Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Hata Nyalandu sijui kama alitafutwa alivyoisafirisha twiga kwenda Ulaya!!
Ya Nyalandu siyo ajali , nje ya mada .

Tunauliza waziri mhusika alipohusika na ajali kama ya huyo jamaa akitafutwa ?! Zaidi ya kutembelewa na taasisi namba moja hospitalini !!
 
Nyingine bahati mbaya tu. Wafanye uchunguzi usikute tembo ndio alizingua. Unaendesha zako 30kmph unakuta tembo katoka from nowhere. Na hakuna kibao cha taadhari ya mwendo.
Labda uwe huna brake kabisa, au labda usinzie.
Yani uwe 30 halafu ushindwe kusimama ghafla .!!!??

Ila sijaunga mkono jinsi tulivyokosa ubinadamu. Hatutaki hata kujua hali yake, tunataka tu apatikane alipe mafaini.

NB: AKISHALIPISHWA HIYO GHARAMA APEWE MAITI YA TEMBO WAKE AONDOKENAYO, AKAZIKE KWENYE MJI WAKE.

Sio kumlipisha faini kubwa na bado meno wanachukua wao, nyama inabaki kwao. Wampe walau meno yake akapooze machungu.
 
Hii thamani ni pamoja na pembe zake au peke umetoa maana mbona thamani yake ni mdogo sana wakati nasikia ukibatika kupata pembe ya tembo basi Range rover ina kuhusu
 
Ubinadamu mshaupoteza hata kama anatafutwa ilitakiwa mngeanza kwa kujua hali ya dereva kwanza kosa linajukana mmeona thelathini ni muhimu kuliko uhai wa dereva kwanza...
 
They just dont care about you.
Wanatunia To hell with midd. Finger.

Ndio maana wakifa na sisi tunashangilia na tutaemdelea kushangilia
 
Shemeji yangu alikaa ndani 24 hours na faini laki saba msafara wa makamo wa raisi ulikua unapita wakat wanasimamishwa alkua kwenye cross sasa akasogea mbele kdg tu asimame hapo hapo akajikuta central[emoji3166]
 
Sawa kabisa. Sisi hatuna utamaduni wa kujali viumbe wengine. Utaona hata mnyama akijichanganya kwenye makazi, awe hatari ama la, jambo la kwanza ni kumuua na kisha kumla kama analika.

Hata hivyo, kuna hali ya serikali kutojali haki za raia pia.Ni kama binadamu tunapoteza thamani mbele ya wanyama. Ningependa haki itendeke katika kesi kama hizi ili kuwa waungwana kwa pande zote.
 
Back
Top Bottom