Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

Kwabendera ni Mganda sampuli ya General Muhoozi Kinelugaba msome post zake ukiingia X kichwani kuna nati zimepelea
Kinacho nishangaza, eti jamaa anapata support kubwa na wabongo kupitia kitabu chake. Well, JPM kweli alikua katiri na hakua mwana demokrasia at all, now tofauti yake yeye na sasa hivi ni ipi? Mzee Kibao kauawa kwasababu gani? Hivi tofauti ya Ben Saa nane na Sativa ni ipi? Kina Soka?
 
Kuanzia leo nitaenda K,koo na Mwendokasi ila nitarudi na Bajaj.
Sio kwa mateso ya leo. Nimeingia stand saa 11 jioni ila nimepanda gari saa moja tena kwa kurukia gari kama chui anaemdaka nyumbu
Ndugu tunateseka unasubili gali masaa mawili kama ndege na habati mbaya kutoka posta mpaka kimara daladala waliziua
Hawa jamaa wanatutesa sana....
 
Na tutazidi kuhamia huko kama kumbikumbi, nani anataka kupigwa na vumbi huku mikoani
 
Hii nchi uzalendo umeshaisha kitambo, ukipata nafasi ya kula keki kula tuu mradi usikamatwe
 
Mkuu
shukuru sana haya madudu yanajitokeza kwa wazi maana ndiyo tiketi yako ya maamuzi Oktoba 2025

Haitokaa itokee CCM ikaleta maendeleo kwa nchi zaidi ya matumbo yao.
 
Project ilisha feli kitambo hiyo. Chaajabu bado wako busy kujenga barabara zingine za mwedokasi. Posta wamefumua hovyo, foleni hovyo. Hivi, saa hizi mabasi mangapi ya mwendokasi yako barabarani?
 
Hadi masuala ya change yamekuwa tabu kwenye vituo vya mwendokasi.

Hadi masuala ya change yamekuwa tabu kwenye vituo vya mwendokasi.
Katika hili ndiyo niliona kwamba Mwendokasi hawako serious.... Nililazimika kuacha chenji yangu pale.... Jamaa anasema ili uepukane na haya eti ununue Kadi Yao.... Shenziiii.... Hii BRT ni changamoto sana ..
 
Project ilisha feli kitambo hiyo. Chaajabu bado wako busy kujenga barabara zingine za mwedokasi. Posta wamefumua hovyo, foleni hovyo. Hivi, saa hizi mabasi mangapi ya mwendokasi yako barabarani?
Wanapiga hela zao tu
 
Mwanasheria wangu anashughulika na talaka ya Wolper na mumewe kwa sasa.

Akimaliza hiyo kesi nitarudi kuchangia.
Mimi mwanasheria wangu ni Simon Patrick wa yanga ila acha tu nijilipue
 
Bila picha hainogi
 
Ukichunguza sana unaweza kukuta aliyeanzisha mwendokasi hakuwa na lengo la kuwasaidia watanzania 🐼
Hakika kabisa

Alikuwa na lengo la wizi na rushwa na kafanikiwa kwa asilimia mia moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…