Wewe jinsi unavyonijua humu kwa pazia hii nadhani unaweza kung'amua yupi anafaa kusimama na mimi.Inaweza kuwa visa versa though, ila acha nifanye hiyo kazi
Sasa wewe nitonye ulikuwa unamuwaza nani halafu mm ndo nitamalizia
Teh
Uwiiii mtihani huuu, ngoja niingie chimbo then nitakupa mrejesho kesho, vizur hutafutwa pole pole.Wewe jinsi unavyonijua humu kwa pazia hii nadhani unaweza kung'amua yupi anafaa kusimama na mimi.
Kumbuka vazi zuri likinipendeza watu ndio watajua kama nimependeza au la kuliko mimi kujua.
Lindo linawangoja ww na jje'sSawa haina shida
Utaufaulu wala usijali, kikubwa ni kuweka nia.Uwiiii mtihani huuu, ngoja niingie chimbo then nitakupa mrejesho kesho, vizur hutafutwa pole pole.
Byeee
Nina uzuru hadi Ijumaa ndio nitakuja.Lindo linawangoja ww na jje's
Uzuru gani mbona me sijui?Nina uzuru hadi Ijumaa ndio nitakuja.
Fikisha salamu kemkem kwa popoz na bundiz wote
Hamna mtu anayejua ni mimi tu labda na jje's nimemwambia hapa sasa hivi ila sijamwambia ni uzuru wa namna ganiUzuru gani mbona me sijui?
Yaani ex zangu Arushaone, Remote, Chimbuvu, Chilli, TANMO, kiplagati26, walinitesa sana.
Na tangu Ben Saanane wangu apotee, nimebaki mpweke mpaka nilipompata MO11, nikajua atanipoza machungu....kumbe kaja kuniongezea zaidi.
I wish angekuwepo Ben wangu, ningekuwa dunia mpya muda huu.
Nitammiss sana mpenzi wangu was moyoni Ben
Daaah aiseee naami umr si kigezo sana coz weng tuliopo humu hatupishan sana al in al wote vijana
Ha haha vipi ishakutokea nini?Mapenzi ya JF magumu sana,unamtongoza mtu anakubali unakula tunda,kesho anakuja na ID mpya ya kwanza anaacha,halafu anaanza kukuchokoza kwa id mpya kujipitisha pitisha,
Ukimtongoza tu atajifanya anakubali halafu sasa anakuja tena na ile ya zamani kama anakujulia hali vile.
Mapenzi bila unafki hayaendi
Hell no! It was just a joke!Ha haha vipi ishakutokea nini?
Afu usiadimike hivoHell no! It was just a joke!
Nimerudi bebe wangu, sikubali uteseke teeena!Yaani ex zangu Arushaone, Remote, Chimbuvu, Chilli, TANMO, kiplagati26, walinitesa sana.
Na tangu Ben Saanane wangu apotee, nimebaki mpweke mpaka nilipompata MO11, nikajua atanipoza machungu....kumbe kaja kuniongezea zaidi.
I wish angekuwepo Ben wangu, ningekuwa dunia mpya muda huu.
Nitammiss sana mpenzi wangu was moyoni Ben