Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

Ah ah hatari sana
 
Ndiyo. lakini hata kwenye hifadhi unaweza kuwa makini na ajali bado ikatokea. Mnyama ni mnyama.
We unasema Mnyama ni mnyama??

Ndani ya hifadhi hata ukipata ajali tu sio ya kugonga tuseme upinduke au gari imechochora lazima ulipie majani yote uliyokanyaga au miti uliyovunja laki 2. Yaaani pona pona yako gari ianguke ibaki katikati ya barabara labda watakuhurumia

Ndo sheria zetu hizo. Hifadhi zinalindwa sana sema madereva wengi hawajui hilo

 
Dereva bora angesalia kwenye gari hii kukimbia mbugani waweza Kutana na kundi la simba wenye njaa!
 
lakini jamaa naye sidhani kama ana hali nzuri aliko.

maama kwa namna gari lilivyo....mhhhhhj.
 
Jeshi letu la polisi muda mwingine...

Hajapatikana vipi, sii watumie plate number kufanya msako kupitia kwenye mamlaka...
 
Kwa hyo kugonga twiga napo ni 15000 USD

Yaani million 34,785,000.00 Tanzanian Shilling


Bora kukimbia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…