Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

Mkuu nchi hii ni ngumu kweli.. yani mtu atoke ICU...aende extensive care..arudi kama alivyokua!?

Imagine mtoa mada anapata kabisa watu wanasapoti upumbavu wake huoo..
 
NAPEND KUJUA KAMA HUYU NDUGU YETU AMELIPWA FIDIA AU NDIO WANATAKA AANZE KUHANGAIKA NA MAKARATASI KWENYE MAOFISI YA MWENDO KAZI
Isije ikawa kuna wajanja washakula kupitia mgongo wake

Ova
 
Mkuu nchi hii ni ngumu kweli.. yani mtu atoke ICU...aende extensive care..arudi kama alivyokua!?

Imagine mtoa mada anapata kabisa watu wanasapoti upumbavu wake huoo..

Wakati mwingi ni exposure juu ya suala husika. Ila ni vyema kutoa tafakari za moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…