Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Mmiliki wa gari hajafahamika kivipi na plate namba zipo hapo kwenye gari? Ina maa usajili wa hilo gari haujatolewa na TRA?
Yaan hawa mashetani hawa ...yaan hata kuzungunzia hali ya dereva kama kaumia au anaendelea je wanawaza matembo....
 
Na kujeruhiwa juu...gari chali...yaan 50m+ hivihivi. Ningekua mimi nalichoma moto gari hawaambulia hata chassis number
 
Shemej yangu alikaa ndani 24 hours na faini laki saba msafara wa makamo wa raisi ulikua unapita wakat wanasimamishwa alkua kwenye cross sasa akasogea mbele kdg tu asimame hapo hapo akajikuta central[emoji3166]
Ilikuwa katika awamu ya ngapi ya uongozi?
 
Na kujeruhiwa juu...gari chali...yaan 50m+ hivihivi. Ningekua mimi nalichoma moto gari hawaambulia hata chassis number
unaweza kuanzishwa msako kila mwenye gari aonyeshe liko wapi utajibu nn🤣🤣🤣🤣
 
Kama hawajakuta mtu, bila shaka dereva atakua hai, hali yake ndio hatujui, Mungu amsimamie..

Kubaki hapo kaona ni msala, ukiangalia faini anayotakiwa alipe ni almost Thamani ya hio gari ikiwa MPYA.
 
Wataalam wa matukio ya kupanga, huandaa ushaidi baada ya tukio, na siyo ushahidi kabla ya tukio.

Hapa Nina mashaka na hii ajali, kuanzia picha ya tembo, KWANINI pembe zake hazijaonekana pichani?!!! Hilo ni swali dogo Sana Ila linaweza kuzua majibu Mengi yenye mantiki.

Kingine nikiangalia hiyo Gari na Tembo hakuna uwiano wa moja kwa moja kuwa vimegongana,

Kifupi Nina mashaka ni aina mpya ya upigaji wa ndovu za Tembo, unless uchunguzi ufanyike kwa kina especially watu wa forensic department.
 
Bongo nyoso sana. Mafinger print yote mliotuandikisha, mavitambulisho lukuki, Tin Number tra zipo, usajili wa gari hauwezi kukurudia kumpelekea ujue mmiliki wa gari kisha uanzie hapo uchunguzi?

After all mbona hampo concerned kuhusu hali ya huyo dereva/mmiliki kwa hio condition ya gari iliopo? Kama yu mahtuti ama kafariki mtafanyaje?
Utakuta aliliwa na simba baada ya ajali
 
Tembo akimuua binadamu tunamuachia Mungu, ila binadamu akimuua tembo ni shida nyingine.


Tembo akiua binadamu fidia kwa wafiwa ni Sh 1000,000 nayo wataipata hiyo fidia kwa mbinde hasa, Binadamu akiua Tembo kwa bahati mbaya anatakiwa alipe fidia ya shs 5000,000 haraka iwezekanavyo.
 
Nachomaanisha ni kuwa mmiliki yupo na anajulikana but aliyekuwa anaendesha sio mwenye hilo gari na katoroka
Una uhakika gani Kama aliyekuwa anaendesha siyo mmiliki halali wa gari husika boss?
 
Back
Top Bottom