Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali tena ili kumwonyesha kua unatafuta tiba ..anza kabisa kumwambia **kuna mwanamme nataka nimlishe limbwata ale ashibe maana ananjaaa ,,jina Putin , namba yasimu ile ile ya kwenye kale kabajaji**
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hadi nimepaliwa Jf raha sana aisewMapenzi ya JF magumu sana,unamtongoza mtu anakubali unakula tunda,kesho anakuja na ID mpya ya kwanza anaacha,halafu anaanza kukuchokoza kwa id mpya kujipitisha pitisha,
Ukimtongoza tu atajifanya anakubali halafu sasa anakuja tena na ile ya zamani kama anakujulia hali vile.
Mapenzi bila unafki hayaendi
hahahahhahaha duuuuh haya bhanaUsijali tena ili kumwonyesha kua unatafuta tiba ..anza kabisa kumwambia **kuna mwanamme nataka nimlishe limbwata ake ashibe maana ananjaaa ,,jina Putin , namba yasimu ile ile ya kwenye kale kabajaji**
Kunywaaa sodaaaaInapendeza sana...
Ukiwa mkweli na mwenye mapenzi ya kweli na una maanisha kua nae huyo atakayekukubalia mtadumu sana...
Ila kama unataka waku show off na kuchat chat kama hivyo unavyosema mwenyewe...
Utapotea.. na utasikitisha sana...
Cc: mahondaw
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] my Mr hana neno ananipenda mm peke yangu ya zaman ameshayafuta hana shida nayo.
Utapanda bajaji yangu au unaogopa kufanyiwa upasuaji wa nyonga ??hahahahhahaha duuuuh haya bhana
kwani hani muni umeshamaliza? mbona uko huku?Kunywaaa sodaaaa
hahahahahahhaah ya zamani yepi Demi jamani,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] my Mr hana neno ananipenda mm peke yangu ya zaman ameshayafuta hana shida nayo.
hahahahahah mie napenda gari bhana, rejea uzi wangu mkuuUtapanda bajaji yangu au unaogopa kufanyiwa upasuaji wa nyonga ??
[emoji3][emoji3][emoji3]hahahahahah haya mapenzi ya mtandaoni ni shida kwa kweli. uaminifu unatakiwa kwa asilimia kubwa tu
halafu kama wewe ni Me akijipitisha same KE mwambie kwetu tuliambiwa tusithubutu kutowasaidia wanawake na hapo atakoma kukuchokoza.
teh teh
Napunga upepo njeee namsubir Mr atoke so naperuz na kudadisskwani hani muni umeshamaliza? mbona uko huku?
teh teh
Hayo ya kwenye avatar yakohehehe weeee mawani yapi
haaaa acha utani bhana mkuu, ndo nimekuwa putin mara hii? asante kwa kunibali jinsiaSawa Putin 🙂🙂🙂
Ujumbeee umefika akija nitamwambiaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahhaah ya zamani yepi Demi jamani,
mimi naomba tu uaguzi ujue na mimi nafurahi akikupenda peke yako
Babuuu Mkuu wetu yupo serious !!Kwani huyu jamaa alikuwa serious?! Sio mambo ya chit chat