Wanaandika upuuzi Tu , hawa hii sekta imetelekezwa miaka , kilimo kimebadilika , na kilimo ni biashara kama biashara nyingine tena inayohitaji uwekezaji mkubwa wa mitaji na modern farming equipments ,sasa watu bado Wana mentality za mwaka 47 za kilimo cha jembe la mkono , that's subsistence peasantry not a commercial farming /agriculture , nchi walio serious with this industry ni Brasil ,Argentina ,USA, Israel ,Russia ,Canada , Australia ingieni hata YouTube huko muone wakulima wakule ni watu gani ,yet hapa kwetu Kilimo kinachukuliwa kisiasa na kilimo kinaonekana kama last option Kwa waliokosa ajira au kujiajiri Kwa sekta nyingine , Kwa hii mentality haiwezekani kuinua kilimo , price Tu ya rudimental essential farming equipments Tu , trekta ndogo Tu ya kawaida si Chini ya milioni 60 .Swala si kufuta somo la kilimo maana mpaka sasa zipo shule na vyuo bado zinafundisha somo hlo, swala ni je hao wasomi na wataalam wanatumiwa ilikuleta tija kwa taifa?
Serikali inakwepa role yake ya kuinvest heavily katika kucreate infrastructures na policies Bora ili kuwezesha hii sekta zimebaki blaaa blaa Tu kila siku