Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Inaweza kuwa visa versa though, ila acha nifanye hiyo kazi
Sasa wewe nitonye ulikuwa unamuwaza nani halafu mm ndo nitamalizia
Teh
Wewe jinsi unavyonijua humu kwa pazia hii nadhani unaweza kung'amua yupi anafaa kusimama na mimi.

Kumbuka vazi zuri likinipendeza watu ndio watajua kama nimependeza au la kuliko mimi kujua.
 
Wewe jinsi unavyonijua humu kwa pazia hii nadhani unaweza kung'amua yupi anafaa kusimama na mimi.

Kumbuka vazi zuri likinipendeza watu ndio watajua kama nimependeza au la kuliko mimi kujua.
Uwiiii mtihani huuu, ngoja niingie chimbo then nitakupa mrejesho kesho, vizur hutafutwa pole pole.
Byeee
 
Uwiiii mtihani huuu, ngoja niingie chimbo then nitakupa mrejesho kesho, vizur hutafutwa pole pole.
Byeee
Utaufaulu wala usijali, kikubwa ni kuweka nia.

Kila la kheri!!
 
Mapenzi ya JF magumu sana,unamtongoza mtu anakubali unakula tunda,kesho anakuja na ID mpya ya kwanza anaacha,halafu anaanza kukuchokoza kwa id mpya kujipitisha pitisha,

Ukimtongoza tu atajifanya anakubali halafu sasa anakuja tena na ile ya zamani kama anakujulia hali vile.

Mapenzi bila unafki hayaendi
Ha haha vipi ishakutokea nini?
 
Back
Top Bottom