Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Siku hizi huyu ametoa attention yake Europe ameelekeza huko Vietnam, Korea (vinchi vya Asian tiger) na china
Pia bajet ya vita amepunguza sana wananchi hawako tayari kuendelea kuona wanajeshi wao wanakufa kwa vita vya jirani
Hapo wanachokifanya wamerekani na washirika wake ni kuwasha Tv wakiangalia raia wa ukraine wanavyoumia na mabomu na risasi na raia wa russia watavyoumia na vikwazo.
 
Kweli kabisa
Aingie vitani kwa vita isiyomhusu aharibu pesa za walipa kodi uchaguzi ujao sanduku la Kura litaamua.
Yeye nenda ukaguse Taiwan na majirani zake utamuona vitani.
Huu mjadala wa yeye kupunguza bajeti za vita umejadiliwa sana kwenye debates za NATO hasa kwenye maswala ya security ya ulaya.
 
Dunia ya sasa ni akili ukitumia ubabe unapoteza. Nilitaka nishangae, hivi kweli NATO na USA waishambulie RUSSIA kisa Ukraine? Why? Wapate nn?
Nilivyomsikiliza bidden na boris nikajua hawatajibu mashambulizi na weshapata watakacho.

Sasa Puttin ana choice mbili amwite mdogo wake eukraine wakae chini wayajenge au aendelee kumtandika asifiwe na warussia wa jamii forum na china huku dunia Europe na USA ikimpa vikwazo.
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Vita hii ndio inaenda kuhitimisha mwisho wa enzi ya Putin.

Putin ameingia kwenye 18 za NATO,Israel na USA na walitafuta sana fursa hii,Putin kafanya kosa sana la kimkakati maana Putin hana record nzuri ya ustaarabu.

Putin ni mshirika wa makundi adui kwa Israel,amejichimbia kaburi la mwisho wake.
 
Dunia ya sasa ni akili ukitumia ubabe unapoteza. Nilitaka nishangae, hivi kweli NATO na USA waishambulie RUSSIA kisa Ukraine? Why? Wapate nn?
Nilivyomsikiliza bidden na boris nikajua hawatajibu mashambulizi na weshapata watakacho.

Sasa Puttin ana choice mbili amwite mdogo wake eukraine wakae chini wayajenge au aendelee kumtandika asifiwe na warussia wa jamii forum na china huku dunia Europe na USA ikimpa vikwazo.
Kama unafwatilia literature za uropean and global security ni muda sana tangu aanze kujitoa kwenye vita za hasara. Wenzake wa NATO hasa nchi za upande wa EU wanalalamika kwamba bajet ya US kwenye ulinzi na issue za NaTO imepungua na hii ni hatari kwa ulinzi wa ulaya na future ya NATO hasa kipindi hiki cha issue za ugaidi. Hata ile vita ya Syria (kama sijachanganya) US hakujichosha.
 
Kazi ipo
 
Dunia ya sasa ni akili ukitumia ubabe unapoteza. Nilitaka nishangae, hivi kweli NATO na USA waishambulie RUSSIA kisa Ukraine? Why? Wapate nn?
Nilivyomsikiliza bidden na boris nikajua hawatajibu mashambulizi na weshapata watakacho.

Sasa Puttin ana choice mbili amwite mdogo wake eukraine wakae chini wayajenge au aendelee kumtandika asifiwe na warussia wa jamii forum na china huku dunia Europe na USA ikimpa vikwazo.
Eti wa russia wa jamii forum
Hahahaha ngoja uchumi udororee
Kuna ki jimbo kinaitwa donetsky kanataka kujitenga na Ukraine anakatetea kaachiwe huru.... (ndo maana nchi za marekani na hao g7 wengine wanaona hana sababu ya msingi ya kuwavamia (hajachokozwa) ni kama vita ya kiuchokozi tu. pia kuna peninsula nimeisahau jina ambayo iko chini ya urusi ambayo ili urusi afike hapo lazima apite crimea. Sasa kwa chokochoko zao ilikuwa sio rahisi kupita hapo crimea kwa vita hii akimtuliza atapata njia rahisi ya kufika kwenye hako kaeneo kake.
 
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.

Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.

Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Aaaah sasa tuwekeane ahadi ipi wakati umesema urusi atapigwa.

Wew unamuona mrusi kama kichwa maji?? Amepigana mara kibao na hao mataifa tajiri na kawadunda, ukitaka amin hilo fuatilia nan walikuw nyuma ya vita ya Syria.

Kwanza nakumbuka kabla ya vita USA walisema wanajenga mitambo ta kuzuia makombola ila naona kila kitu kikitumwa imooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuma Ya Urusi yupo Mchina!
Chinabya sasa Ni Nomaaa zaidi ya Marekani na Nchi zote unazozijua…
Urusi ana Hasira. Na Target yake sio Ukraine ni Marekani.
Mchina huwa hajiingizi direct kwenye mzozo usiomhusu.
Mchina akiharibu uhusiano na nchi za Ulaya na Us basi uchumi wake haufai tena
 
Eti wa russia wa jamii forum
Hahahaha ngoja uchumi udororee
Kuna ki jimbo kinaitwa donetsky kanataka kujitenga na Ukraine anakatetea kaachiwe huru.... (ndo maana nchi za marekani na hao g7 wengine wanaona hana sababu ya msingi ya kuwavamia (hajachokozwa) ni kama vita ya kiuchokozi tu. pia kuna peninsula nimeisahau jina ambayo iko chini ya urusi ambayo ili urusi afike hapo lazima apite crimea. Sasa kwa chokochoko zao ilikuwa sio rahisi kupita hapo crimea kwa vita hii akimtuliza atapata njia rahisi ya kufika kwenye hako kaeneo kake.
Wewe ni mfuatiliaji mzuri.
 
Back
Top Bottom