Ehh mnakataa tenaNdo napoona mie hapana, yule alikua mzee, huyu kijanaa.
Wabongo kwenye Ubora wao.Huyo mzee alishakufa wamemuweka mtu mwingine..nadhani
No. Kwa speed hiyo na namna ilivyo kona alipokimbilia ndipo ilipochukua kipande kikubwa,kupona kunahitaji miujiza.
Serikali ikudanganye kwenye hili ili iweje, tuoneshe picha ya huyo unaemwita mzee tuone.Uongo mwingine mpaka unaona aibu...
Hivi kweli hawaoni haya kutudanganya, na kila mtu alimuona yule mzee....
Acheni basi majungu...Kama ulikuwa unamfaham weka picha yake hapa inayo onekana vizuri (kabla ya ajali) na kama huna picha inayojieleza vizuri futa hiki ulicho andika.Mnaoelewa kinachoendelea tunaomba majibu, mtu anaingiaje hospitali mzee na mweusi, halafu anatoka mweupe kijana? Picha chini inajieleza
NdyoooooEhh mnakataa tena
Ova
Hahahaa. Kabisa yaani Mkuu.Naona mnachek VAR tena na kwa kurudia kwa minyato 😆
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787]Ufafanuzi wa nini, kama unaona anafaidi nawe kagongwe na gari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahio mnasemaje tuta au 😄Hahahaa. Kabisa yaani Mkuu.
🤣🤣Dahhh!! Imegoma kudetect..Kwahio mnasemaje tuta au 😄
Inawezekana una akili nyingi sana ila kwa upande mwingine ukawa huna hata moja. amini nakwambia huyu siye aliyegongwa na lile daladalaMkuu nchi hii ni ngumu kweli.. yani mtu atoke ICU...aende extensive care..arudi kama alivyokua!?
Imagine mtoa mada anapata kabisa watu wanasapoti upumbavu wake huoo..
Kwa faida gani?Ndugu si waliwekwa wa mchongo...
Kwenye kuficha mambo huwa wanajitahidi sana