Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

hahahahhaah huyu jamaa anaogopwa hata na mimi unahisi ni mchezo
mie kuripoti naanzaje? ndo maana nimeona mnyonge wangu ni mshana tu

teh teh

CC mshana jr
NB: mimi nahitaji uaguzi tu usije kusema navunja couple yako mkuu, kwanza Demiss is my best frendo siwezi hata thubutu
Usijali tena ili kumwonyesha kua unatafuta tiba ..anza kabisa kumwambia **kuna mwanamme nataka nimlishe limbwata ale ashibe maana ananjaaa ,,jina Putin , namba yasimu ile ile ya kwenye kale kabajaji**
 
Mapenzi ya JF magumu sana,unamtongoza mtu anakubali unakula tunda,kesho anakuja na ID mpya ya kwanza anaacha,halafu anaanza kukuchokoza kwa id mpya kujipitisha pitisha,

Ukimtongoza tu atajifanya anakubali halafu sasa anakuja tena na ile ya zamani kama anakujulia hali vile.

Mapenzi bila unafki hayaendi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hadi nimepaliwa Jf raha sana aisew
 
Inapendeza sana...

Ukiwa mkweli na mwenye mapenzi ya kweli na una maanisha kua nae huyo atakayekukubalia mtadumu sana...

Ila kama unataka waku show off na kuchat chat kama hivyo unavyosema mwenyewe...

Utapotea.. na utasikitisha sana...

Cc: mahondaw
Kunywaaa sodaaaa
 
Aiseeee........ naona Jf imebadilika kwa kasi ya ajabu kuliko mwendo wa treni ya mwendo kasi...... Yaani kapo zimekua ndio headlines zinazo tamalaki kwa kasi kila kukicha.....tehteehh..... all the best mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahahhaah huyu jamaa anaogopwa hata na mimi unahisi ni mchezo
mie kuripoti naanzaje? ndo maana nimeona mnyonge wangu ni mshana tu

teh teh

CC mshana jr
NB: mimi nahitaji uaguzi tu usije kusema navunja couple yako mkuu, kwanza Demiss is my best frendo siwezi hata thubutu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] my Mr hana neno ananipenda mm peke yangu ya zaman ameshayafuta hana shida nayo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] my Mr hana neno ananipenda mm peke yangu ya zaman ameshayafuta hana shida nayo.
hahahahahahhaah ya zamani yepi Demi jamani,

mimi naomba tu uaguzi ujue na mimi nafurahi akikupenda peke yako
 
hahahahahah haya mapenzi ya mtandaoni ni shida kwa kweli. uaminifu unatakiwa kwa asilimia kubwa tu
halafu kama wewe ni Me akijipitisha same KE mwambie kwetu tuliambiwa tusithubutu kutowasaidia wanawake na hapo atakoma kukuchokoza.

teh teh
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom