Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Umepatia kuwa vita haitafika miezi miwili, bali hata mwezi hauwezi fika maana Putin anachapa tu anapotaka kama vile nchi haina mwenyewe. Na hiyo ni kutokana na kuwa Ukraine hawana ubavu wa kusimama na Russia.

Kwa upande wa pili umekosea mno kudhani Putin atashindwa vita hii.

Btw: sibeti.
View attachment 2130044
Kila mtu duniani alikuwa Russia yupo superior kijeshi vita Putin imemshinda hajampata Zellensky.Zellensky juzi amemcheka Putin akamwambia Mimi Nipo hapa akamwonyesha mpaka Armani mtaa na nyumba mrusi hakuweza kum target kwa sababu hana kifaa hicho
 
marekani ilimpata saddam baada ya muda gani?
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Mtoa mada eti leo ni tarehe ngapi nakuuliza tu?
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Upo wapi kesho tukandikishane kabisa maana nafanya kazi ngumu wakati ela nyepesi ipo tu
 
Wanasubiri bombing likosee. Nina maana nchi za muungono wa NATO moja wapo ikiguswa tu basi Vita no 3 itakuwa imekamilika ndani ya ulimwengu.
 
Kwahiyo mchezo tunachezewa Waaafrika pekee au na Wazungu wanachezeana huu mchezo?
Yupo sahihi kwa nukuu ya Putin kuwa si vita bali operation ya kijeshi, ila kwa ulimwengu tunajua ni uhalifu wa kivita maana vifo ni vingi na mbaya zaidi kwa watoto,mwamama, wagojwa, n.k. Huo si mchezo wa kiuchumi Hilo nitatizo la ulimwengu wote
 
Juzi biden kampigia sim mwanamfalme saudia hajapojea sim yake eti we unasema ni pete na kidole, saiv anahaha kupatana na mataifa alikuwa ameyawekea vikwazo km venezuela na iran, lala usingizi wa pono dadaeee
Ulikuwepo au we ndo mke wa Biden
 
Back
Top Bottom