Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
 
Nyuma Ya Urusi yupo Mchina!
Chinabya sasa Ni Nomaaa zaidi ya Marekani na Nchi zote unazozijua…
Urusi ana Hasira. Na Target yake sio Ukraine ni Marekani.
 
Nyuma Ya Urusi yupo Mchina!
Chinabya sasa Ni Nomaaa zaidibYa Marekani na Nchi zote unazozijua…
Urusi ana Hasira,Na Target yake sio Ukraine ni Marekani.
Na hapa ndipo anapokosea. Marekani atachochea vitaa, atainadi Ukraine isaidiwe, atashinikiza Russia iwekewe vikwazo ila anaweza asipigane.

Kama anamtaka kweli mmarekani amtandike asisubiri sababu kutoka Marekani.
 
FB_IMG_16444321935017035.jpg
wabongo hawahawa wenye smartphon
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.
Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.
Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Unaposhabikia upumbavu unajitofauyishaje na wapumbavu?
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.
Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.
Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Umepatia kuwa vita haitafika miezi miwili, bali hata mwezi hauwezi fika maana Putin anachapa tu anapotaka kama vile nchi haina mwenyewe. Na hiyo ni kutokana na kuwa Ukraine hawana ubavu wa kusimama na Russia.

Kwa upande wa pili umekosea mno kudhani Putin atashindwa vita hii.

Btw: sibeti.
SmartSelect_20220224-194100_Chrome.jpg

Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.
Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.
Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Je unafahamu consequences ya hii vita unayoishabikia juu ya bara letu la giza?

Nakushauri hiyo laki 5, kama unamiliki 'kibabywoka' ungeisave kwa ajili ya 'wese'!
 
Back
Top Bottom