Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.
Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.
Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Na hapa ndipo anapokosea. Marekani atachochea vitaa, atainadi Ukraine isaidiwe, atashinikiza Russia iwekewe vikwazo ila anaweza asipigane.Nyuma Ya Urusi yupo Mchina!
Chinabya sasa Ni Nomaaa zaidibYa Marekani na Nchi zote unazozijua…
Urusi ana Hasira,Na Target yake sio Ukraine ni Marekani.
Mpe urusi ule laki tano bibieNadhan umemaanisha atapigwa
Unaposhabikia upumbavu unajitofauyishaje na wapumbavu?Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.
Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.
Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Hata msingi haitoshi mkuuMpe urusi ule laki tano bibie
Utanunulia sementi ya Dangote 😀Hata msingi haitoshi mkuu
Umenena mkuu...bigupUtanunulia sementi ya Dangote 😀
Umepatia kuwa vita haitafika miezi miwili, bali hata mwezi hauwezi fika maana Putin anachapa tu anapotaka kama vile nchi haina mwenyewe. Na hiyo ni kutokana na kuwa Ukraine hawana ubavu wa kusimama na Russia.Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.
Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na kujichanganya na jeshi la Ukraine kisha kumchakaza Mrusi.
Hii vita itaisha kabla ya kuisha miezi 2 kuanzia leo na Mrusi atapigiwa.
Unabisha tuwekeane dau la laki 5.
Je unafahamu consequences ya hii vita unayoishabikia juu ya bara letu la giza?Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani.