EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kakoje ulale vita ishaisha tayari pimbi wewe
Endelea kuota
Endelea kuota
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama target yake ni USA je! Rusia ana jeuri ya kumpiga super power?
Sahii KABISA, wengi hawajafikiria hiliMrusi ataghairi, kilichopo ni kwamba anafanya Ukraine iwe battle ground.
Ndio mana anawaambia wa Ukraine wakae mbali hiyo vita Mrusi ameanzisha makusudi Ukraine ni chambo tu.
Nchi zote za Ulaya zina malalamiko kuhusu kuwaingilia kijasusi, kwa U-boat na ndege zake.
Kashavuruga sana huko ndo mana hawamtaki NATO wala EU.
Atapigwa vizuri tu, na watamrudisha mpaka Moscow na watampangia cha kufanya.
Europa nzima wako na Marekani,na UK.
Hapa Lazima waseme,Hivi umoja wa Africa AU hauwezi toa neno lolote kuhusu Urusi na Ukraine ?
Kama hivi [emoji4]Wahenga walisema actions speak loudly hapa na mbabe mtu katangaza naingia kupiga na atakae thibutu kuingilia nanyooka nae huyo super power mbona kimya
Sahii KABISA[emoji4]Kuna kitu kinaitwa alliance ukikijua utaelewa kwamba Russia Ana uwezo wa kumpiga US na akanyamaza (kwenye vita lazima uwe na jicho la ziada maana nyuma ya urusi kuna nchi kubwa na zenye uwezo mkubwa kivita zinazoweza kumsaidia). Japo marekani miaka hii amekataa kujihusisha na vita vya nje ya marekani kwakuwa imegharimu sana nchi yake na wapiga kura hawataki tena huo ujinga. Hata bajeti ya issue za military imepungua kwenye bajeti yake. Anachoweza ni kupiga kelele nyingiii lakini kupeleka troops Nei.
Hili ndilo lililomtoa haraka madarakani Trump kupenda penda Shari hovyo na kuyumbisha uchumi wa usKweli kabisa
Aingie vitani kwa vita isiyomhusu aharibu pesa za walipa kodi uchaguzi ujao sanduku la Kura litaamua.
Yeye nenda ukaguse Taiwan na majirani zake utamuona vitani.
Huu mjadala wa yeye kupunguza bajeti za vita umejadiliwa sana kwenye debates za NATO hasa kwenye maswala ya security ya ulaya.
Uchambuz mzur Sana, uko deep Sana[emoji4][emoji106]Kama unafwatilia literature za uropean and global security ni muda sana tangu aanze kujitoa kwenye vita za hasara. Wenzake wa NATO hasa nchi za upande wa EU wanalalamika kwamba bajet ya US kwenye ulinzi na issue za NaTO imepungua na hii ni hatari kwa ulinzi wa ulaya na future ya NATO hasa kipindi hiki cha issue za ugaidi. Hata ile vita ya Syria (kama sijachanganya) US hakujichosha.
Hizo porojo haziwezi kusaidiwa chochote,Vita hii ndio inaenda kuhitimisha mwisho wa enzi ya Putin.
Putin ameingia kwenye 18 za NATO,Israel na USA na walitafuta sana fursa hii,Putin kafanya kosa sana la kimkakati maana Putin hana record nzuri ya ustaarabu.
Putin ni mshirika wa makundi adui kwa Israel,amejichimbia kaburi la mwisho wake.
Tunabonyeza ngapi KUPATA vichekesho Kama hivi [emoji2]Nyuma ya Marekani kuna Israel[emoji23]
Sahii KABISA,Vita ya Georgia 2008 NATO walijichomeka upande wa GEORGIA akawagonga wote. Mwaka 2014 wakajipenyeza Kule Crimea akawachapa vilevile. Haiwezekani adui yako akawa anamjazia jirani yako misiraha mizitomizito afu wewe ubaki kuangalia tu kama boya Fulani.. URUSI siyo Venezuela, pia vilevile URUSI siyo Libya au Afghanistan. URUSI ukimnyooshea kidole anakikata
North Korea anavikwazo zaidi ya mwaka 60 Sasa, na Maisha bado yanasonga.Watu mna porojo humu.
Mpka Putin anaingia vitan mnadhan hakujua kua atawekewa vikwazo?
Msela kajipanga hzo vikwazo alijua vitatokea.. sindo michezo ya USA na wenzake.
Huyu Jasus Putin hamna kitu hajui hesabu zake anazijua mwenyewe.
Vladmir Putin amesema isijitokeze nchi yoyote kuisaidia Ukraine, atafanya kitu ambacho dunia haijawahi kushuhudia, na ametishia kutumia nuclear ikibidi, anasema haoni umuhimu wa dunia kuwepo bila Urusi.Mrusi ataghairi, kilichopo ni kwamba anafanya Ukraine iwe battle ground.
Ndio mana anawaambia wa Ukraine wakae mbali hiyo vita Mrusi ameanzisha makusudi Ukraine ni chambo tu.
Nchi zote za Ulaya zina malalamiko kuhusu kuwaingilia kijasusi, kwa U-boat na ndege zake.
Kashavuruga sana huko ndo mana hawamtaki NATO wala EU.
Atapigwa vizuri tu, na watamrudisha mpaka Moscow na watampangia cha kufanya.
Europa nzima wako na Marekani,na UK.
Wekeza akili kwenye maendeleo yako baya uko wako sogoBinafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.
Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.
Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Safi sana mm binafsi namuunga mkono 100% japo sina hakika kama comment yako ataiyona hizi nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekan wanafki sana hawafai hata bureVladmir Putin amesema isijitokeze nchi yoyote kuisaidia Ukraine, atafanya kitu ambacho dunia haijawahi kushuhudia, na ametishia kutumia nuclear ikibidi, anasema haoni umuhimu wa dunia kuwepo bila Urusi.
Mchina huyu anayeuwaza uchumi wake uwe imara mara dufu simuoni akiingilia huo ujinga.labda apigane vita kwa mdomo.Mwisho wa hii vita atakayepoteza ni mrusi kua maskini.Na hii sio mara ya kwanza mrusi kuanguka uku wenzake wakimchezea akili.Russia yuko na Korea kaskazini, Uchina yote, nchi zote za Kiarabu,
hapo sasa piga hesabu.
We upo deep na unachojua niUchambuz mzur Sana, uko deep Sana[emoji4][emoji106]
Mrusi anajua ukreine haiko Nato kwahiyo hizo nchi zikitaka kuingilia lazima ziwe na njia mbadala.Ukreine ingekua imeshajiunga Nato kamwe asingeongea hiyo kauli.Maana ata kama ni kutumia nuclear itakua nayeye anataka kufariki.Vladmir Putin amesema isijitokeze nchi yoyote kuisaidia Ukraine, atafanya kitu ambacho dunia haijawahi kushuhudia, na ametishia kutumia nuclear ikibidi, anasema haoni umuhimu wa dunia kuwepo bila Urusi.