamba hakuwa Masihi.

Zaidi ya hayo, ni lazima ikubaliwe kwamba muda mrefu kabla ya Yesu kuwasili, kabila la Yuda lilikuwa limeacha kutoa viongozi wa kisiasa.

Kwa kifo cha Mfalme Sedekia, (karne tano kabla ya kuzaliwa kwa Yesu) fimbo ya kisiasa ya uongozi iliondoka kutoka kwa kabila la Yuda.
Tumia akili amesema mpaka hapo atakapo kuja mwenye milki akusema habari ya kabila la mwenye milki...yaani mambo ya Israeli na makabila mwisho wake ni kuja kwa yesu..yaani utukufu wa Israeli kama nchi ya makabila 12 mwisho wake ni kuja huyo mwenye milki....wewe nimekuona unataka tu ubishi usio na logic
 
Back
Top Bottom