Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya huku mikoani kwetu tuna furahia tukija hukoMwendokas ni mahangaiko
Mardi unaokufa kwa kuzidiwa na wateja!Unaweza kuta ni mradi bubu wa Lumumba huo.
Hawana mabasi au wanabana kupata faida kubwa.Mardi unaokufa kwa kuzidiwa na wateja!
Kabisa, mchakato wetu wa kuwa binadamu kamili bado haujakamilika.Waafrika turudishwe enzi za mawe!, tukale mizizi upyaa halafu uchi kitu ana kwa ana tukikimbiza mikia yetu huku tukiwatisha wanyama wengine! nafikiri hicho ndo kipaji chetu!
Unaona sasa. Kumbe zingetembea hata nusu yake tusingekua na tatizo la usafiri.Bas zinazofanya kazi hazifika hata kumi na moja
Ipo siku tu, ni maombi tuAtuondolee mtu mmoja pale juu kabisa
Aamue ugomvi wetu kwa njia hiyo
Tanzania watu wanatafutia utajiri makazini😁 sasa ukileta kauzibe lazma unyooshwe. Watu wanapenda maisha ya kifahari ila kwa kutumia shortcuts. Utu hakuna kabisa sikuhizi watu wanapenda show offs na ni gharama kufanya show offs kwa mshahara wa laki 6 lazma ujiongeze uibe million 2 ya ziada kila mweziWatanzania wengi ukiwapa ajira, kitu cha kwanza wanachowaza ni jinsi gani ataiba apate utajiri aishi maisha ya kifahari, ili nae atupie picha kwenye mitandao ya kijamii atambie wenzake.
We jiulize, waziri mzima tena wa wizara nyeti, anaenda kwenye sherehe yeye na familia yake, anapiga picha chakula anachokula na mke wake, alafu anatupia kwenye mitandao ya jamii. Hiyo ni akili kweli? mbona alivyokua raia wa kawaida hakuwa anafanya hivyo?
Alafu ukiajiriwa kwenye kampuni iliyojaa wezi hapa Tanzania, ukaanza kufanya kazi kwa kunyoosha mstari, wenzako wanaona unawaharibia ulaji, wanaamua kukupiga fitna, alafu unafukuzwa, au wanakupiga sumu una rest in peace. Alafu kwenye msiba wanasema, pengo lako halitazibika.
😂😂😂😂😂Hakika kabisa
Alikuwa na lengo la wizi na rushwa na kafanikiwa kwa asilimia mia moja
Feasibility studies na objectives za miradi mingi ya kibongo huwa malengo ni kuwanufaisha watoa tender na bidders katika kila stage hadi utakapokamilika. Hapo mchakato lazima uzingatie 10% za migao watu wajenge na kununua magari ya kifahari. We unadhani watu wanawezaje kuporomosha mijengo ya aina ile Mbweni kule wakiwa ni staff tu wa serikali kama procurement officers ama Tax officers.Ukichunguza sana unaweza kukuta aliyeanzisha mwendokasi hakuwa na lengo la kuwasaidia watanzania 🐼
Soon Mambo yatakuwa mazuri! SubiraAmani iwe nanyi watanzania
Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki
Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika asingeuanzisha
Utawala uliopo madarakani umeshindwa hata kusimamia huu mradi halafu wanataka tuwachague tena
Inauma sana kuongozwa kibabe namna hii na watu wasio na uwezo kuwa viongozi wa darasa la tano B
Mwendokas ni mateso jamani
MWENYEZI MUNGU mwenyewe aingilie huu ugomvi
LONDON BOY
Kumbe mnateseka nunueni yakwenuAmani iwe nanyi watanzania
Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki
Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika asingeuanzisha
Utawala uliopo madarakani umeshindwa hata kusimamia huu mradi halafu wanataka tuwachague tena
Inauma sana kuongozwa kibabe namna hii na watu wasio na uwezo kuwa viongozi wa darasa la tano B
Mwendokas ni mateso jamani
MWENYEZI MUNGU mwenyewe aingilie huu ugomvi
LONDON BOY
Wanawafanyia hivyo ili kupata maximum returns. Wakitumia basi moja moja kuwalundika maana diesel inatumika kidogo ila hela wanapata nyingi.Hawana mabasi au wanabana kupata faida kubwa.
Watu wanakaa vituoni masaa 2, linakuja basi 1 au 3. Kimara to kariakoo au kivukoni ni Dakika ngapi?
Kimara kwenda Moroco nafikiri wana basi 2, moja linatoka Moroco na liningine Kimara, yanapishana.