Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Bima sidhani kama wanalipa hii kitu sababu imekaa ki fine zaidi. Bima huwa hawalipi fine na pia jamaa inaonekana alikuwa speed sana.
 
Usikute vibao vya kuonyesha wanyamapori vimeshapimwa skrepa halafu hakuna aliyejali kusimika vingine
 
Uzito wa tembo ukilinganisha na Toyota Kluger ni dhahiri shairi kuwa hata dere kafa ama kuumia sana.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Gari ya Kluger iue Tembo na bado itoke eneo la tukio salama?, alikuwa mgonjwa au mtoto?
Au kuna jambo jingine hidden?

Gari hii hapa
IMG-20210312-WA0019.jpg
IMG-20210312-WA0016.jpg
IMG-20210312-WA0015.jpg
 
Kagongwa nje ya hifazi?, ni jukumu la Serikali kuweka njia za Wanyama kupita ili kuepusha Ajali, na pia kuweka alama zinazoonekana kirahisi
 
Nilichoshangaa ni wale wakazi wa maeneo yale walivogawana mboga ngozi, utumbo na bichwa ndo vilibaki
 
Back
Top Bottom