Mwenye ile clip atuwekee hapa tafadhali, wapelelezi mashuhuri wa Jamhuri ya Jeiefu tuingie mzigoni..!!
Shukrani dear Shadeeya,
Lete ushahidiMimi nachujua yule mtu aliegongwa na ile mwenfokasi alifia palepale,hayo mengine ni maigizo tu as usual
Watu wanagongwa na tren na wanapona itakua MwendokasiMimi nachujua yule mtu aliegongwa na ile mwenfokasi alifia palepale,hayo mengine ni maigizo tu as usual
Nimejiuliza umbo la yule baba kwa nyuma na huyu mmh! Labda kukaa hospital amepungua/amechange.Huyo mzee alishakufa wamemuweka mtu mwingine..nadhani
Umbo la yule baba na huyu ni tofaut. Au labda sijui/sijaona vizuriMwenye ile clip atuwekee hapa tafadhali, wapelelezi mashuhuri wa Jamhuri ya Jeiefu tuingie mzigoni..!!
🙏 Inasisimua sana yaani mdogo wangu.Shukrani dear Shadeeya,
Hii clip bado inasisimua sana kiukweli kuitazama..!!🙌
Ninaona hivyo pia, hata tembea yake kabla ya ajali haijakaa kama mtu mwenye umri wa ujana huko..!!Umbo la yule baba na huyu ni tofaut. Au labda sijui/sijaona vizuri