JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Fuatilia. Russia anapoteza. Akae aachane na hii vita akae na jirani yake wazungumze, ndugu zake wazungumze. Wewe unaamini Eukraine akipigwa na Russia USA, EUROPE inapoteza lolote? Halafu russia ikiwekewa vikwazo ni faida kwa russia kiuchumi?Wahenga walisema actions speak loudly hapa na mbabe mtu katangaza naingia kupiga na atakae thibutu kuingilia nanyooka nae huyo super power mbona kimya
Mabilionea wa russia wenye mali europe na marekani na washirika wao wapo kwenye hatari tayari