Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Vita ya Georgia 2008 NATO walijichomeka upande wa GEORGIA akawagonga wote. Mwaka 2014 wakajipenyeza Kule Crimea akawachapa vilevile. Haiwezekani adui yako akawa anamjazia jirani yako misiraha mizitomizito afu wewe ubaki kuangalia tu kama boya Fulani.. URUSI siyo Venezuela, pia vilevile URUSI siyo Libya au Afghanistan. URUSI ukimnyooshea kidole anakikata
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Warus watashangaa hawa jamaa mbona wanarusha makombora ya hatar.. kumbe bwana mkubwa mmarekan anapenyeza yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
[emoji14]
 
Wewe mjinga sana naona hata hiyo Urusi na Ukraine hata huzijui hata kwenye map pia hujui
Dah bro sijui uko shamba gani.Pole sana.
 
au wewe ukiona mapicha ya vifaru na wanajeshi wameshika mitutu ndio unasema vita
we jamaa bana , watu wanakufa uko unaleta ujuaji kweli

ehee vita ndiyo inakuaje, wafe wangapi ndiyo iitwe vita
 
Watu mna porojo humu.
Mpka Putin anaingia vitan mnadhan hakujua kua atawekewa vikwazo?

Msela kajipanga hzo vikwazo alijua vitatokea.. sindo michezo ya USA na wenzake.

Huyu Jasus Putin hamna kitu hajui hesabu zake anazijua mwenyewe.
Hamna Kiongozi ambae hajafanya MAKOSA. Putin nae ni binadamu. Madikteta wengi walifanya makosa hayohayo ya kujiamini.
 
Bongo stress nyingi ndo maana kila kukicha watu wanabuni upumbavu na upumbavu unashabikiwa haswa.
Wapumbavu hawataki watu wasanuke wanataka waendelee kufanana ndio maana upumbavu unakuwa mwingi Tanzania
 
Kweli kabisa maana nguvu na jitihada inayotumika kushabikia upumbavu bongo ingekuwa inatumika kwenye mambo ya msingi hata viongozi wangeogopa kufanya madudu na upigaji lkn wanajipigia maadili haramu wakijua hakuna wa kuwafuatilia kisawa sawa na kuwapa hofi , wanajua raia wako bizee na ;

#Kubeti#SimbaNaYanga#Miziki#Connection

Kiasi cha kupumbazika kabisa ukiongezea umasikini na elimu duni
basi wana relax tu.
 
Vijana watanzania ambao ndio idadi kubwa ya watu waliomo Tanzania ukiwaamasisha wachukue hatua wanaanza kujipotosha wenyewe kabla hata ya adui hajaja, NGUVU kubwa wameweka kushabikia ujinga na kutegemea wanasiasa ambao wanawategemea wao wenyewe
 
Back
Top Bottom