cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
ukraine ameshaanza kuchapwa ukomkuu kwani vita vimeshaanza au ni vitisho tuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukraine ameshaanza kuchapwa ukomkuu kwani vita vimeshaanza au ni vitisho tuu?
Kama unafatilia taarifa ya habari ukraine imeishatekwa yote kwa siku moja tu ya leo.kwa taarifa yako wanajeshi na intelenjensia ya ukraine ni warusi watupu.Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.
Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.
Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
hana uwezo wa kuibiga USA kiongozi, ile ndio umoja wa mataifa wenyewe kakaMkuu acha kuatazama movie za kivita za kimarekani!
Mchina (mshkaji wa Putin)kampiga USA na biological weapons ( ka' covid19) akapoteana, conspiracy walikuwa wanamuandaa 'kisaikolojia'! Wait and see, anapigwa mande huyo mzungu!
Nyuma Ya Urusi yupo Mchina!
Chinabya sasa Ni Nomaaa zaidibYa Marekani na Nchi zote unazozijua…
Urusi ana Hasira,Na Target yake sio Ukraine ni Marekani.
Huu Ni uongo kusema wanajeshi na intelligence wa Ukraine Ni warusi watupu huo Ni uongo.Kama unafatilia taarifa ya habari ukraine imeishatekwa yote kwa siku moja tu ya leo.kwa taarifa yako wanajeshi na intelenjensia ya ukraine ni warusi watupu.
amguse aone moto wake, USA ni sawa na kiongozi wetu mmoja wa kisiasa hapa bongo aliyewahi kuwa mgombea nafas ya uraisMkuu acha kuatazama movie za kivita za kimarekani!
Mchina (mshkaji wa Putin)kampiga USA na biological weapons ( ka' covid19) akapoteana, conspiracy walikuwa wanamuandaa 'kisaikolojia'! Wait and see, anapigwa mande huyo mzungu!
Upo sahihi. Na russia inashinda vita vya mabunduki na mabomu huku ikiwa na mavikwazo makubwa makubwa na adui yake marekani hana vita zaidi ya kuchochea ukrain wajilinde ili waendelee kupata sababu ya kuwatenga russia na dunia kupitia kifedha na kiuchumi.Kama unafatilia taarifa ya habari ukraine imeishatekwa yote kwa siku moja tu ya leo.kwa taarifa yako wanajeshi na intelenjensia ya ukraine ni warusi watupu.
Mjomba tuburudike wote wakati wa mbiringe mbiringe za Bwana Putin😄😃😀 Nakunywa Hii Wakati Huu Wa Vita View attachment 2130031View attachment 2130032View attachment 2130032
Yani ni sawa na mkuu wa mtaa akatoe hoja bungeniHivi umoja wa Africa AU hauwezi toa neno lolote kuhusu Urusi na Ukraine ?
kiongozi! Russia hawa uwezo wa kumpiga USA nakwambiaUnaijua urusi vizuri lakini au unaisikia kiduku na Putin ndio kiboko ya marekani kwanza ukiwa shoga ruhusa kunyongwa hao marekani marinda hawana watawaweza urusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mnapigwa mnakalia maneno tu vitendo 0 mwanaume yeye haongei anapiga tu pia amewakaribisha muingie uwanjani mmekalia maneno ya mkosajiMrusi ataghairi,kilichopo ni kwamba anafanya Ukraine iwe battle ground.
Ndio mana anawaambia wa Ukraine wakae mbali.hiyo vita Mrusi ameanzisha makusudi Ukraine ni chambo tu .
Nchi zote za Ulaya zina malalamiko kuhusu kuwaingilia kijasusi,kwa U-boat na ndege zake.
Kashavuruga sana huko ndo mana hawamtaki NATO wala EU.
Atapigwa vizuri tu,na watamrudisha mpaka Moscow na watampangia cha kufanya.
Europa nzima wako na Marekani,na UK.
Hata Mimi hunitaki..?
Hahahaha hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah we jamaa unamchukia sana jiwe aiseJiwe Alichanganyikiwa Akasema Mungu Hoyee
- Yeah of course USA Ndiyo inaongoza kwa kuchangia pesa nyingi kwenye UN inachangia 22%, China 12%, Japan 8%, Germany 6% ,WHO US anachangia more than 15%hana uwezo wa kuibiga USA kiongozi, ile ndio umoja wa mataifa wenyewe kaka
Embu washa aljazeer au any international news halafu utaelewa anachofanya marekani na washirika wake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mnapigwa mnakalia maneno tu vitendo 0 mwanaume yeye haongei anapiga tu pia amewakaribisha muingie uwanjani mmekalia maneno ya mkosaji