Aliyefuta wimbo wa Cheche ajulikana

Aliyefuta wimbo wa Cheche ajulikana

[emoji16][emoji16] ilikuwa uploaded Tanzania lakin m2 yeyote alie nchi yoyote Ana access hiyo Kama ilivyotokea kwa 6ix9ine
Mwimbo umewekwa You Tube na ulisimamishwa na Tou Tube baada ya huyo mtu kulalamika. Kwa hiyo m2 yoyote hawezi kuwa na access kufuta mwimbo You Tube.
Kwa hiyo mada ingetakiwa iwe "aliyechongea mwimbo kufungiwa Tou Tube" sio "aliyefuta"!!
 
Upo sawa kabisa.
 
Kuna kipindi nilikua napoteza muda kufanya hio kazi ID yako na nyinginezo ni miongoni mwa id zilizokua zinamwaga matusi tu so naenda mnavyotaka mkuu
mkuu hakuna mtu anaetukana kama wewe ndo maana tulikua twakujibu vile bt nadhani mtindo ule si mzuri ndo maana tunapaswa kubadilika, tunapaswa kua hater wenye fact na si wenye matusi
 
Huwa natukana kwenda na biti lenu. Angalia huko juu mdau alivyoreact. From nowhere siwezi tukana kama sijatukanwa.

right bt tunapaswa tuwe tunajenga hoja nadhani itapendeza zaidi kuliko kutoleana maneno ya hovyo
 
Mtakuwa mmetoa pesa. Mlivo wambea Kama kweli mngemdaka mngeshaweka picha zake hadharani. Kiufupi mmepigwa faini kwa mwenye wimbo ndo akaurudisha. Ndio faida ya wizi hiyo
😀😀😀aisee
 
Hivi karibuni kuna mtu anaijiita Tony Anton alifuta ngoma ya Cheche na akaifanya isipatikane YouTube kwa siku mbili, baada ya huo mkasa kutokea uongozi wa WCB kwenye department ya digital platform ikiongozwa na kimkayndo wakalishughulikia hilo jambo na kugundua kuwa aliyofanya hivyo jina halisi ni James na si Tony kama anavyojiita kwenye mitandao ya kijamii na huyo kijana anapatikana Kenya kwenye sehemu inaitwa kiisie.

Na hii imekuja kujilikana ni baada ya WCB kushirikiana na Mamlaka ya Kenya. Na kabla huyo James ajajulikana alimtumia ujumbe Kimkayndo ambaye anahusika na digital platform za Wasafi kama wanataka ngoma wafanye biashara kwanza.

Ajajulikana huyo James kafanya vile kwa sababu zipi?Baada ya mahojiano yake na polisi wa Kenya yote yatajulikana
ameshusha tena audio ya cheche
 
Sema ukweli mmepigwa faini wimbo umerudi eti polisi wa Kenya blah blah.
 
Hapa naona mnahalalisha wizi kwamba lawama ziende kwa jamaa Huyo wa Kenya .
Yeye sio kichaa mpk azuie huo wimbo ana akili .
Ndo mkome siku nyingine
 
Hivi karibuni kuna mtu anaijiita Tony Anton alifuta ngoma ya Cheche na akaifanya isipatikane YouTube kwa siku mbili, baada ya huo mkasa kutokea uongozi wa WCB kwenye department ya digital platform ikiongozwa na kimkayndo wakalishughulikia hilo jambo na kugundua kuwa aliyofanya hivyo jina halisi ni James na si Tony kama anavyojiita kwenye mitandao ya kijamii na huyo kijana anapatikana Kenya kwenye sehemu inaitwa kiisie.

Na hii imekuja kujilikana ni baada ya WCB kushirikiana na Mamlaka ya Kenya. Na kabla huyo James ajajulikana alimtumia ujumbe Kimkayndo ambaye anahusika na digital platform za Wasafi kama wanataka ngoma wafanye biashara kwanza.

Ajajulikana huyo James kafanya vile kwa sababu zipi?Baada ya mahojiano yake na polisi wa Kenya yote yatajulikana

Hii ni trend kwa diamond na harmonize...kuiba nyimbo
 
Kiba apendi show off na Wala Hana attention ndio maana azungumziwi ila nae ana kopi Sana wimbo wake seduce me kakopi baadhi ya mashairi kwenye wimbo despacito,wimbo wake wa maumivu per day kakopi baadhi ya scene kwenye wimbo wa Davido ft Tinashe,Wimbo wake wa lupela copy & paste ya I am more addicted ya Hussein machozi

Sio kweli

Diamond anamwogopa kiba kuliko mtu yeyote yule

Kiba hana kashfa hizo!!! Acha utoto

Kiba sio wa kawaida, labda haujui nguvu yake

Vishungundo bana
 
Kiba ni bongo tu ndiyo mshindani wa diamond lakini tukivuka mipaka ya nchi yetu, Kiba si mshindani kwa diamond kabisa. Na huo ndio Ukweli mchungu
 
Sio kweli

Diamond anamwogopa kiba kuliko mtu yeyote yule

Kiba hana kashfa hizo!!! Acha utoto

Kiba sio wa kawaida, labda haujui nguvu yake

Vishungundo bana
Kiba ni bongo tu ndiyo mshindani wa diamond lakini tukivuka mipaka ya nchi yetu, Kiba si mshindani kwa diamond kabisa. Na huo ndio Ukweli mchungu
 
Hapa naona mnahalalisha wizi kwamba lawama ziende kwa jamaa Huyo wa Kenya .
Yeye sio kichaa mpk azuie huo wimbo ana akili .
Ndo mkome siku nyingine
we amini usiamini lakini huwez badilisha ukweli. Kazi iliyoibiwa ya tony Antony ni ipi hasa? Wakati wabongo mlikuwa mkifananisha video content na ngoma ya Beyonce au beyonce ndio tony Antony
 
Back
Top Bottom