Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Watu wanapoteza maisha wakati wengine wanabetia na kuwekeana madau juu ya utabiri wao
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Nimegundua nchi zote zenye kelele kitisho chao kikubwa ni nyuklia ajabu hao wanaotishwa nao wana nyuklia yaani ni mkwara kama wa teja hivi kisa ana bisibisi na kisu mfukoni mwake.
 
Yoyote kutoka popote anayetaka aje kutusaidia hapo kuna majasusi wa nato kama wote lakini siyo kwa mwavuli wa nato
Na sidhani kama siku kumi zitaisha bila nuclear kama mambo yatazidi kuwa magumu kwa Putin
 
Hizo porojo haziwezi kusaidiwa chochote,
Kama NATO wanajiamini wapeleke vikosi kumsaidia UKRAINE.

Uwanja wa mapambano uko wazi, Putin keshasema atakayeingilia atakutana na kichapo.


Vinginevyo NATO wote waoga TU, hamna kitu mule.

Ndo maana hata hawataki kupokea Simu za Zelensky [emoji4]
NATO wameshaingia ukren na vikosi vyao tayari
 
FB_IMG_1646037365096.jpg
 
North Korea anavikwazo zaidi ya mwaka 60 Sasa, na Maisha bado yanasonga.

Na Hakuna kenge anaweza kuthubutu kurusha hata sindano kwenye ardhi ya north Korea.

Wanazijua vema akili za kiduku zilivyo fyatu, ukirusha risasi yeye anarusha nyuklia anakutekeza yanabaki majivu[emoji4]
Kuna nchi duniani inaizidi vikwazo Cuba???
 
Nchi gani za kiarabu???
Marekani na waarabu ni Pete na kidole
Juzi biden kampigia sim mwanamfalme saudia hajapojea sim yake eti we unasema ni pete na kidole, saiv anahaha kupatana na mataifa alikuwa ameyawekea vikwazo km venezuela na iran, lala usingizi wa pono dadaeee
 
Aljazeera,bbc,voa etc ni tofauti kubwa na tbc kama unataka kuijumlisha tbc na hayo madude jaribu
 
Urusi aongozr kipindi cha kwanza ukraine ashinde au asuluhu tia mzigo milion uhakika
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Your 100 percent right .Na Putin atapelekwa mahakamani ( war crimes ).Target yake alikuwa Zellensky Kwa hiyo mrusi hana kifaa cha ku target nyumba ya Zellensky matokeo yake Putin ameharibu ukraine .
 
Back
Top Bottom