Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

So kuna Mzee wa Siku pia Yupo??
Sasa Kama Yule Aliye Mfano wa Mwanadamu Atakalia Kiti Mzee wa Siku yeye atakuwa wapi??
Mzee wa siku sindiyo huyo aliye mfano wa mwanadamu 🙄 mzee wa siku ni nafsi ya Mungu iliyo ndani ya mwili wa huyo mwanadamu ..maana yake mungu katika mwili wa binadamu yaani kristo
 
Mzee wa siku sindiyo huyo aliye mfano wa mwanadamu 🙄 mzee wa siku ni nafsi ya Mungu iliyo ndani ya mwili wa huyo mwanadamu ..maana yake mungu katika mwili wa binadamu yaani kristo
Mzee wa Siku sio Yesu mzee..
Mzee wa Siku Ni Mungu nenda Kasome vizuri biblia yako...
Yesu yupo Mkono wa Kuume wa Mzee wa Siku
 
Mzee wa Siku sio Yesu mzee..
Mzee wa Siku Ni Mungu nenda Kasome vizuri biblia yako...
Yesu yupo Mkono wa Kuume wa Mzee wa Siku
Yesu ni 👉 MWILI WA BINADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU ...hiyo nafsi ya Mungu ndiyo huyo mzee na huyo aliye mfano wa mwanadamu ndiyo MWILI)..tumia akili utaelewa kinacho semwa ...maana ya hayo maneno ni haya
1)mmoja aketiye mfano wa mwanadamu
2)mungu ndani ya mwili wa mwanadamu (kristo)
3)neno alitwaa mwili
Hivyo huyo mzee wa siku ndiyo mungu ...tatizo lako umeshindwa kuelewa swali la (mfano wa mwanadamu ) maana yake siyo binadamu ila anaonekana au ana fanana na mwanadamu ..je ni nani ? Ndiyo huyo mzee wa siku ....yaani mungu katika umbo la mwanadamu
 
Kristo maana Yake sio Mungu ndani ya Mwili wa Binadamu...
Kristo maana Yake ni Mpakwa Mafuta..
Au kwa Lugha ya Kiebrania Mashiach yaani Masihi..

Kuna masihi wengi walipita kabla ya Kuja kwa Yesu..unataka Kusema nao pia Ni MUNGU??
Wewe akili zako ni ndogo kiduchu ...kasome 👉naye neno akatwaa mwili ...kasome 👉 ataitwa mungu pamoja nasi pia kasome ni mfalme na ufalme wake siyo wa dunia hii .. kasome niye atakaye wahukumu watu na dhambi zao ..kasome amesema amwonaye yeye amemwona baba ...wewe ni mtupu kichwani
 
Wewe akili zako ni ndogo kiduchu ...kasome 👉naye neno akatwaa mwili ...kasome 👉 ataitwa mungu pamoja nasi pia kasome ni mfalme na ufalme wake siyo wa dunia hii .. kasome niye atakaye wahukumu watu na dhambi zao ..kasone amesema amwonaye yeye amemwona baba ...wewe ni mtupu kichwani
Ungekuja Kwa nia ya Kutaka Mjadala tungejadiliana ila umekuja kwa Kshfa na matusi nahisi Mjadala huu Haunifai
 
Yaani usome maandiko Kisha uyaache na kutumia fikra zisizotokana na maandiko🤔
IMG_8818.jpeg
 
Kristo maana Yake sio Mungu ndani ya Mwili wa Binadamu...
Kristo maana Yake ni Mpakwa Mafuta..
Au kwa Lugha ya Kiebrania Mashiach yaani Masihi..

Kuna masihi wengi walipita kabla ya Kuja kwa Yesu..unataka Kusema nao pia Ni MUNGU??

Nyota ya Utimilifu wa Miundo na Mageuzi​

Tanzania ni nchi iliyofanyiziwa kusudi la ‘Kujiwazia UTU’ bora ilivyo ni ‘Kuielekea Mashariki ya Sovereini Jumuifu’. Kwa mintarafu ya hili, Jaala ya Tanzania iko na ‘watu’ na ‘mioyo ya watu’ kama ‘Mbegu haradali’ ya ‘Mti Mkubwa Hasa’, mti wa kutoweza kudhaniwa kupata kutokea kwenye mbegu ndogo ndogo hasa --mti wa Utamaduni na Ustawi wa Kimanyota; na basi, kheri ya Tanzania si hasa Utabiri wa/kwa ‘Nchi Fizikia’ ama/na ‘Utu wa Kibinadamu 1.0’. Tena basi yawa, Utanzania ni ‘ingilio tu’ la ‘Shughuli Pana’ ya Uanadamu na Matukio.

Wakati mmoja, mbele kiwakati, watu wa kusudi hili takatifu, wakifaulu mapana fulani ya kheri basi wataazimia taifa lao lenyekupata kuwa kitovu cha mageuzi makuu ya utamaduni na usivilai lichukue jina jipya—Nchi ya Watu Wakwanzania!

Safari yoyote huanza na hatua moja, na basi kuianza nia ya Utaifa--Taifa lililo na Mwangaza, Uhodari na Bidii ya kujifumua na kujifuma upya kunahitaji tu wale ‘Wateule’ wakumbuke, kujikumbuka na ili wapate Kukumbukwa. Kwa mintarafu ya hili, ikumbukwe vema, Tanzania ni Mwanzo wa Kuzaliwa kwa taifa jingine kubwa na lililo Jumuifu—Taifa la ‘Umoja wa Mataifa Afrika! Tanzania ya kesho ni ‘jimbo la Wakwanzania’ Afrika…


Nchi nyingi za Afrika huwa na Bendera zenye kuhusisha ‘Nyota’; kiuono na ufikirifu mifumo nyota ni ualama wa muktadha akilifu wa Utimilifu wa Miundo ya Mageuzi. Kwa mintarafu ya hili, Yantra Dhamma kwa mfano ni yenye Maduara yapatayo matano (5) ya muktadha akilifu kwa ‘mapenzi mema’--manne(4) ni ya ‘Dhamma’ na moja(1) ni la ‘UTUKUFU wa SURA ZOTE’ na utimilifu. Basi ndiyo yawa, ‘Nyota’ ni alama ya fahari ya UTU kutokea ‘Mbinguni’ – Bahari ya Yote. Kiufundi, duara la UTUKUFU wa SURA ZOTE ni kitovu cha mageuzi yote ‘pumzi za uzima na uweza wa kimiili’--asili ya ‘Eitha’. Ontolojia vya vitu vyote, na basi matukio yote ‘huanza’ na ‘kuishia’ na ‘Eitha’--’Maji ya Mbinguni’; mwanzo wa vitu vyote kuumbika kwa sura na mfano wa Kile Kilicho ni Khasa ni ‘Uimajinishi wa Yote’ katika ‘UuMoja’; mambo ya jinesesia.

Yantra Dhamma, muakisiko wa fahari ya UTU bora kutokea kwenye kitovu cha ‘Maji yafanyayo Uzima wa Mbingu na Nchi’—na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Kwa mintarafu ya hili, Nyota ni alama ya utimilifu wa (1) Nchi, (2) Mbingu, (3) Upepo, (4) Moto, na (5) Eitha. Vitu vyote dhahiri, vyenye kuonekana na visivyoonekana vimeumbika kwa elementi tano ambazo hukadirisha ‘maduara’ na ‘vitovu’ vya maumbile/sura na Unishati—ilivyo ni asili ya supasha-wakati. Basi ndivyo yawa, Roho ya Uzima wote ni fumbo la Miundo na Mageuzi ya vyote na kila kitu katika hali ya kusitirika.

Mambo ya jinesesia, kiuono na ufikirifu mifumo, ndiyo ile asili khasa ya ‘matukio’; kuumba/kuhuluku vitu ama mambo ya udhahiri ni kujiwazia ‘NENO’ la Unasaba wa ‘Miili ya Uweza, Pumzi na Uzima’. Kwa mintarafu ya hili, kile ambacho leo hii kinafahamika kama DNA ni unasaba wa kujiwazia UTU/KIUMBE. Kwa jinsi ya ‘Mwanadamu’ ama ‘KIUMBE’ cha sura na ‘utukufu’ tofauti na ‘binadamu’.

Nyota, kiuono na ufikirifu mifumo, ni muktadha akilifu wa UTU kwa mashahibiano ya ‘viungo kadhaa katika mwili mmoja’--miguu, mikono na Kichwa. Basi, kujiwazia UTU kunaweza kutendeka kwa NENO mahsusi la mwili wa kibinadamu lakini pia upo uwezekano wa ‘kujiwazia UTU’ kwa miili ya ‘Nguvu’ na ‘Uzima mwingine wa Ukiumbe-mtu’. Tena basi ndivyo kuwa, yule afahamikaye kama ‘Yesu’ ni mmoja wa ‘Waja wema’ wa ‘Utimilifu wa Miundo na Mageuzi’ kupitia miili ya uweza.


Mambo ya jinesesia, kiuono na ufikirifu mifumo, ndiyo ile asili khasa ya ‘matukio’; kuumba/kuhuluku vitu ama mambo ya udhahiri ni kujiwazia ‘NENO’ la Unasaba wa ‘Miili ya Uweza, Pumzi na Uzima’. Kwa mintarafu ya hili, vyote vitatu (1) Maji Jinesesia, (2) Fikara, na (3) Unasaba ‘DNA’ vina asili ya ‘Mwangaza wa Utu’ na ‘Habari za kufumia dhahiri’ ya Mwili/Miili ya uweza—‘Mwanadamu wa Nchi’ ama/hata pia ‘Mwanadamu wa Mbingu’.

Basi ndiyo yawa, kuna mengi ambayo ulimwengu na walimwengu wa leo wanataabika ‘kwa kukosa maarifa’--’mwili wa nyama’ si ‘UTU’ wa mtu kwa kuwa hata mtu akikatika mguu, mikono ama hata kichwa ‘hafi’ bali mwili unaweza kufa ama kubakia hai kulingana na ukubwa ama udogo wa ‘uharibifu’. Siku za mbele, baada ya mafanikio ya kitekinolojia za kifizikia na metafizikia--hata mwili wote mzima wa mtu unaweza ‘kutibiwa’/’kuponywa’/’kufumwa upya’/’kuotosheshwa viungo’, ikibidi, kwa kuuweka huo mwili ulioharibika katika mtambo-tiba unaoigizia na nururisha NENO la Uzima wa Mwili, mambo ya tekinolojia za Sayansi ya Eitha. tena kulingana na ‘Ugani Habari’ wa kujiwazia UTU wa Mtibiwa—jambo-tiba litakaloweza kuwa linatumia muda mrefu ama mfupi wa ‘kulazwa’ japo ni uhakika kabisa wa tiba/kupona/kuponywa.

Kujiwazia UTU ni muktadha akilifu wa ‘Kujitambua/kuwa na fahamu/Kuwa na hisia’ ambavyo (1) ‘unasaba’ na (2) ‘nuru ya uzima/mefanusi ya utu’; vinaweza kufanya/kutenda ‘kawaida’ ya uweza wa miili ya nyama na hata ‘zaidi ya kawaida’ kulingana na ‘Uelewa Sahihi’ na ‘Uakilifu Sahihi’ na basi ‘Udhamirifu Sahihi’. Kwa mintarafu ya haya, milango ya fahamu, na hususani ‘Macho’ vinawezesha muktadha wa imani, fikara na matendo ya kawaida na yanayopitiliza kawaida iliyozoeleka kutokana na ukweli wa fikra na uimajinishi vinamkaribiano wa udhamirifu, jitihada na matendo. Jicho ni mlango wa nafsi-roho ya mtu, kadiri pia DNA ya mtu ni ufunguo wa kipekee wa kudra na kheri za miili ya nyama. Basi ndivyo yawa, hata kwa (1) akili na (2) uimajinishi, na (3) Udhamirifu wa kuweka nia ya usikivu/masikilizano, upo uwezekano wa mtu (1) ‘kupata fahamu’ kutoka ‘mbali ya upeo wa kawaida wa miili—kisupasha ama hata pia wakati’ na (2) ‘kutuma fikra/wazo/mawazo’ hata ‘mbali ya upeo wa kawaida wa miili—kisupasha ama hata pia wakati’, na (3) kupanga ama kupangua ‘matukio’ kwa ‘Sala na Ushawishi’ wa hata mambo yaliyo ‘mbali ya upeo wa kawaida wa miili—kisupasha ama hata pia wakati’.

Mabadiliko makubwa ya kitaasisi na Utamaduni barani Afrika yanakuja kutokana na uelewa, Uakilifu na Jitihada sahihi katika kudhamiria, kutenda na kuuishi usahihi wa mambo. Kwa Mintarafu ya haya, ELIMU 1.0, ELIMU 2.0 na ELIMU 3.0 vinahusika; Elimu 1.0 ni maarifa na ujuzi ujao na fahamu na mafikara ya juu ya mambo; Elimu 2.0 ni Uono na Ufikirifu Mifumo wenye kujinasibu mapana ama hata kina cha mafikara na tafsiri za mambo; na Elimu 3.0 ni ‘Ilimu ilivyo ni metafizikia ya Elimu’.

Elimu 3.0 ni ‘Ilimu ilivyo ni metafizikia ya Elimu’; ndiyo ugani wa maarifa na maarifu ya mambo—‘kujua kwa kawaida’ na ‘kujua kwa jinsi ya rohoni’ kwa alama, miongozo ama hisia/ujuaji usiyo wa moja kwa moja wa jambo/mambo. Ni kwa mintarafu ya haya, uono na ufikirifu mifumo unajipambanua hata kwa ujuzi wa lugha za binadamu ama hata ‘Malaika’. Basi ndiyo yawa, Ujenzi wa Nyumba, uendeshaji wa chombo na Ubaharia ni mambo yanayoweza kunasibika ‘Uganga/Ukuhani’ kwa ajili ya ‘Upatanisho’ wa mambo ya ‘Mbingu’ na ‘Nchi’; ama sivyo ‘maarifa ya kibinadamu, Elimu 1.0, hukadirisha ukomo wa mbinu, hadhi na hali za udhibiti wa sura na mienendo ya jamii kwa manufaa ya wachache katika upendeleo—upendeleo wa kimifumo ujao na ‘kuwa katika kujua’ kwa unahodha wa chombo.

‘Mwezi na Nyota’ na pia ‘Msalaba’ ndizo alama ufunguo kwa metafanusi ya ‘Ontolojia ya Taasisi’ yoyote kwa kuwa alama hizi mbili zinakutanisha muktadha wa ‘maarifa ya kibinadamu na malaika’. Kwa mintarafu ya haya, (1) Mwezi na Nyota ni asili ya Duara na Nukta—Mtanuko na Msinyao wa vitu vyote katika ‘ukuwa’ ama ‘ukuja kuwa’; na (2) Msalaba ni asili ya KUBU na Mageuzi. Basi muktadha wowote wa kujichagulia ni aidha mtanuko ama msinyao wa ‘Pumzi ya Uzima wa Miili’. KUBU ni kitovu cha upitilizi wa mtanuko na msinyao katika metafanusi ya ulimwengu dhahiri—mambo ya ‘Kumbukumbu la Miongozo’ na pia ‘Kumbukumbu ya Utaasisi’. Basi ndiyo yawa, katika ‘ILIMU’ kumbukumbu ni Shughuli ya ‘Malaika’--kuhakikisha yale yote ya ‘Kujiwazia UTU’ yanahifadhiwa msimamo wake na utukufu wake ‘Milele hata Milele’.

Kwenye Yantra Dhamma, ‘Mwezi na Nyota’ hujitokeza katika bega la kulia ya MRABA wa DHAMMA na Msalaba hutokea katika bega la kushoto. Kwa mintarafu ya hivi, UHURU na AMANI katika ALMASI YA NISHANI YA UTU BORA, kupitia ‘Muongozo Mbingu’ wa ‘LIBERTI’ ndiyo huzindika mapana ya ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’--muktadha akilifu wa topografu ya ‘Mwenge wa Uhuru katika kilele cha Mlima Kilimanjaro’. Basi ndiyo yawa, kila bega la MRABA wa DHAMMA lina pembetatu, za udhamirifu-jitihada-matendo, zilizositirika zipatazo sita (6); hizi ndizo zinazojitokeza katika ALMASI YA NISHANI YA UTU BORA kwa idadi ya nne(4) kila upande. Mkasi wa MRABA ALMASI na MRABA DHAMMA una pembetatu zipatazo arobaini (40); hizi hukadirisha unje ndani wa ‘Dodekahedroni’--kuingia na kutoka kwa udhahiri ‘maji-jinesesia-Eitha’.

Maumbo ya uyabisi Platofu, kiufundi, ni ile asili khasa ya ‘Duara’ na ‘Nukta’ kuegamisha ‘miundo’ na ‘mageuzi’; zipo yabisi Platofu zipatazo tano(5) tu na ndiyo ‘ile Tano’ ijayo na pembetano za ‘Nyota ya UTU’. Kwa mintarafu ya hili, ALMASI YA NISHANI YA UTU BORA ina pembetatu, za udhamirifu-jitihada-matendo, zilizositirika zipatazo kumi na mbili (12), tatu kila upande ilivyo ni katikati ya zile nyeupe. Hii ni idadi ya ‘Watakatifu wa Kuhudumu patakatifu pa patakatifu’ katika baraza la KUBU ya NISHANI YA UTU BORA kwa vielelezo vya ‘Malaika’ wa ‘Utume na Utumishi’ wa dhamira za kujiwazia UTU. hizi hukadirisha unje ndani wa ‘Oktahedroni’--kuingia na kutoka kwa udhahiri ‘Upepo-Eitha’.

Kwenye Yantra Dhamma, ‘Duara na Nukta’ ni ile asili hasa ya ‘Zabibu 13 za Kristu’ katika vesika paisisi ya ‘Duara Mapenzi’ la Magharibi. Kwa mintarafu ya hivi, utonali wa hisia na kujisikia katika UTU ni fanusi ya ‘Kristu kama Mpanzi’. Basi ndivyo yawa, duara zipatazo 13 zimejikusanya kukadirisha mpangilio alama ya ‘Nyota ya Daudi’, zikiwa na rangi rangi saba(7), kama ilivyo kwenye upinde wa mvua. Rangi saba ndizo zile khasa zinazofanya kanuni ya ‘Oktavi ya Muziki’, pia rangi za vitovu saba vya ‘pumzi’ kwa mhimili wa misokotano ya nyoka wawili wa utangamano wa kilogarithimu.

Katika Trizaniamu, alama ya ‘Kujisikia’ ndiyo alama pekee isiyokuwa na ‘mistari’ na hali maduara yote yanakadirisha vitovu vyenye uhusiano wa ‘mistari-uunganishi minyoofu’ na tena ‘duara la utukufu’. Hili ndilo ile asili khasa ya ‘Duara na Nukta’ ya ‘Utukufu wote’. Namba 13 ni namba ya Miundo na Mageuzi kwa ‘fanusi Malaika’. Kwa ‘Zabibu 13 za Kristu’ na tena ‘Tunda la Uzima’, maisha na uisho ni mawezekano kwa kudra za ‘Uenye Enzi’. Basi ndiyo yawa, Tunda la Uzima, ni duara zipatazo kumi na tatu (13 ) zenye kuweza kukamilisha uhifadhi wa yabisi Platofu zote tano (5) na pia nasibu ya uwezekano wa ‘Rizati ya Mageuzi ya Kisura/Miundo’ kwa MKIA-KUBU ndani ya fanusi METATRONI.

Kwa mengi yatokanayo na Yantra Dhamma na Trizaniamu, Afrika na Waafrika, wanao ufunguo wa miongozo kwa kheri na nafaka—kutia wepesi ‘Safari ya Kujitafuta’ katika mtu mmoja mmoja.

Ufunguo wa Miongozo kwa kheri na fanaka pia ni kwa watu wote Duniani, 2024 na kusonga, ili wapate ‘Uono Fasaha’ wa tathmini ama uyakinifu wa mambo na tena kwa ajili ya ustawi na ulinzi wa mifumo ya maisha—maisha katika nasibu ya mageuzi makuu ya miundo, utendaji na kujichagulia.

Katika haya, Tanzania ni ‘Nchi ya Ahadi’, si kwa kuwa fulani kasema hivi ama vile; bali ni kwa kuwa ule ufunguo kwa ajili ya ‘Nuru ya Ufahamu’ ni ‘Mwanzo wa Kutoka’ (Kutoka ni mageuzi ya kimuundo na utendaji jamii), tena kwa hiyari na Tumaini-Jema. Watu wa Tanzania, na tena watu wa Afrika wanao Uhuru wa Kujichagulia Jaala yao—ikiwa tu wanao upeo wa kuona ilivyobora: ‘mambo yenye kubana’ ,’mikingamo’ na basi kubaini ‘fursa iliyopo humo humo kwenye hayo mawili’ katika kuyakinisha mustakali wa maisha yao wao wenyewe.

Kiufundi, habari za kutegemea ‘Masiha’ kwa ajili ya ‘Ukombozi’ ama vipi imekuwa ni ujuzi na utundu wa kutekana fahamu kwa ajili ya ‘Tumaini’ na ‘Faraja’, labda mambo ya uongo na kweli--jambo hili ‘limepitwa na wakati’; katika zama hizi za maarifa kuongezeka na maendeleo makubwa ya tekinolojia ya habari na mawasiliano ‘Mwenge wa Uhuru’ unasafirishwa kwa habari fasaha na ufundi wa kubayanisha ‘fikra’ ama/na ‘alama’ za mashikizo ya jamii na utamaduni—kila mtu ‘atajibeba mwenyewe’; ikiwa atadanganyika ama kurubunika na ‘mifumo’ kwa kule kufikiri ‘Taasisi fulani’ itamkomboa hali yake kutoka kwenye uduni basi huyo ‘Anaula wa Chuya’ kwa kujipendea yeye mwenyewe.

Mwenge wa Uhuru, ni ukumbusho wa raia, na tena basi wanajamii wote kufanyabidii kwa ajili ya kuimulikia mwangaza bora miundo yote ya utendaji kwa taasisi zao kwa kadiri vile vile ya wao wenyewe kutimiza wajibu wa kujimulikia nafsi zao kupitia usafi wa moyo na ‘Nuru ya Ufahamu’ iliyomo ndani ya viumbe vyote vyenye usentienti, konsayansi na ujifahamu.

Mwenge wa Uhuru, ni ukumbusho wa raia, na tena basi wanajamii wote kufanyabidii kwa ajili ya kuvimulikia mwangaza bora dhamira, jitihada na matendo yao katika jamii na taasisi—taasisi zinazofanya uzima wa mwili wa taifa na matendo yake katika nyakati za maisha. Moto wa mwenge ni alama ya ‘utakaso’ na ‘kuboresha hadhi/daraja la utu’; kundanisha upokeaji wa mwenge wa uhuru ni kushiriki kusudi la jamii moja yenye udugu, haki na amani kwa kuwa kusudi lenye kheri ni nishani ya utu bora.

Mwenge wa Uhuru, ni ukumbusho wa raia, na tena basi wanajamii wote kufanyabidii kwa ajili ya ‘kujitafuta’ mapana yaliyositirika ya ‘Kujiwazia Utu’ na ‘Uisho’. Asiye na dhamiri thabiti ya ‘kujitafuta’ daima ni mtumwa wa pepo za mazingira na nyakati--mifumo. Moto ni alama ya ‘agano’ na kile chenye kumuondoa mtu utumwani, ‘Nyumba ya Misri’/Matriksi—Moto, Nuru halisi ya UTU kutokea katika ‘Uzabibu 13’ za ‘Wazo UTU liliko Kuu’; ufaraguaji wa kaida ya ukumbusho wa ‘Uwepo’.

Basi kule Amerika ukumbusho wa dhamira, jitihada na matendo kwa ajili ya utu bora, matatu yajayo na ‘Kujiwazia UTU bora’, ndiyo yamefanyiwa sanaa ya ‘Sanamu la Liberti’, pale karibu na bandari ya New York. Nchi ya Tanzania imetaasishwa kuwa ‘nchi ya kimbilio’, kiroho, kwa ajili ya shughuli ya ‘Uhuru wa Afrika’--Amani na Mapenzi mema Duniani kama vile Amerika ilikuwa ni kimbilio kwa ajili ya ‘nchi ya waliohuru’. Kwa Tanzania, mageuzi ya kimuundo jamii na wanajamii wenyewe ndiyo walengwa kuwa vinara wa Tumaini na Mapenzi mema—yenye kupaswa kushirikishia watu wote duniani.

Kheri ya kundanisha ukweli wa ‘Mwenge wa Uhuru’ katika jamii yetu utakadirisha ‘UTU-Binadamu MPYA’; Uafrika 1.0, Uafrika 2.0 na Uafrika 3.0. Uafrika 1.0 ndiyo huu tulioanza nao ambavyo tumechukulia mapambano dhidi ya ‘nguvu za kudidimiza’ heshima ya utu barani Afrika ni ‘jitihada za mtu Mweusi’ dhidi ya watu wa mataifa mengine Duniani—wasioyokuwa ‘Weusi’.

Uafrika 2.0 ndiyo ‘Shughuli’ ya ‘wadau’ waliodhamiria na wanaodhamiria Afrika yenye Utu-binadamu bora pasipo kujali vigezo vya ‘rangi ya ngozi’--Mwalimu Nyerere na Washirika walioasisi taifa la Tanzania walilenga hili khasa katika kutaasisi nchi-taifa/Dola—nchi changa yenye mseto wa watu wa makabila na rangi mbalimbali. Hili ni muhimu sana kwa ‘Watanzania’ kulifahamu, mambo ya nyakati na hali ilivyo kwa wakati hubidi namna ya mageuzi na taasisi ziwe ‘zinajiongeza’ kwa kusonga mbele na si kurudi nyuma.

Maendeleo yanayofanya Dunia kuwa kijiji yametutaka na kutubidi, sisi watu wa nchi ya Tanzania na hata Afrika yote kwa ujumla, tujifakari na ‘kujitafuta upya’--jambo lenye kuwezekana kwa Elimu 3.0. Wakati mmoja siku si nyingi, kufika 2036, Dunia itakuwa na ‘Uthibitisho’ na ‘Ujuzi’ wa kutambua mambo ya UTU na Kujiwazia UTU kunakopelekea mtu kuzaliwa huku ama kule akiwa labda ‘Mtu Mweusi’/’Mtu Mweupe’/Mtu wa Bluu ama Mtu wa ‘Namna Ingine’ kungine nje ya sayari yetu ya Dunina. Hili linakuja kwa Rizayati ya Elimu 3.0 na ‘Tekinolojia za Kutekenya vishikizo vya Fahamu za Mwili na Akili’. Kwa hivyo, Elimu 2.0 kwa wanajamii wote ni muhimu sana kwa kipindi hichi cha mpito kuelekea ‘Mafunuo zaidi’ ya ukweli wa mambo na muktadha uliositirika wa ‘Uzima wa Miili’.

Tanzania imekuwa na watu ‘Wateule’ wachache walioitengeneza njia na misingi ya ‘mageuzi/mapinduzi’ ya mifumo inatawala ‘Dunia ya Leo’ na hali, KWA SASA 2024, tupo kwenye kipindi cha ‘Lala Salama’, siku za mwisho za mifumo inayovuna ujinga na upoyoyo wa umma ambao haujazinduka. Basi ndiyo amani ya dunia inalega lega na kupitia changamoto nyingi kwa kuwa ‘vita na machafuko huku na kule’ ni koroga koroga na kukorogana kwa ‘wahuni’ katika jamii – jamii zilizo kwenye ‘mazingira hatarishi’ ama hata pia ‘zilizoendelea’; mambo ya ‘vipakazio’ vya kuepa mielekeo ya midololo wa kiuchumi na mifumo/siasa mbovu za tawala.

Tanzania Mpya na basi ‘Afrika Mpya’, Afrika 2.0, haiwezi kujitenga na madhila ya upepo mbovu wa kiuchumi, tawala na amani Duniani. Kusudi la kujihami na mambo haya, kwa Tanzania, lilitaasishwa kwa shughuli ya siasa za Chama cha Watu, Chama cha Wananchi—Chama cha Mapinduzi.

Haya yatukumbushe ukweli wa dhahabu, Afrika 2.0—Afrika Mpya, ni ushindi wa wanadamu wa sura na rangi zote. Mwalimu Kambarage Nyerere, alipodhihiri tamko la Chama cha Mapinduzi kuhusu dhamira na mwongozo kwa ajili ya kushirikiana ili kuleta ‘Haki na Amani’ Duniani, nia yake ilikuwa moja na ‘Roho ya Ushindi’:

Kazi ya Chama Cha Mapinduzi ni kuwaongoza Watanzania washirikiane na Waafrika wenzao kuleta uhuru na umoja katika Afrika nzima. Kazi ya Chama Cha Mapinduzi ni kuwaongoza Watanzania washirikiane na binadamu wenzao kuleta haki na amani duniani; Chama Cha Mapinduzi ni Chama cha watu; Chama Cha Mapinduzi kitaongoza kutoka miongoni mwa watu na kitaongoza kikiwa ni sehemu ya Watanzania maana wananchi ndio waliokiunda Chama Cha Mapinduzi kiwe chombo chao na kiongozi wao”

Mwenge wa Uhuru, ni shughuli ya kuchochea ‘Utaamuliko Jamii’ kwa ajili ya Afrika na Dunia Mpya—kupitia ‘UTU Mpya’; Mwanzo wa ‘Jua la Maarifu’.

====


View: https://www.youtube.com/watch?v=Po2R9IbJCAE

====
 
I wish hao walioandika hizo njozi za hao watu kwenye vitabu tunavyosoma leo ..wangeliweka kila kitu wazi na straight ....tusingekuwa na tofauti hizo

Pic 1.jpg

Utaamuliko Jamii: Karata ya ‘Dume la Shupaza’​

ilivyo ni Ufunguo wa ‘Mapiku’​

UTU na UFUNUO ni mambo ya mfano wa ndege Tausimoto na tena habari za watu wa 'kabila Ndege'--Wafanyambawa... Kutoka uchina ndiyo tunaweza kupata seti moja ya mfano kwa ajili ya 'muktadha wa vina vya tafsiri' kwa muktadha akilifu wa uono na ufikirifu mifumo kuhusiana na mafumbo ya imani ya utu--utu na 'kode moto' za Joka/Dragoni katika ulimwengu wa 'Kujichagulia'.

Yantra dhamma, chombo cha Dhamma, ni ukadinali wa jamii katika 'Sovereini Jumuifu'. Kile ambacho ulimwengu wa kileo, fikra za karne ya 19 na 20 juu ya 'Ujamaa ama/na Usoshalisti' vimekuwa ni mbegu ya jambo lenyewe hasa--'Utaamuliko Jamii' utokanao na misingi ya UHURU, UDUGU, HAKI na AMANI.

Hapa Tanzania, jitihada zimefanyika, zinafanyika na zitaendelea kufanyika ili kutimiliza mageuzi kamili ya kijamii kwa ajili ya jamii yenye sifa, hadhi na daraja/utukufu wa 'Sovereini Jumuifu'. Dhamma ni uisho wa maisha kwa msingi ya mafundisho ya Siddhartha ‘Buddha’ Gautama—mtu mkuu aliyepata kuishi duniani takriban miaka 2600 iliyopita.

Mafundisho ya Buddha yana asili ya ‘Gurudumu’ na ‘Mraba’--viwili vya ‘Uisho wa UTU’; Funguo za ‘Nuru ya Ufahamu’ kupitia AKILI, UTAMBUZI na FAHAMU; ambavyo Buddha alitaamulika kuyafahamu ya Ulimwengu wote Mzima na basi kutengeneza msingi wa ‘Miongozo’ ya ‘Utaamuliko’ kwa wengine wote wenye kutafuta ‘WONGOFU’ kupitiliza mafumbo ya Uzima na Miili na Ufahamu. Miongozo hii ndiyo inayofanya asili ya ‘Gurudumu Dhamma’ na ‘Njia ya Buddha’—Dhammapada.
====

View: https://www.youtube.com/watch?v=alnY2sy9_fk
====​

Gari la UTU: ‘Safari ya Kiutamaduni’​


‘Gurudumu’ na ‘Mraba’, karne hii ya 21 ndiyo mapelekeo hasa ya ‘Yantra Dhamma’ na ‘Trizaniamu’. Kiufundi, katika Gurudumu la Dhamma kuna shauri la ‘Utatu’ wa (1) dhahiri, (2) fikra/matendo/nia katika ‘Imani Moja’ na (3) Mifumo—Mambo ya kujihifadhi/kukimbilia katika ‘Hazina’ ya vito thamani vitatu vya Ubuddha—Buddha, Dhamma na Sangha. Ulimwengu wa leo, haya ndiyo asili ya ‘Ontolojia ya Taasisi’ ambavyo ‘Muundo, Kujisikia na Ushawishi’ ndiyo kiini cha UTU na KUJICHAGULIA. Mraba, ni jambo la kielelezo cha ‘Muundo’ ambavyo ‘Miongozo’ ni nguzo ya imani kwa ajili ya fizikia na metafizikia ya jambo/mambo…

Buddha, katika Utaamuliko, alikadirisha ‘kode za utambuzi’ kuhusiana na maisha ya mtu katika ‘mapana ya wakati’--mapana ya wakati ni mapana ya supasha hapo hapo. Hili ndilo msingi wa Buddha na mafundisho ya ‘Kweli Nne za Tunu’; na basi hizi katika karne hii ya 21 ndiyo tunazungumza asili ya maisha ya mwanadamu kuwa ni ‘Mraba ndani ya Duara’--Yantra Dhamma ni ufunguo wa rizayati ya Elimu 3.0 ambavyo ‘Unje-Ndani’ wa ‘Kweli Nne za Tunu’ ndiyo (1) Dhukka, (2) Samudaya, (3) Nirodha na (4) Marga katika kupinduliwa ki-picha ya tafsiri.

Buddha, katika Utaamuliko, alikadirisha ‘kode za utambuzi’ kuhusiana na ‘maisha ya mtu’ kwa ‘Duara na Kitovu/nukta’ cha muktadha wa kadiri ya ‘uono na ufikirifu mifumo’ ilivyo ni mashauri ya ‘Samsara’ na ‘Maya’. Kwa mintarafu ya haya mawili, (1) fahamu, (2) uono na (3) vina vya tafsiri kuhusiana na yote, yaliyodhahiri katika fahamu za kimwili na hata yale yanayopitiliza fahamu tano za mtu, ni ‘maruweruwe-Maya’ katika bahari ya ‘uzima wa miili’. Basi yawa, Samsara ni hatma za UTU ufanyikao na ‘miili katika uzima’.

Buddha, katika Utaamuliko, alikadirisha ‘kode za utambuzi’ ambavyo usifa-akili hu-tatu-sha mapana ya (1) mtenda, (2) kitendo na (3) jambo. Kwa mintarafu ya hili, uono na ufikirifu mifumo ndiyo intelijensia ya yote—mambo ya dhahiri na isivyodhahiri ya ‘tukio’. Hili lafanya meza ya ustawi wa jamii, kiufundi, ni mraba wa ‘Wakati-Jamii-Machaguo ya Kitaasisi-Matukio’. Ili kuweza kumudu fasaha ya uono na ufikirifu mifumo, ndiyo hubidi ‘mwanakisomo’ awe ni mtu wa ‘vipassana’, Basi ndivyo alama ya ‘UONO’ katika TRIZANIAMU ni mfano wa gurudumu la dhamma – gurudumu la dhamma pasi ‘duara’--midenge minane

Midenge minane, kiufundi, ni ‘misalaba miwili’ yenye kushiriki kitovu kimoja—asili ya Nuru ya Ufahamu kuakisika katika ‘Miundo’…

Samsara na Maya, katika Trizaniamu, ndiyo asili ya ‘Jicho Mashoto la Horasi’ kuwa ndani ya miduara miwili—wa ndani na nje katika mahusiano ya fizikia na metafizikia ya mambo; tena basi kufanya ‘ukadinali/msalaba’ wenye kutengenisha UNNE wa (1) SUPASHA, (2) WAKATI, (3) MAADA na (4) NISHATI; akitipu ya ‘miundo na miongozo’ ya vyote. Kwa mintarafu ya haya, kisomo cha fizikia na metafizikia ya yote katika Ulimwengu, yaliyo dhahiri na yasiyo dhahiri, ni uwezekano kupitia ‘Uono na Ufikirifu Mifumo’.

Samsara na Maya, katika Trizaniamu, ndiyo asili ya ‘Jicho Mashoto la Horasi’ kuwa ndani ya miduara miwili ambavyo ‘Uzima wa Miili’ yote ni ‘Muziki’ wa ala za ‘Sauti za Kiufahamu’. Kwa mintarafu ya hili, asili hasa ya ‘WAKATI’ ni duara/tufe—vivyo hivyo SUPASHA. Hivyo basi ‘Matukio’, kiufundi, ni ‘Ala’ na ‘Muziki’ katika ‘Intrigi za Ufahamu’ wenye kufanyika ‘Dhahiri’. Tena yawa, ‘Miundo yote’ huja na ‘Mifumo’ ya ‘Utonali wa Hisia’ kukadirisha uakilifu wa KUJISIKIA katika UTU.

Samsara na Maya, katika Trizaniamu, ndiyo asili ya ‘Jicho Mashoto la Horasi’ kuwa ndani ya miduara miwili ndiyo asili ya KUBU ya matriksi zote katika Ulimwengu dhahiri na usiyodhahiri kwa fahamu za ‘miili ya uzima’--katika mapana/vina visivyokuwa na mwisho vya ‘Uhuru wa Roho ya Uzima’ wote. Kwa mintarafu ya hili, ‘matukio’ na ‘Jinesesia’ ni ‘Ontolojia ya Taasisi’ kwa ‘asili-dhahiri’ ya mifumo ya (1) Mwangaza/Nuru, (2) UPEPO, (3) MAJI na (4) NCHI/ARDHI/MBINGU YA CHINI…​
====

Kutokea 13 na 33 ya Safari:​

Kumbukumbu la ‘Miongozo’

Ukadinali wa Nuru, Upepo, Maji na Nchi ndiyo asili ya ‘Sanaa’ na ‘Alama za Kiutamaduni’ kwa mataifa ya watu Duniani na Taasisi za ‘UAHADI’/’MAAGANO’-- ‘Dola’ na ‘Unchi/Taifa-Dola’. Mintarafu ya shauri/mashauri ya haya ndiyo karne hii ya 21 yanajitokeza kama ujumuifu wa (1) Msalaba wa matanuko yasiyo ukomo, (2) ‘Mwezi Mchanga’ na ‘Nyota’, (3) Mboni ya ‘Ajna’ na (4) Swastika ya ‘Mageuzi ya Utukufu’. Ujumuifu wa alama za ‘Intrigi za Ufahamu ndiyo ufunguo wa ‘Miongozo’ ya ‘Upana na Urefu, na kimo na kina’ kwa ajili ya ‘Utaamuliko Jamii’.

Afrika Mashariki ndipo mahala panapofanyika patakatifu kwa ajili ya ‘utaamuliko Jamii’ na ‘mbegu ya utaamuliko Jamii’. Kwa mintarafu ya hili, jamii yoyote kisomoni, watu wake ndiyo wenye kufanya ‘Sura na Mienendo’ ya ‘Uweza, Nguvu na Utukufu’ wa UTU wake jumuifu. Kiufundi, ‘idadi ya watu’ kufungamana na ‘hisia, ujuaji na kujisikia’ ndiyo hukadirisha ‘Mapana ya Jamii’ yenye Sura, Hadhi na Daraja la Ubora wa ‘Mwangaza’ wa ‘Uweza, Nguvu na Utukufu’. Kwa hivyo misingi ya Maendeleo ya Utu ni fumbo la imani juu ya mustakabli wa Kiroho, Maadili na Miiko.

Kwa Tanzania, kwa mfano, fumbo la imani kwa mustakabli wa Jamii kumbaizi ya ‘Taifa la Watanzania’ ina dhamira za (1) UHURU, (2) UDUGU, (3) HAKI na (4) AMANI. Tunu hizi nne za Utaifa zina mahusiano ya moja kwa moja na ‘Kweli Nne za Tunu’ za Buddha. Mintarafu ya hili, (1) ‘UHURU na AMANI’ ni mambo ya ‘Mbingu’ na hali (2) ‘UDUGU na HAKI’ ni mambo ya ‘Nchi’. Na basi, (3) ‘SURA ya NCHI na TAWALA’ na (4) ‘HAMASA ya UJAMII’ ni mambo ya ‘MKONO wa KUSHOTO na MKONO wa KULIA wa ‘UWEZA, NGUVU na UTUKUFU’ – Uweza, Nguvu na Utukufu katika fizikia na metafizikia ya ‘UTU na UZALENDO’.
====

View: https://www.youtube.com/watch?v=X74JArLOCJE
====​


Uskani wa Safari:​

Studio ‘Utaamuliko Jamii’ na ‘Maendeleo’

Utu na Uzalendo una mitihani ya ‘maisha’ na ‘kuishi’… Mambo ya (1) Dhukka, (2) Samudaya, (3) Nirodha, na (3) Marga.

Buddha alifundisha habari za ‘Dhukka’ ilivyo ni utostabali katika kupata/kuotea usahihi wa ‘vina vya tafsiri’ juu ya dhumuni ama/na madhumuni ya kuishi, kutafuta na kupata—kubabaishwa na ukosefu wa ‘vitovu’ vya kubayanisha utimilifu wa ‘fikra na hisia’ zijazo na ‘miili ya nyama’ kwa ajili ya kuweza kubaini ‘hatma’ ya/za mahangaiko yasiyo na ukomo katika (1) Dhamira, (2) Vina vya Uono na Utafsiri wa Mambo -- katika mafikara/mawazo, na (3) Harakati/Pilika za ‘Utaasisi’ na ‘Ontolojia ya Taasisi’ na ‘Mifumo’—‘Mambo ya Nyakati’. Kwa mintarafu ya mashauri haya, Samsara na Maya, inaponza wote wenye (1) Usentienti/Kujisikia, (2) Udhamirifu wa Jema/zuri ama/na Ovu/baya, na (3) Nuru ya Ufahamu kupitia ‘Uzoefu wa Maisha’ kwa ‘Gurudumu la Bahati ama/na Mikosi’. Maisha ni ‘Tega Nikutege’ ya Nia na Dhamira katika ‘Mawazo na Matendo’ ya UTU, kuzaa ‘Mwiba’ wa maumivu, raha na karaha ya ‘Uisho’.

Buddha alifundisha habari za ‘Samudaya’ ilivyo ni Hamu ya Maisha inayomsababisha mtu kutwaa mwili kwa ajili ya ‘matamanio’ ya kuishi na kustawi kulingana na ‘Kujijenga kwa Wazo-Utu’--‘Mhimili wa Nia’ kwa ajili ‘Kuwa’ ama/na ‘Kuja Kuwa’. Kwa mintarifu ya hili, ‘utwaaji mwili’ ni jambo lenye asili ya kupitiliza ‘kuzaliwa na kufa’ kwa kuwa ‘fikara la wajiwazia utu’ ni mbegu ya ‘Miili ya Uzima’ zaidi katika ‘Supasha-Wakati’. Kwa hivyo ‘Mhimili wa Nia’ ndiyo ‘nguzo ya imani’ ambavyo ‘Shika Neno, Tenda Neno’ ndiyo utaratibu (1) kuishi, (2) kujidhihirisha na (3) kukuwa/kuja kuwa ‘mtu hivi’ ama ‘mtu vile’.

‘Matamanio’ na ‘wakati’ na ‘Matukio’ ndiyo asili na msingi wa jiometria ya utendekavyo (1) maamuzi, (2) kuchagua, na basi (3) ‘Kujichagulia’. Hivyo basi, ngozi ya meza ya ustawi wa mtu ama jamii inawambwa kwa mapana na marefu ya ‘wakati—jamii/mwanajamii--machaguo ya kitaasisi--matukio’. Kumbukumbu Utaasisi ni muktadha wa KUBU/Matriksi ilivyo ni mahusiano ya ‘miundo’ na ‘Mifumo’ ya Maisha kuweza kuathiri jiometria ya utendekavyo maamuzi, kuchagua na basi ‘Kujichagulia’ kwa wema ama ubaya -- wakati mmoja hata mwingine; fikara lolote kwa asili ni ‘Kumbukumbu/Matriksi’, matriksi ndiyo utawala wa kimafikara unaoweza kudumisha ‘fikara la kujiwazia utu’ katika ‘Isho’ moja hata jingine kwenye Supasha-wakati. Isho moja na hata mengine ndiyo muktadha wa kuja na kwenda kwa ‘miili ya uweza’...

Buddha alifundisha habari za ‘Nirodha’ ilivyo ni ‘Nishani ya/kwa UTU BORA’ katika kujichagulia ‘nia sahihi’ --Nia Sahihi katika ‘Uweza’ kwa ajili ya kupitiliza mitihani ya maisha na uisho kwa misingi ya ‘Uono na Ufahamu’. Kwa mintarafu ya haya, ili kumalizana na mitihani ya maisha na uisho kubidi kuzingatia ‘muenendo wenye kujikana nafsi’ katika UTU; kwa kuwa nafsi ndiyo muambata wa ‘Dhukka’. Basi ndivyo, ufunguo wa nuru ya ufahamu katika njia ya Buddha ni ‘Gurudumu la Midenge Minane’; ambavyo Dhammapada ni ‘Uisho’ wenye dhamira ya matatu katika moja—Vito Thamani VITATU vya UTU BORA.

Kwenye Nembo ya Taifa ya Tanzania, kwa mfano, Nishani ya/kwa UTU BORA inakuja kwa alama-jadi ya ‘Mkuki wa Jaaala’.

Kiufundi, ‘ukatikati wa mkuki wa Jaaala’ ni uakilifu wa mizania ya ‘mambo ya mkono wa kushoto’ na ‘mambo ya mkono wa kulia’ wenye kushinda ‘mapambano yote ya vile vyenye kuleta uhasimu ama mikangamo’ – uhasimu na mikingamo katika uwepo wa mtu/UTU katika maisha. Njia ya Buddha ni Usahihi wa Katikati ya yote, kokote na mote. Kwa mintarafu ya haya, kwenye Yantra Dhamma, asili ya (1) UONO, (2) mizunguruko: SURA NA MIENENDO YA JAMII; huja na alama za (3) ‘MBONI AJNA’ na ‘SWASTIKA’ katika (4) ‘MIONGOZO’ ili kukatidirisha (5) VINA-MAREFU-MAPANA-KIMO ya ‘Kitovu’ cha ‘Nishani ya/kwa UTU BORA’.

Kiufundi, Kitovu cha ‘Nishani ya/kwa UTU BORA’ ndicho khasa kile ‘kitovu OX’ cha ‘Kujitambua’ katika fremu kazi ya Uono na ufikirifu Mifumo—Trizaniamu. Kwa mintarafu ya hili, Trizaniamu ni ufraktali ya ‘pembetatu zipatazo tano(5)’ na si nne(4) kama inavyoweza kuonekana kwa juu juu. Basi ndivyo pembe tatu ya tano ni UTATUSHO wa nukta tatu: OX-OY-OZ – mapelekeo ya (1) Wakati, (2) Kumbukumbu-Uzoefu, na (3) Jaala. Tena basi, haya matatu ndiyo hukadirisha matatu yaliyo ni (1) JAALA ilivyo ni mambo ya kuja na kwenda kwa ‘miili ya uweza na kutenda’, (2) MATUKIO ilivyo ni ‘Mambo ya Nyakati’, na (3) KUMBUKUMBU-UZOEFU ilivyo ni Mafikara ya Kujiwazia UTU katika ‘supasha-wakati’.

Kiufundi, ‘Nishani ya/kwa UTU BORA’ ni ALMASI ya DHAMMA; ambavyo ‘Nyota ya Daudi’ ni muingiliano wa Mambo ya Mbingu na Nchi ili kufanya utimilifu wa ‘Uweza, Nguvu na Utukufu’ kwa MAPANA-MAREFU-KIMO-KINA ya KUWA ama/na KUJA KUWA. Kwa mintarafu ya hili, TRIZANIA ni muktadha akilifu wa (1) MTENDA, (2) KITENDO na (3) FAHARI YA DHAHIRI/DHAMIRI YA KUJICHAGULIA. Basi ndivyo yaja kuwa UTU na UZALENDO ni ‘fumbo la Imani’ katika ‘Mchakato wa Mageuzi’ yasiyo na mwanzo wala mwisho ya (1) UTU, (2) UZIMA WA MILELE na (3) MADHAHIRIKO.​
====

Kitovu cha ‘Dira ya Maendeleo’​

katika nasibu ya ‘Utaamuliko Jamii’

Mchakato wa Mageuzi ndiyo mambo ya ‘KUTOKA’ na ‘SALA’--Mambo ya Kuuchukua Msalaba wako mwenyewe hadi ‘GOLGOTHA’. Kwa mintarafu ya muktadha akilifu wa namna hii, ‘Ishara ya Msalaba’ ni fumbo la imani kwa (1) JICHO LA UPAJI—Kitovu cha ‘Mbingu ya Sita’ ya utukufu wote wa UTU: Mambo ya ‘MBONI AJNA’ kuelekea UTUKUFU WOTE wa MBINGU, (2) MOYO—Mambo ya Kujitoa katika UTUMISHI kwa ajili ya ‘MAPENZI MEMA’ kuelekea/kujielekezea kwenye ‘Mapana ya Nchi yote’, na (3) Mkono wa kulia na kushoto/Upande wa Kulia na Kushoto wa ‘Mbawa za Dhamira’ ya Kustawi Juu na Chini ili ‘kuzijaza mbingu na nchi’ kwa Utukufu wa Roho ya Uzima wote…

VIPASSANA ni SALA; ambavyo ‘Hekima’ hufanyika katika UTU… Hekima ni Uweza wa kupambanua mambo ya fahari ya mbingu na nchi katika jicho la akili na uakilifu na tena katika muktadha wa ugani wa Moyo Mkuu wa kusikia na Kujisikia. SALA ni jambo lenye asili ya matatu (1) Kuwa kimya kiakili na fahamu ili ‘kusikiliza ya Moyo’ katika usafi wa dhamiri na mapenzi mema, (2) Kudhamiria Usahihi wa katikati katika nia, matendo na huduma ya UTU na Mapenzi mema, na (3) Kuwa na kiasi katika yote kwa kutambua uhitaji wako na wa wengine wote wenye kushiriki uzima, kusudi na haki ya maisha na kuishi.

Uzima, kusudi na haki ya maisha na kuishi. katika fremukazi ya Uono na Ufikirifu Mifumo, Trizaniamu, ndiyo hukadirisha ‘Sovereini Jumuifu’. Kwa mintarafu ya muktadha akilifu wa hayo yote, midenge minane ya gurudumu la Dhamma yajakufanyika ‘mapana ya nguvu ya pumzi ya uzima’ yapatayo kumi na mawili (12). Basi ndivyo kwamba, KUBU ina asili ya Mapana-Marefu-Kima-Kina yapatayo kumi na mawili (12); Dhahiri ni fumbo la ‘Pumzi’ ambavyo kitovu cha Yantra Dhamma huwakilisha ‘unje-Ndani’ wa yote na kila kitu—Mhimili wa 13 wa ‘Mchakato wa Mageuzi’ ulio ndiyo asili hasa ya ‘KUTOKA’ na ‘SALA’ katika ‘Mti wa Uzima’--Metafo ya ‘Boddhi’, mti aegemeao Buddha katika Utaamuliko wake, kwenye Bustani ya Mbawala.

Mhimili wa 13 wa ‘Mchakato wa Mageuzi’ ulio ndiyo asili hasa ya ‘KUTOKA’ na ‘SALA’ ilivyo ni asili ya hadhi/daraja la uweza wa ‘Upepo wa Mageuzi’, Yabisi Platonifu ya Oktahedrani—Unje ndani wa KUBU na hali mageuzi kamili, ni ‘Ukwantumu wa Nuru ya Ufahamu’ katika ‘maji ya Uzima’ wote. Kwa mintarafu ya haya, ‘Platonifu Oktahedroni’ ina uwiliwili na ‘Plaotinifu KUBU’, na ‘Platonifu Ikosahedrani’ ina uwiliwili na ‘platonifu Dodekahedrani’; Platonifu Tetrahedrani ina uwili uwili na namna yake tena yenyewe katika muakisikiko maingiliano. Basi ndivyo yawa, Tetrahedrani, katika ‘mapana na marefu-2D’ ya vina vya tafsiri ya uonekano, hukaidirisha picha sura ya ‘Nyota ya Daudi’.

‘Nyota ya Daudi’ ndiyo asili ya Mbingu na Nchi katika ‘Upatanisho’; Muktadha akilifu wa ‘Uzima wa Yote’ ni fumbo la imani la ‘Tetrahedrani’ ya ‘Uweza, Nguvu na Utukufu’--uweza, nguvu na utukufu wa ‘Nuru ya Ufahamu’.

Tetrahedrani katika KUBU ndiyo asili ya ‘Midenge Minane’ ya ‘Gurudumu Dhamma’ kupitia Oktahedrani ya ‘Upepo wa Mageuzi’. Tetrahedrani ni ‘Moto’ wa ‘Dhamiri, Utendaji na Utukufu’ ;kwa hivyo hakuna mabadiliko/mageuzi pasipo ‘Moto’.

Dhamiri na Utendaji ndivyo asili ya ‘uweza na nguvu’ katika ‘nafsi’ ama ‘Kujiwazia nafsi/UTU’.

Tetrahedrani ndiyo ‘Jua la Maarifa’ kwa ajili ya Ku-JUA na kuto-KU-JUA katika ‘Pia ya UTU’--Ukonifu wa Dhahiri ya UTU kuwa ‘Nafsi’ katika ‘Madhahirisho’.

Ku-JUA na kuto-KU-JUA katika ‘Pia ya UTU’ ndiyo hasa asili ya ‘Dhukka’--utostabali wa ‘Uono kamili/Sahihi wa Mambo’ katika maisha. Ndivyo basi, dhukka hutafsirika kama ‘tabu/masumbuko/raha na karaha’ ya gurudumu linalotembea ‘kweche kweche’ kwa huwa kitovu chake hakijakadirika ukati kati hasa wa ‘Stamina’ na ‘Stabali’ wa kumudu kulibeba gari la ‘safari ya fahari za Maisha’ na ‘Kuishi’.
====

View: https://www.youtube.com/watch?v=ijuYCVMQuVw
====​
 
Viumbe vyote vinaongea,

Vyote uvionavyo vinaongea,

Punda aliongea vizuri kabisa, hata mawe yanaweza kuongea pia.

Adamu aliongea na viumbe vyote, vya kimwili na kiroho.
Kwa mawazo haya Taifa hili halina watu. Limejaa mazuzu twende kazi tu.
 
Vitabu gani hivyo mzee na unaweza thibitishaje ni vya kale kuliko Biblia?

Hivi ni kwanini unatushinikiza nasi tupinge uwepo wa Mungu? Kama we unapinga ni uhuru wako acha sisi tunaoamini, tuendelee kuamini. Kwani wewe unapungukiwa nini sisi wengine tukiamini uwepo wa Mungu?
Nyie watu wa dini ndiyo mnaoshinikiza tukubali uwepo wa mungu. Kama nyie mnaona ni sawa kuthani ni kweli mtu mzima anaweza danganywa na nyoka au mtu kumezwa na kutemwa na samaki it's okay.

Shida yenu mnaumia sana kuona mtu anareason concepts zenu, kibaya zaidi hata majibu ya kueleweka hamna.

Kati ya nyie mnaofunga masipika na kutupigia makelele tukiwa tumepumzika na sie ambao tumekausha tu nani anayemshinikiza mwenzie au anaeumia na maamuzi ya mwenzie?

Na shukuruni tupo kwenye taifa lisilojali ustaarabu. Hayo makelele inabidi yazuiwe.
 
Salaam, shalom!!

( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4)

Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.

Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu.

Ni nani huyo?

Je Mungu ana mfano wa mtu/mwanadamu?

Karibuni 🙏

Reference: (Isaiah 6:1-10), (Genesis 1:26-28.). (Ufunuo 1:13-14), ( Daniel 7:9,13,14), (Matendo 9:4).

Waislamu hatuamini kwamba mwanadamu ameumbwa kwa sura ya asili ya Mungu.

Mungu haonekani kama wanadamu au kuwa na mapungufu ya asili ya ubinadamu.

Yeye hana mikono na miguu kama sisi, wala Yeye si wa nyama na damu

Hoja ya Wakristo ni kufuru kwa mujibu wa Uislamu.

Uislamu unafundisha kwamba Mungu alipulizia roho yake ndani ya wanadamu wote, lakini sisi hatujaumbwa kwa sura yake, wala hatushiriki mfano wake.

“Mtanifananisha na nani, au kunihesabu kuwa sawa na nani? Mtanifananisha na nani ili tulinganishwe? ( Isaya 46:5, NIV )

Mtanifananisha na nani, na kunifananisha na nani, ili tufanane? (Isaya 46:5, KJV)

Maana ni nani mbinguni awezaye kulinganishwa na BWANA? ni nani miongoni mwa wana wa Mungu awezaye kufananishwa na BWANA? ( Zaburi 89:6 )

Mstari wa Mwanzo uliongezwa na wapagani ambao waliamini kuwa walikuwa "mfano" wa mungu wao.

Kitabu cha Mwanzo kilitungwa upya na Ezra, ambaye alifanya masahihisho ya Biblia baada ya utumwa wa Babeli.

Vitabu hivyo viliharibiwa na majeshi ya Mfalme Nebukadneza.

Ezra alirudi Yerusalemu mwaka wa 458 K.W.K. baada ya kuandika tena Torati kutoka kwa kumbukumbu, mabadiliko kadhaa yalifanywa.

Vitabu vya Agano la Kale vinawakilisha uteuzi wa urithi wa fasihi wa Waisraeli ambao uliandikwa, kunakiliwa, kutafsiriwa, kurekebishwa, na kuongezwa polepole kama nyenzo za kisheria au za apokrifa, wakati wa karne kadhaa baada ya kuondoka kwa Musa (amani iwe juu yake).

Marekebisho na masahihisho ya Biblia bado yanaendelea hadi leo kwa kujitegemea na madhehebu tofauti ya Kikristo.
 
Yesu ni 👉 MWILI WA BINADAMU WENYE NAFSI YA MUNGU ...hiyo nafsi ya Mungu ndiyo huyo mzee na huyo aliye mfano wa mwanadamu ndiyo MWILI)..tumia akili utaelewa kinacho semwa ...maana ya hayo maneno ni haya
1)mmoja aketiye mfano wa mwanadamu
2)mungu ndani ya mwili wa mwanadamu (kristo)
3)neno alitwaa mwili
Hivyo huyo mzee wa siku ndiyo mungu ...tatizo lako umeshindwa kuelewa swali la (mfano wa mwanadamu ) maana yake siyo binadamu ila anaonekana au ana fanana na mwanadamu ..je ni nani ? Ndiyo huyo mzee wa siku ....yaani mungu katika umbo la mwanadamu

Hiyo imo kwenye Injili ya Lwiva kitabu kipi ??
 
Back
Top Bottom