Rwebangira and 10 others
Member
- Nov 28, 2019
- 42
- 130
kama ulitambua kuwa ni tangazo, basi ulielewa kilichokusudiwa. Kinyume na hapo unaweza kuliita igizo ili uifurahishe nafsi.Huna Akili kama Aliyelibuni / Waliolibuni.
Vinginevyo andaa tangazo lako uwapelekee wahusika, kisha waeleze kuwa wewe una akili zaidi yao. ...nyambaphu